platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,532
Maamuzi gani ulichukua baada ya hapoHuyo mwizi nlimkamatia whatsApp baada ya kuitia simu ya shemejio nguvuni.
Nlichat na kamaa vizuri akijua anachat na wife na akafunguka vitu vyote alivyomic kwa wife makiss, kushikanashikana nk....
Kwakua jamaa alikuwa kaweka profile picture yake na kaseviwa jina lake ilikua rahisi kufahamu ndo yeye nnayemuona fb akijitahidi kucomment ktk post za wife.
Comments zake zilikua na utata mwingi kama "miss you my (jina la wife)" nikadhani labda ndo uzungu wa siku hizi na kila picha anamtag.
Kukamata mchepuko inahitaji ujue kuunganisha matukio mpaka upate picha nzima.