Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

tupac rather makavelli was not availlable for the comments......ila kwanini tusiwe wakweli tuuu..HIT'EM UP...mzeeeeeeeeiyaaa alitisha...mwenyewe aliwahi kufanya interview akakiri kuwa that was his best..classical hip hop.....mwananchi aliisambaratisha badboy kuanzia mlinzi wa getini ofisini kwao mpaka boss na mkewe na watoto nyumbani....NAUPENDA SANA WIMBO HUO.........ila watoto wa sikuhizi huyu lil wizzy naona kama anaweka his feet on pac's shoes...lets hope ataweza he;s comin gud
Lil Wayne hawezi kumkatata 2pac, Wizzy pumba nyingi tofauti na Makaveli.
 
Hit 'em up ndio chaguo langu, nakumbuka tulikuwa na tunashindana kuchana kimtaa huko Tabora na mimi ndio nilikuwa kinara wa mtaa wetu, kila baada ya battle tulikuwa na session ya dis, nilifanya version ya hit em up ya kiswahili siku hiyo tuliwafunika kabisa washkaji wa mitaa ya National na baada ya hapo nilitafutwa sana wanipige lakini back up yangu ilikuwa ya hatari. Nakumbuka ugomvi ulimalizwa na OCD Mmali enzi hizo.
 
inayoniacha ni ile "It aint Easy" kwenye album ya ME AGAISNT THE WORLD, lyrics na beats zimeenda shule

Si utani....similar na Can u get away from the same album ala zake zimeenda shule.
 
Dear Mama-For me this is the best track of 2pac

Hit Em Up-among of the best battle track
 
Hit 'em up ndio chaguo langu, nakumbuka tulikuwa na tunashindana kuchana kimtaa huko Tabora na mimi ndio nilikuwa kinara wa mtaa wetu, kila baada ya battle tulikuwa na session ya dis, nilifanya version ya hit em up ya kiswahili siku hiyo tuliwafunika kabisa washkaji wa mitaa ya National na baada ya hapo nilitafutwa sana wanipige lakini back up yangu ilikuwa ya hatari. Nakumbuka ugomvi ulimalizwa na OCD Mmali enzi hizo.

Wee Burn,
Hamna kitu usitufunge kamba hapa. Wadogo zangu vijana wa National watoto wa mjini wale. Siku hiyo waliwahurumia tu na ukafikiri wee mkali. Wao wanakwenda Kiingereza na Kinyamwezi.....na wewe?

Du, mtaa gani huo? Ng'ambo nini? Au ndiyo nyie vijana wa Isevya? Haya watoto wa mjini (wakanyaga lami), sisi wa Sikonge tulie tu maana .....
 
ndio zako yuuuuuuuuuuu.......nakushangaa wewe unaeshabikia type za akina wayne.....

OF ALL THE TRUCKS!jamaa alitulia sana kwenye dear mama.


ACHA BWANA
 
Tracks zake nyingi zimejaa mineno mbofumbofu, na kwa kweli zinatakiwa ziwe dicouraged kwa jamii iliyostarabika na inayojali prospect yake, siku za usoni.
 
Si wote tunaojua au kukubaliana kwamba "Tupac hakuwahi kutokea" zaidi yake. Japo tunampenda na kumuenzi, wapo walio ligi moja nae, au kumpita, na nirudie wachache, kina Rakim, Nas, Jay Z, Notorious B.I.G na KRS One.

Dilunga,

Siyo siri kuwa hujawahi kukaa na kusikiliza vizuri mziki wa Tupac. Pac, ndiyo aliyeanzisha au tuseme kusambasa hii tabia ya kuchukua beats za zamani na kuziweka katika nyimbo zake. Zamani ilikuwa katika soul music na yeye akaweza katika RAP.
Pac alichukua kundi kubwa sana likawa nyuma yake. Hawa wote walikuwa wanamuziki wazuri sana sana hata kama wamesimama peke yake. Watu hao baadhi ni D.R.E., Dr. Dre, George Clinton, Snop Dogg, Roger Troutman, nk. Mchukulie tu Roger na ile talk box yake na miziki kama Computer Love, I wanna be your men, yeye alileta radha ya aina yake kwenye album ya All eyes on me (California Love). Dre na D.R.E. walileta G-Funky styles kwenye miziki yake. Hapo unasikia zile synthesizers zikipigwa kichizi (sikiliza page ya kwanza Only God can judge me).

Sidhani kama kuna Mwanamuziki wa Rap alishawahi kuzungukwa na watu maarufu namna hiyo kama Pac. Jamaa alikuwa na kipaji, utake usitake. Mziki wake ulikuwa ni Soul, R&B, funky, Rap, Hip Hop, ..... na aliimba, nyimbo za mapenzi, kutetea wanawake, kutukana wanawake, kupenda, kuchukia, siasa, dini, kulaani nk. Wengine wote hao wanajitahidi na ni wazuri ila sanamu hawatakuja kujengewa.
 
