Tupate wadhamini kidogo

Mwanamume kumzini house maid anaepishana nyumba moja na mkeo ni udhaifu mmoja mkubwa sana na dharau kubwa kwa mkeo,ni uhuni uliopotiliza otherwise kama una mipango yako fanyiaga huko nje ndani heshima ndiyo maisha yanavyotaka.

Hatupo kwenye maisha kuumizana mke ana haki ya kufurahia utulivu wa mumewe japokuwa wenyewe tunajua utulivu wetu ni wa kinafiki tu.
 
Anamtisha tu, mi naona ni coincidence tu ilitokea huyo mchepuko akapata ajali...

At least wangeshafariki michepuko wawilii ama watatu basi ingeaminika...
Lazima ufunge break za panya kamuona paka weeee weee. Kwanza karudi na chale mwili woote.
Pili danga limeng'ata shuka weee kuweza.
Lazima uombeleze kwanza moyo upoe, maana kila ulimwangalia kila kesi haifai si uhaini labda mauwaji.
Tatizo ushahidi anaumiliki yeye wa chale aisee
Kazi ipo .
 
Japo hii ni chai ya rangi ila kuutumia mwili wako ili kumkomesha mtu mwingine ni ujinga uliopitiliza,

Huyo Mwanaume yeye ni malaya ila anaumia mkewe kua malaya!

Tatizo lilianzia kwa huyo mke kumsamehe msaliti,kila siku tuna waambia humu kua msaliti hua hasamehewi hata siku moja,haijalishi huyo msaliti ni wa jinsia gani,

Maisha ni mafupi sana,kwanini uishi kwa mateso kwenye huu muda mfupi utakao kuwepo hapa Duniani?
 
Stori hiyo umeiamini mkuu? 😁
Sijui kama ni ya kweli au uongo, nmechangia kama ilivyo tu, ila kuna watu wapo hivyo ninamjua mmoja aisee! Usiombe!
 
Reactions: Lax
Sijui kama ni ya kweli au uongo, nmechangia kama ilivyo tu, ila kuna watu wapo hivyo ninamjua mmoja aisee! Usiombe!
Mimi napopata shida ni mtu huyo aliyeweza fanya hivyo unawwza mkuta pia analalamika ametapeliwa na hajui vha kufanya,

Sjui kama unanipata mkuu 😁
 
In the Know
Debunking 35 Myths about Human Intelligence
 
Labda sio mimi, utakachofanya nalipiza mara mbili yake! Mimi nitulize uke ndani wewe unaonesha mpaka majirani na marafiki zangu! Halafu unaona haitoshi unanirogea danga langušŸ˜‚
Amna usiwe hivyo rastamate, sisi huku ni haile haile.
 
Matanga kbs yaani mtu wa dada wa Faida kbs kvuta shuka.
Mkigombana kidogo unaweza kusema weee muuaji na chale zake.
Aisee atajuta humo ndani, sema huyo sista naye anampenda mumewe sana, mi ningekuwa shachukua times zangu!
 
Mimi napopata shida ni mtu huyo aliyeweza fanya hivyo unawwza mkuta pia analalamika ametapeliwa na hajui vha kufanya,

Sjui kama unanipata mkuu 😁
SijakuelewašŸ¤”
 
Reactions: Lax
Mi nakuambia mkuu hayo mambo ni imani...
Utakuta hata hizo chale ni mkwara tu, kwanza hii story hakuna wa kuithibitisha kama ni kweli...

Siku hizi hao waganga matapeli ni wataalamu sana wa kupiga pesa za watu... story kama hii ikiwekwa huko Facebook wanajua tu watu wengi wataulizia huyo mganga... na wengi wanapigwa pesa...
 
SijakuelewašŸ¤”
Jamaa aaliyepga chale kumuua mjuba, siku ukikuta analalamika katapeliwa na hajui cha kumfanya aliyemtapeli, je inamaana njia zile alizotumia mwanzo za mganga haazipigi kazi kwenye scenario ya utapeli,?

Sisi wengine imani ipo low sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…