Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

To pick only one, ngumu mnoo, labda niseme tu dear mama maana nyimbo nzur, ujumbe mzur na inamzungumzia kiumbe ambaye sijawahi kujutia kuwa nae, mwanamke pekee wa kujivunia katika maisha haya.. Ila still nyinginr ni hatar

Keap ya head up, humu alinimalza kabisa hasa verse ya kwanza

Do for love.. Verse zote sijawah ichoka hii nyimbo kuisklza, nakumbuka niliedit verse zote 3, nikapunguza maneno n kuziunga unga nikapata bonge la msg nikamtumia mwali, ilikuwa hatar aliona kama mtu wa ajab vile

Trade war stories
How do u want it
Americans 2 most wanted
Changes.. Bonge la ngoma, aliandika mashair huku akili ikiwa ipo miaka kadha mbele
So many tears
All eyes on me
Me against the world
Hit em up.. Track kali zaid ya kudis
Trapped
Untill the end of time
Me n my girlfriend.. Bonge la track
To live n die in l.a
Ambition az a ridah
U cnt c me
California love
Baby dont cry
Brenda got baby
Only god can judge me
Letter to my unborn child.. Ngoma niliyoiskza zaid kipind nimempa demu mimba
Ghetto gospel
Black jesus

Na nyingine kibao hazielezeki, juyu mtuu alikuwa hatar tena si hatar kidogo..

R.i.p soldier
 
To pick only one, ngumu mnoo, labda niseme tu dear mama maana nyimbo nzur, ujumbe mzur na inamzungumzia kiumbe ambaye sijawahi kujutia kuwa nae, mwanamke pekee wa kujivunia katika maisha haya.. Ila still nyinginr ni hatar

Keap ya head up, humu alinimalza kabisa hasa verse ya kwanza

Do for love.. Verse zote sijawah ichoka hii nyimbo kuisklza, nakumbuka niliedit verse zote 3, nikapunguza maneno n kuziunga unga nikapata bonge la msg nikamtumia mwali, ilikuwa hatar aliona kama mtu wa ajab vile

Trade war stories
How do u want it
Americans 2 most wanted
Changes.. Bonge la ngoma, aliandika mashair huku akili ikiwa ipo miaka kadha mbele
So many tears
All eyes on me
Me against the world
Hit em up..
makaveli10 ngoma do for love ni tamu vibaya hasa ile r
 
Mchiz alikuwa daraja la pekee yake.. Ngumu kuisklza nyimbo ya miaka ya 90's kwa hamu na utamu ule ule kama imetoka jana
najaribu kuvuta picha kama jamaa angekuwa hai mpaka sasa hivi sijui ingekuwaje??
kuna siku niliumia sana kumfananisha 2pac na dogo kendrick lamar wanasema kendrick ni zaidi ya 2pac hakika niliumia mno.
 
Letter to my unborn child..hili jina ndio limenifanya kuupenda sana huu wimbo ingawa sijui humo ndani kamaanisha nin kwenye iyo barua
 
Letter to my unborn child

"...I got shot 5 times but I'm still breathing, living proof there is a God if u need a reason.."
 
I like every track by Tupac Shakoor. Matter fact he was not just an MC he was the Prophet.
 
najaribu kuvuta picha kama jamaa angekuwa hai mpaka sasa hivi sijui ingekuwaje??
kuna siku niliumia sana kumfananisha 2pac na dogo kendrick lamar wanasema kendrick ni zaidi ya 2pac hakika niliumia mno.
Kwangu mimi bado sana...

Tupac alichonga njia ambayo wasanii wengi wanapita sasa.. So ngumu kumlinganisha na hawa vijana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom