Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Kwanini...?Ila kuna huu wa HEAVEN GOT GHETO ft DOG DOG mi binafsi sikufurahishwa nao
Funguka sasa
Kwanini...?Ila kuna huu wa HEAVEN GOT GHETO ft DOG DOG mi binafsi sikufurahishwa nao
Me naupenda ule unaitwa Do for love
Acha tu mkuu hii ngoma kila siku lazima niisikilizeDO FOR LOVE ngoma tamu sana hakika hakuna kama tupac,
Acha tu mkuu hii ngoma kila siku lazima niisikilize
Nazipata mkuu ila hiyo do for lv imeingia moaka kwenye damumkuu jaribu kuisikiliza ngoma hii happy home na ain't easy hakika utazikubali jinsi alivyopangilia beat,chorus,verse
ok mkuu, my bad. Ila from my point of view as individual, hakuna mkali wa Rap zaidi ya Mr. Shakur, ninakubali kuwa wengi walianza na legends wa rap ila Tupac took it the whole new level, not in terms of sales but popularity na we still enjoy his music. I cant listen to Cool J stuff now but 2pac's work is classic. Notorious B.I.G anaweza kwenda kwenye category hiyo pia.
NI mtazamo wangu tu.
Nazipata mkuu ila hiyo do for lv imeingia moaka kwenye damu
Ngoja niingie tubemate mkuu nizisake
Hapa nakula ile inatwa baby don cry huku ikifuatiwa na do for love then itakuja carlfonia