Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Ha,haaa....
Siyokweli mkuu,labda km unamke wa mwendokasi,asiyejua majukumu na kwa nn yupo na wewe
Kumbuka tunashea experience mkuu...
Halafu ukumbuke wewe una UMWENDOKASI WAKo wa aina hii, na mwingine anao wa aina ile....

ILA NJUWACHO HAKUNA ASIYE NA UMWENDOKASI, ILA TU KILA MMOJA ANAO WA KWAKE
 
Mimi huwa nachokaga pale ninapomkanya jambo fulani leo halafu kesho anarudia hilohilo, ila yeye akimkanya mtoto leo halafu kesho mtoto akalirudia, humshushia kipondo.
Sasa nawaza na mimi nilianzishe nini.
Akirudia kosa tu, rungu.
 
Hahahahaa, Hisia gani.? kama kugegedwa, unakuta unagegedwa mpaka unaomba poo, kuhudumiwa unahudumiwa, Ukiwa na msongo wa mawazo unaliwazwa, ukihitaji ushauri unashauriwa.kipi tena unachokitaka mpaka uchepuke.?, Au ni hilo tuu la kumtafuta mtu wa kumuuliza upo wapi, unafanya nini, upo na nana.?
Teh....
Hisia siyo kugegedwa tu,hata kuulizwa uko wapi ni hisia za labda naibiwa,na hata km ukinijibu nipo njian nakuja mke wangu kwani utapungukiwa nini?tatizo lako unapenda kushindana na ukitaka kijenga heshima kweny ndoa yako acha mawzo hasi,la sivyo mwanamke atakusumbua sana
 
hahahaa, wala sijengi mawazo hasi. wewe kwa kuuliza hivyo ndo unajenga mawazo hasi. Usichojua tuu, ni kwamba wanaume huwa hatupendi tuongozwe na kupangiwa nini cha kufanya. Tunachohitaji ni ushauri at some point. Na hii ni nature, hakuna wa kulibadili.
 
Wanawake pia hatupendi kupuuzwa,kukuuliza uko wp ni hisia pia,tatizo lenu mnawaza sana mpk mnapitiliza, kuwa mwanamke akikuuliza ulipo anakupangia cha kufanya.Na hii pia ni nature hakuna wa kuibadili.
 
Kitu kingine muhimu ni kwamba kama umeoa ukitegemea kupewa penzi 24/7 imekula kwako, mwanzoni utavumiliwa ila mkishapata watoto utakoma maana sometimes inapita hata week 2 au hata mwezi anakuangalia tuu na visingizio kibao.
Sasa sie ambao tunajifanya wafia dini tunateseka na stress maana hatuwezi chepuka na wanajua hilo ndio maana hawajali, ila soon mie uvumilivu utanishinda maisha yenyewe mafupi hivi na hii kitu ukishafika 50s ndio mambo ya viagra sasa kwa nini nisienjoy sasa hivi niina nguvu
 
Wanawake pia hatupendi kupuuzwa,kukuuliza uko wp ni hisia pia,tatizo lenu mnawaza sana mpk mnapitiliza, kuwa mwanamke akikuuliza ulipo anakupangia cha kufanya.Na hii pia ni nature hakuna wa kuibadili.

Hahahaaah, Umeshinda mama. Ila acha wivu.
 
mimi nina changamoto nyngi sna lakin kinachonikera zaidi ni vile wife nampa hela ya matumizi halafu anaimaliza kabla ya mda ambao tulikubaliana mbaya zaidi hakupi maelezo ya kutosha kua amefanyia nini hela hata imeshindwa kumaliza mwezi mmoja, kwa mfano.
 
MIMI NINACHOAMINI KAMA UMEOA BIKRA HUSUMBUKI MKUU KAMA HUYU WANGU NENO UCHUNGU WA NDOA SIJAWAHI UPATA WALA KUUSIKIA
Daaaah bora hata wewe mkuu umenifariji kidogo, Hawa wengine kila mtu anachoma mwiba yani daaah
 
Kumbe tupo wengi boss tusiopenda ii tabia. Nilidhani nipo mwenyewe.
Mbaya zaidi hata waulizaji nao eti huwa hawapendi kuulizwa.... We fikiria mtu unatoka POSTA unaelekea Mwenge, huku Dar.. unafika Redcross... huyo, upo wapi..?? Unafika Salenda upo wapi... Unafika Mbuyuni, uko wapi.... Unafika Moroco upowapi.. Unafika Bamaga upo wapi..... YAANI KERO HADI NJAA INAUMA
 
Mtu mwenyewe ndiye anaruhusu machungu yampate. Vinginevyo ndoa haina machungu.
 
Salaam ndugu zangu,

Wahenga walisema "Ndoa ndoano" na wengine wakasema "Ndoa ni fumbo".

Yote hii inaashiria kuna jambo na vijambo ndani yake. Japo yapo mazuri mengi ila napenda hapa tuyamuulike yale machungu yanayopelekea wengine kuwa vichaa, kuikimbia ndoa au hata kutoa uhai wao.

Binafsi nilighafirika nilipogundua shemeji/wifi yenu ana hawara na kila akipost picha facebook anatu-tag wote na jamaa anaelewa kila kitu japo mi sielewi. Mpaka sasa simwamini tena.
Utamu wa ngoma ingia ucheze usingoje kuhadithiwa.
 
Mbaya zaidi hata waulizaji nao eti huwa hawapendi kuulizwa.... We fikiria mtu unatoka POSTA unaelekea Mwenge, huku Dar.. unafika Redcross... huyo, upo wapi..?? Unafika Salenda upo wapi... Unafika Mbuyuni, uko wapi.... Unafika Moroco upowapi.. Unafika Bamaga upo wapi..... YAANI KERO HADI NJAA INAUMA
Sijao ila na mchuchu wangu huwa namtukana.

Sipendi hayo maswali kama nini mkuu.
 
Salaam ndugu zangu,

Wahenga walisema "Ndoa ndoano" na wengine wakasema "Ndoa ni fumbo".

Yote hii inaashiria kuna jambo na vijambo ndani yake. Japo yapo mazuri mengi ila napenda hapa tuyamuulike yale machungu yanayopelekea wengine kuwa vichaa, kuikimbia ndoa au hata kutoa uhai wao.

Binafsi nilighafirika nilipogundua shemeji/wifi yenu ana hawara na kila akipost picha facebook anatu-tag wote na jamaa anaelewa kila kitu japo mi sielewi. Mpaka sasa simwamini tena.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana kaka daah!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom