Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Kwa msimamo wako juu ya ndoa,sikutegemea kama ungeandika haya.........Vipi ushaanza kulegeza kamba?....
kula[emoji109] [emoji109] [emoji110] [emoji110] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Watu wanadumu kwenye ndoa si kwa kuwa ndoa hazina changamoto bali ni kutokana na umahiri wao na uwezo wa wanandoa kupambana na changamoto hizo........

Ingia katika ndoa ukiwa na hisia chanya juu ya ndoa...hii itakupa mbinu na uwezo wa kupambana na changamoto zilizomo kwenye ndoa.....ukiingia kwenye ndoa huku ukiwa na maoni hasi na hisia hasi.....itakupunguzia uwezo wa kupambana na hizo changamoto na kujiona kama vile upo kwenye gereza la mateso makali huku wenzio upande wa pili wakifurahia maisha ya ndoa.....kama wapo paradiso.....
Leo umenikoshaaa
 
Kitu kingine muhimu ni kwamba kama umeoa ukitegemea kupewa penzi 24/7 imekula kwako, mwanzoni utavumiliwa ila mkishapata watoto utakoma maana sometimes inapita hata week 2 au hata mwezi anakuangalia tuu na visingizio kibao.
Sasa sie ambao tunajifanya wafia dini tunateseka na stress maana hatuwezi chepuka na wanajua hilo ndio maana hawajali, ila soon mie uvumilivu utanishinda maisha yenyewe mafupi hivi na hii kitu ukishafika 50s ndio mambo ya viagra sasa kwa nini nisienjoy sasa hivi niina nguvu
Chepuka na dini yako Mkuu.
 
Sijao ila na mchuchu wangu huwa namtukana.

Sipendi hayo maswali kama nini mkuu.
Mbaya zaidi usipojibu kwa uhakia... wanakonkludi kuwa unachepuka.... AU UPO KWENYE DALADALA ANAKUULIZA ULIPO na unakoelekea, UNAMWAMBIA MAGOMENI naelekea posta.. halafu kwa mbali anamsikia konda... WA BUNJU KITUO NDO HIKI... konda anaendelea ... MWENGEEE... MWENGEEEE....
 
Hahahah nouma Mkuu.
 
Mbaya zaidi hata waulizaji nao eti huwa hawapendi kuulizwa.... We fikiria mtu unatoka POSTA unaelekea Mwenge, huku Dar.. unafika Redcross... huyo, upo wapi..?? Unafika Salenda upo wapi... Unafika Mbuyuni, uko wapi.... Unafika Moroco upowapi.. Unafika Bamaga upo wapi..... YAANI KERO HADI NJAA INAUMA
mapenzi hayo jamanii
 
to be honest me ni mwanamke lkn nachukizwa pia sana na hayo maswali tena niliwahi kuwa na kichefchef uyo akipiga simu hata akisikia wadada wanacheka pembeni yangu atauliza wanacheka nini😡😡 unaeza ulie huku unabamiza simu unajua
punguza hasira..ndo kupendwa hukoo
 
Kitu kingine muhimu ni kwamba kama umeoa ukitegemea kupewa penzi 24/7 imekula kwako, mwanzoni utavumiliwa ila mkishapata watoto utakoma maana sometimes inapita hata week 2 au hata mwezi anakuangalia tuu na visingizio kibao.
Sasa sie ambao tunajifanya wafia dini tunateseka na stress maana hatuwezi chepuka na wanajua hilo ndio maana hawajali, ila soon mie uvumilivu utanishinda maisha yenyewe mafupi hivi na hii kitu ukishafika 50s ndio mambo ya viagra sasa kwa nini nisienjoy sasa hivi niina nguvu
polee!!Ila usichepuke tafadhali!
 
Mkuu ulikuja kugundua vipi kuwa jamaa ndo mwizi wako na baada ya hapo nini kilifuata...Nahisi kuna jambo la kujifunza katika majibu yako utakayoyatoa..
Huyo mwizi nlimkamatia whatsApp baada ya kuitia simu ya shemejio nguvuni.

Nlichat na kamaa vizuri akijua anachat na wife na akafunguka vitu vyote alivyomic kwa wife makiss, kushikanashikana nk....

Kwakua jamaa alikuwa kaweka profile picture yake na kaseviwa jina lake ilikua rahisi kufahamu ndo yeye nnayemuona fb akijitahidi kucomment ktk post za wife.

Comments zake zilikua na utata mwingi kama "miss you my (jina la wife)" nikadhani labda ndo uzungu wa siku hizi na kila picha anamtag.

Kukamata mchepuko inahitaji ujue kuunganisha matukio mpaka upate picha nzima.
 
Najua,,najua,tena najua saaana..
Kikubwa heshima iwepo,nisijue.ukiwa hom tambua ni muda wangu nipe ninachotaka km kipo ndani ya uwezo wako.
Ila ukinipuuza na kutojali hisia zangu na mm nachepuka vilevile na wallah hutokaa ujue
Ulishawahi kuchepuka
 
Siyo kweli... kichepuka kunaweza sababishwa na yeyote kati yenu.. baadhi ya sababu..
1. Usinishike hapa,
2. Mi hivi sijazowea
3. Baba mchungaji kasema hii dhambi
4. Nimechoka za kila siku
Niliachana na manzi wangu kisa hizo tabia hapo juu.

Tukiwa kwenye mambo nikifanya hivi unaniumiza na ngumi juu.

Nikishika shingo tena softly unaniuliza...eti hata tako nalo unaniumiza..kweli??

Nikasema siyo ishu ngoja nichukue time yangu.
 
Huo uvumilivu wa ndoa mimi nashindwa kuuelewa. Achana naye, kuna samaki wengi ndani ya bahari na wazuri na tena watamu. Hiyo train iliishaondoka, iache iende inayofuata ina seat nzuri tuuuuu[emoji1540]
 
Kitu kidogo.....maneno debe hata kabla hujatoa sababu ya kwanini kimetokea kilochotokea,mxiewwwwwwww ngoja nisonyee hukuhuku
 
Niliachana na manzi wangu kisa hizo tabia hapo juu.

Tukiwa kwenye mambo nikifanya hivi unaniumiza na ngumi juu.

Nikishika shingo tena softly unaniuliza...eti hata tako nalo unaniumiza..kweli??

Nikasema siyo ishu ngoja nichukue time yangu.
Inategemea na mikono yako.
Km migumu nisiseme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom