Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

Killuminati

JF-Expert Member
Apr 24, 2007
329
36
Tupac kama tumjuavyo wote ni mmojawapo wa wataalam wa hip hop na Rap kwa pamoja ambaye hajawahi kutokea. Swali la burudani ni kuwa kama ni fan wake, je nyimbo gani ya 2pac unai-feel na reason it?. Nikiwa fan wake mi naipenda Black jesus kwa sababu ya concept nzima behind the song which is actually not the Jesus who is black but the person who can lead black people from their struggle or oppression!! Whats your favourite again?
 
Aisee I can't just narrow it down to one song...naupenda 'Brenda's got a baby' kwa sababu ana adress social issues katika mambo ya unprotected sex na personal responsibility. Brenda ni msichana wa miaka 12. Anazaa mtoto ambaye hawezi kumlea. Ni case ya mtoto kuzaa mtoto na failure ya jamii nzima kuwajibika. Brenda ni metaphor ya wasichana wadogo wanaopata mimba na kuishia kuwatupa watoto wao. Inasikitisha!

Naupenda pia "Trapped". Kwenye huu anaelezea mambo ya police brutality na jinsi polisi walivyo crooked. Halafu baada ya huu wimbo ndio LA riots zikaja...definitely he knew what he was talking about maana hata yeye alikuwa victim wa police brutality!

'To live and die in LA'....this is one of those feel good type of songs giving you a glimpse of eveyday life in LA (from his vantage point, of course)

Man..Pac has so many hits it's not fair to just pick one...
 
yeah,ana many hits na sio fair kutaja moja ndio bora...but ikinibidi sana nitaitaja aint mad at cha....
 
So many great hits, RIP Tupac

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=JlQcJAjYxaI]YouTube - 2pac-gotta keep ya head up[/ame]
 
HIS rasping delivery and the effortless seductively rhymes over harsh,syncopated beats ensures that B.I.G will always be number one in hiphops pantheon of fame,the rest including TUPAC will be content with being second best
 
Aisee I can't just narrow it down to one song...naupenda 'Brenda's got a baby' kwa sababu ana adress social issues katika mambo ya unprotected sex na personal responsibility. Brenda ni msichana wa miaka 12. Anazaa mtoto ambaye hawezi kumlea. Ni case ya mtoto kuzaa mtoto na failure ya jamii nzima kuwajibika. Brenda ni metaphor ya wasichana wadogo wanaopata mimba na kuishia kuwatupa watoto wao. Inasikitisha!

Naupenda pia "Trapped". Kwenye huu anaelezea mambo ya police brutality na jinsi polisi walivyo crooked. Halafu baada ya huu wimbo ndio LA riots zikaja...definitely he knew what he was talking about maana hata yeye alikuwa victim wa police brutality!

'To live and die in LA'....this is one of those feel good type of songs giving you a glimpse of eveyday life in LA (from his vantage point, of course)

Man..Pac has so many hits it's not fair to just pick one...

kumbe unajua muziki? nilifikiri unajua soulja boy na weezey
 
Huu unanikumusha mzee wa TALK BOX, yaani Rogers Troutman. Hapa G-Funky limetulia sana na unaisikia kabisa kazi ya D.R.E. na Dr. Dre.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=padvnsLUhUM]YouTube - Tupac - Only God Can Judge Me[/ame]

Hapa na Snoop walitelezasafi sana. Sikuweka Carli. Love maana unafahamika sana. Hapo ndipo unaona team iliyomzunguka haikuwa ya kawaida. Kuanzia Roger na Talk box yake, George Clinton (The Dogg Father), Dre, na group lote la death row record.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=73hVXL_-oQw]YouTube - 2Pac, Nate Dogg, Outlawz & Top Dogg - All About U[/ame]
 
HIS rasping delivery and the effortless seductively rhymes over harsh,syncopated beats ensures that B.I.G will always be number one in hiphops pantheon of fame,the rest including TUPAC will be content with being second best

sijakuelewa hapa mkuu, are you sure of what you talkin' about?? 2pac second best?? Please do your homework. B.I.G ni mzuri ila si kihivyo sana mbele ya Pac. Simple and clear otherwise elaborate your facts.
 