.....ila watoto wa sikuhizi huyu lil wizzy naona kama anaweka his feet on pac's shoes...lets hope ataweza he;s comin gud

Weezy F Baby is a beast....hana mpinzani sasa hivi!! Swagga on a zillion..Imma Louie V don like a Louie V Chamellion....hahahahahahaaa...
 
1.Life Goes On
2.Keep your head up
Hizi nyimbo zote nazipenda kwa sababu binafsi....Mbali ya hapo siwezi tena kukaa nikasikiliza album nzima ya Tupac.

Weezy F Baby is a beast....hana mpinzani sasa hivi!! Swagga on a zillion..Imma Louie V don like a Louie V Chamellion....hahahahahahaaa...

"I am the beast, Feed me rappers or feed me beats.........I'm untamed, I need a leash, I'm insane, I need a shrink"-Lil Wayne
 
1.Life Goes On
2.Keep your head up
Hizi nyimbo zote nazipenda kwa sababu binafsi....Mbali ya hapo siwezi tena kukaa nikasikiliza album nzima ya Tupac.



"I am the beast, Feed me rappers or feed me beats.........I'm untamed, I need a leash, I'm insane, I need a shrink"-Lil Wayne
mkuu na wewe nakuona kama wale wale wakina ng'waninyami masoja boy......yuuuuuuuuu
 
Tracks zake nyingi zimejaa mineno mbofumbofu, na kwa kweli zinatakiwa ziwe dicouraged kwa jamii iliyostarabika na inayojali prospect yake, siku za usoni.

Kwa sababu hiyo, ndio kusema mkuu wewe huna hata nyimbo moja unayoipenda ya 2pac?
 
mkuu na wewe nakuona kama wale wale wakina masoja boy......yuuuuuuuuu

Naona hata Snoop Dogg anaimba yuuuuuuuu!!!!! (Please, offensive language).

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=W1glaTFFCSk]YouTube - Snoop Dogg Disses Soulja Boy[/ame]
 

mkuu BAK tuko pamoja hapa,kifupi sioni nyimbo mbaya ya 2pac.wakati niko olevel nilikuwa naizimia sana hii nyimbo yake ya tradin war stories hata nikawa nimeishika mistari yake yote...
"...thug life outlaws immortals,can you feel me"...RIP PAC


[ame=http://www.youtube.com/watch?v=mbKH8RaKquU]YouTube - 2Pac - Trading War Stories[/ame]
 
The list is long
You Can't See Me...
Trading War Stories
Aint mad At Cha...
Smile... it sure take the jackpot!!!

THESE ARE VERSES KATIKA MY HALL OF FAME:

Verse One: 2Pac

Our lifestyles be close captioned
addicted to fatal attractions
Pictures of actions be played back
in the midst of mashin'
No fairy tales for this young black male
Some see me stranded in this land of hell, jail, and crack sales
Hustlin' at heart be a nigga's culture
or the repercutions while bustin' on backstabbin' vultures
Sellin' my soul for material wishes, fast cars and bitches
Wishin' I live my life a legend, immortalized in pictures
Why shed tears? Save your sympathy
My childhood years were spent buryin' my peers in the cemetary
Here's a message to the newborns, waitin' to breathe
If you believe then you can achieve
Just look at me
Against all odds, though life is hard we carry on
Livin' in the projects, broke with no lights on
To all the seeds that follow me
protect your essence
Born with less, but you still precious
Just smile for me now

Chours: Johnny P, 2Pac

Smiiiiiile for me , won't you smile (smile for me now)
Just smiiiile (smile), smile for me
(What cha lookin' all sad for, nigga you black, smile for me now)
Smiiiiiile for me (nigga you ain't got nothin' to be worried about)
Won't you smile (no doubt, smile for me now) just smiiiiile
(And the next generation)

Verse Two: Scarface

Now as I open up my story
with the blaze a your blunts
And you can picture thoughts slowly
up on phrases I wrote
And I can walk you through the days that I done
I often wish that I could save everyone
but I'm a dreamer
Have you ever seen a nigga who was strong in the game
overlookin' his tomorrows and they finally came?
Look back on childhood memories and I'm still feelin' the pain
Turnin' circles in my life came to dealin' cocaine
To many hassles in my local life, survivin' the strain
And a man without a focus, life could drive him insane
Stuck inside a ghetto fantasy hopin' it'd change
But when I focus on reality we broke and in chains
Had a dream of livin' wealthy and makin' it big
Over foot broad chose to cook raw, wouldnt take but I did
And after all my momma's thankin' God for blessin' the child
All my momma gots to do now is collect it and smile
Smile
.....
 
Back
Top Bottom