Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Fisadi🐒🐒🐒
Sifa zote ulizotaja zinaharibiwa na fact moja tu, ameruhusu Mbowe kubambikiwa kesi feki ya Ugaidi.Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
Tumewasikia viongozi wa dini,Sifa zote ulizotaja zinaharibiwa na fact moja tu, ameruhusu Mbowe kubambikiwa kesi feki ya Ugaidi.
Rais aliyemwachilia Mbowe bila mashartiTanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
Hakuna kama Samia,Rais aliyemwachilia Mbowe bila masharti
hivi kumbe rais ndie mtunga sheria eeh, mie nilifikiri ni bunge atiiiiihTanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
KabisaKaribu nyumbani kamanda Lissu. Kwako mtoa mada kumbuka ufaransa haiewezi kukupa euro milioni 258 bure
Kwani Rais sio sehemu ya bunge?hivi n
kumbe
hivi kumbe rais ndie mtunga sheria eeh, mie nilifikiri ni bunge atiiiiih!
Haya praise team endelea!😉
Rest in peace shujaa wa Afrika. JPMTanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
AmenRest in peace shujaa wa Afrika. JPM
maKwani Rais sio sehemu ya bunge?
Ndicho nachofanya kwa sasa,Taftia watoto wako Ada za Intenational school.
Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
Ndicho nachofanya kwa sasa,