Baby don't cry (keep ya head up) naupenda sana, una ujumbe mzuri na kumfanya mtu sanasana mwanamke asikate tamaa akipatwa na tatizo maishani. Rap zake nyingi zilikuwa na ujumbe kwa jamii tofauti na siku hizi.

California love pia kwa kudance naupenda kwa kweli, flow nzima ya wimbo ni kali.

In short Tupac is dead but his legacy lingers!
 
Tupac kama tumjuavyo wote ni mmojawapo wa wataalam wa hip hop na Rap kwa pamoja ambaye hajawahi kutokea...

Wengi tu wapenzi wa Tupac lakini si wote "tumjuavyo Tupac hajawahi kutokea."

Walikuwepo, na wapo, wengine waliotikisa ulimwengu wa hip hop kama au kupita Tupac. Rakim, Jay Z, Cool G Rap, Nas, KRS One, Big Daddy Kane, Notorius B.I.G, L.L. Cool J, ni baadhi ya walio katika ligi hiyo hiyo ya 2pac.
 
- Big Dady Kane, L.L. Cool J, na Cool G Rap hawaingii hapo na hao watoto wadogo, ingaawa umewaacha Heavy D, Ice Cube, Easy E, na Ray Base
 
Wengi tu wapenzi wa Tupac lakini si wote "tumjuavyo Tupac hajawahi kutokea."

Walikuwepo, na wapo, wengine waliotikisa ulimwengu wa hip hop kama au kupita Tupac. Rakim, Jay Z, Cool G Rap, Nas, KRS One, Big Daddy Kane, Notorius B.I.G, L.L. Cool J, ni baadhi ya walio katika ligi hiyo hiyo ya 2pac.

ok mkuu, my bad. Ila from my point of view as individual, hakuna mkali wa Rap zaidi ya Mr. Shakur, ninakubali kuwa wengi walianza na legends wa rap ila Tupac took it the whole new level, not in terms of sales but popularity na we still enjoy his music. I cant listen to Cool J stuff now but 2pac's work is classic. Notorious B.I.G anaweza kwenda kwenye category hiyo pia.

NI mtazamo wangu tu.
 
HIS rasping delivery and the effortless seductively rhymes over harsh,syncopated beats ensures that B.I.G will always be number one in hiphops pantheon of fame,the rest including TUPAC will be content with being second best

we nini banaaa,acha fujo!
 
Ok ana nyingi but you can still pick one and to me every time I listen to DEAR MAMA I am getting so emmotion.

SAHIBA.
 
ok mkuu, my bad. Ila from my point of view as individual, hakuna mkali wa Rap zaidi ya Mr. Shakur...

NI mtazamo wangu tu.

Hapana, ungemaanisha kwamba umekosea, na si kusudi, basi ungebadilisha kwenye posti ya mada. Umetuongelea wote. Jiongelee. Halafu tuendelee na mjadala.

Si wote tunaojua au kukubaliana kwamba "Tupac hakuwahi kutokea" zaidi yake. Japo tunampenda na kumuenzi, wapo walio ligi moja nae, au kumpita, na nirudie wachache, kina Rakim, Nas, Jay Z, Notorious B.I.G na KRS One.
 
inayoniacha ni ile "It aint Easy" kwenye album ya ME AGAISNT THE WORLD, lyrics na beats zimeenda shule
 
tupac rather makavelli was not availlable for the comments......ila kwanini tusiwe wakweli tuuu..HIT'EM UP...mzeeeeeeeeiyaaa alitisha...mwenyewe aliwahi kufanya interview akakiri kuwa that was his best..classical hip hop.....mwananchi aliisambaratisha badboy kuanzia mlinzi wa getini ofisini kwao mpaka boss na mkewe na watoto nyumbani....NAUPENDA SANA WIMBO HUO.........ila watoto wa sikuhizi huyu lil wizzy naona kama anaweka his feet on pac's shoes...lets hope ataweza he;s comin gud
 
Back
Top Bottom