Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,118
Salaam ndugu zangu,
Wahenga walisema "Ndoa ndoano" na wengine wakasema "Ndoa ni fumbo".
Yote hii inaashiria kuna jambo na vijambo ndani yake. Japo yapo mazuri mengi ila napenda hapa tuyamuulike yale machungu yanayopelekea wengine kuwa vichaa, kuikimbia ndoa au hata kutoa uhai wao.
Binafsi nilighafirika nilipogundua shemeji/wifi yenu ana hawara na kila akipost picha facebook anatu-tag wote na jamaa anaelewa kila kitu japo mi sielewi. Mpaka sasa simwamini tena.