Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
[emoji3] [emoji3]Hata sijui
[emoji3] [emoji3]Hata sijui
Hivi wewe ni mtunzi wa filamu? Mbona unakatiza stori?Nlimwambia jamaa kama anamhitaji wife aende kwao akajieleze mi ntamkabidhi kiroho safi kabisa maana sina muda wa kugombea mwanamke ila nnachotaka ni kumkabidhi kwa kufuata utaratibu.
Wife nae nikamchana kwamba asijione kama yeye ni keki, kama anamhitaji jamaa aseme nikamkabidhi na mimi nitang'oa chombo kikali kuliko hata yeye. Akaniuliza kwani yeye mbaya, nikamuuliza anadhani ana uzuri gani...
Na ulivyo mtata....maneno silaha yakoChepuka nisijue tuu!!nkijua nampigia simu mdadaa!!nampa facts
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ulijuaje?yaani nikiskia unàchepuka nampigia simu namuambia kabisa Huyo mume wangu,na hapa asubuhi katoka amevaa hivi na hivi...!Na ulivyo mtata....maneno silaha yako
Shida ipo kwenye huko kumpata mana si rahisiwala usitishike ndoa tamu sana ukimpata anaejua maana ya ndoa yenyewe
Kuja pm ntakusaidia usijali [emoji1] [emoji2] [emoji3]Shida ipo kwenye huko kumpata mana si rahisi
Huyo wa kutaka honi sasa nae kazidi lolsAnhaaa, inaonekana na wewe ndo zako hizi.
Maana mtu unakuta kila baada ya lisaa limoja kapiga simu. Upo wapi, upo na nani, unafanya nini. Anavyokomalia basi, ukimwambia nipo kwenye usafiri anakwambia mwambje dereva apige honi nisikie kama kweli upo kwenye usafiri.
Arrrhgghh.
Huyo wa kutaka honi sasa nae kazidi lols
Mm binafsi nafikiri swala lilipo ni kusameheana,kuliongea,kua wawazi wote wawili pasipo kua na kinyongo,chuki au hasira baina yenu!mapenzi hayakosi dosari na baada ya hapo penzi huwa tamu san maana mnakua mmefungua ukurasa mpyaaMtihani uliopo hapo ni je:
Usamehe?
Ulipize?
Umuache?
Ukiwaza hayo akili inazidi kupata moto.
Nimeipenda hiiHa,haaaaa.....
Maisha ya ndoa yanachangamoto nyingi,,na ni matamu ikiwa kila mmoja anasimama kwenye mstari wake(hasa yule anayependa kuitwa kichwa cha nyumba)
[emoji15] [emoji4] [emoji4] [emoji3]Kuja pm ntakusaidia usijali [emoji1] [emoji2] [emoji3]
ujue wengi hawajaoa bikra mkuu vilio vingi sana kwao ndoa chunguuuuDaaaah bora hata wewe mkuu umenifariji kidogo, Hawa wengine kila mtu anachoma mwiba yani daaah
Sio story mkuu.Hivi wewe ni mtunzi wa filamu? Mbona unakatiza stori?
Ndg yangu unapogundua mwenzako anakusaliti hata hisia za kulala nae zinaondoka kabisa maana anakua kama vile anawashindanisha kitandani na likitu linalovuliwa chupi na mtu mwingine unakuaje na hisia nalo?Mm binafsi nafikiri swala lilipo ni kusameheana,kuliongea,kua wawazi wote wawili pasipo kua na kinyongo,chuki au hasira baina yenu!mapenzi hayakosi dosari na baada ya hapo penzi huwa tamu san maana mnakua mmefungua ukurasa mpyaa
Hasira hazijengi,kulipiza hakufai maana wote mtaambulia magonjwa na mengine meng
Hahaha umeua...Nlimwambia jamaa kama anamhitaji wife aende kwao akajieleze mi ntamkabidhi kiroho safi kabisa maana sina muda wa kugombea mwanamke ila nnachotaka ni kumkabidhi kwa kufuata utaratibu.
Wife nae nikamchana kwamba asijione kama yeye ni keki, kama anamhitaji jamaa aseme nikamkabidhi na mimi nitang'oa chombo kikali kuliko hata yeye. Akaniuliza kwani yeye mbaya, nikamuuliza anadhani ana uzuri gani...
Kuna jirani yangu alioa bikira mwaka 1998 lakini kaja kusalitiwa mwaka 2013 alipoenda mkoani kufanya kazi kama ya mwezi mmoja.ujue wengi hawajaoa bikra mkuu vilio vingi sana kwao ndoa chunguuuu
Wameshamgeuza sponsor...Mume kurogwa na madada wa mjini.. Mungu anawaona Kinadada, Mungu ndie mkuu,nawaombea mpate wa kwenu muache kuwanga