Tupate wapi tena Rais kama huyu?

Mnapewa posho kidogo mnafunguka kama nini wapuuzi wakubwa nyie
 
Lazima kuna tatizo yaani mtu hajamaliza mshaanza kusema mtapata wapi tena kama huyu ?

Nimegundua tatizo sio viongozi tu bali wanaoongozwa ndio wanahitaji kubadilika
 
To prosper anything you must first put on its shoes!!

Watanzania tulishazoea unafiki na uongo , na tukauamini kama tool ya survival.

Mama anafanya just the opposite of that , sasa audience nzima tayari ilisha subscribe kwenye uongo na unafiki hautmuelewi.

Imagine kuna prof aliwahi sema aliokotwa jalalani,!

Yani Udsm na falcuties zote zile mtu anasema ni jalala !! Nilitegemea watu wa usdm wange react kwa ile kauli ,
 
Vema sana
 
A Historical History
 
Na alisema wenzake na Mbowe wamefungwa.ni kina nani hao??rais muongomuongo wA nini???[emoji1787]
 
Kama hao wapo tele Zanzibar na zaidi ya hao ,huyo ni chamtoto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…