Tupate wapi tena Rais kama huyu?

daaah umeandika kwa hisia sana mkuu,
 
Tanzania inakwenda vizuri sana chini ya Rais Samia Suluhu Hassan
 
Reactions: Tui
Huo mstari wa mwisho umebeba ujumbe mzito sana,
 
Wonderful article,
 
The likes of Polepole na MATAGA hawawezi kukuelewa kabisa.
 
100%√
 


Samia Suluhu Hassan hajawa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa bahati mbaya

Tupunguze lawama tuungane nae kuboresha siasa na uchumi kwa ustawi wa nchi yetu

Kuna wakati heri kukaa kimya kuliko kuwa na lawama bila ushauri wa kujenga

Comred nitafute
 
 
Ila apunguze safari za nje lasivyo tutamuhisi vbaya

Au akienda nje aje na plani A nasiyo B
Atueleze nini kajifunza kutoka kwa wenzetu walioko Duniani.
 
Mama Samia ni Tunu kwa taifa letu pamoja Na urojo wa wasaidizi wake.

Namsihi sana mama kama ana mpenda sana January Makamba ampe wizara ingine atampunguzia Kura zake 2025.

Mama ushauri huo kutoka kwa mzee wa hekima
 
Mama Samia ni Tunu kwa taifa letu pamoja Na urojo wa wasaidizi wake. Namsihi sana mama kama ana mpenda sana January Makamba ampe wizara ingine atampunguzia Kura zake 2025.

Mama ushauri huo kutoka kwa mzee wa hekima
Uko sahihi Kabisa
 
100%√
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…