Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] complex umeniua mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tandika blocks za nguvu kila kona hakuna sms calls
wala social network kupenya and U'll be free

Anhaaa, inaonekana na wewe ndo zako hizi.

Maana mtu unakuta kila baada ya lisaa limoja kapiga simu. Upo wapi, upo na nani, unafanya nini. Anavyokomalia basi, ukimwambia nipo kwenye usafiri anakwambia mwambje dereva apige honi nisikie kama kweli upo kwenye usafiri.

Arrrhgghh.
 
Wanaume kuna kitu hamuelewi na sijui ni nan atakuja kuwaelimisha jmn.
Siku ukiacha kuulizw uko wapi,upo na nan,unafanya nn ujue kuna anayeulizwa,,usidhan ni sifa

Believe me or not wanaume wanachukia hili swali kiasi kwamba utakapolihamishia kwingine Kama usemavyo lazima uliboreshe utaliweka kiutamu utamu " bby uko wapi saa hizi nimekumiss" ila Sio kavu kavu Kama unazotuma Kwa mumeo " uko wapi? Uko na nani? Unarudi saa ngapi? [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]

Mimi Ni mwanamke ila nayachukia hayo maswali na akitokea mshamba mshamba wa kuniuliza ovyo bila kunipa pumzi huwa napiga kibuti fastaaaa kero ya nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa, usiniambie na wewe ni mmoja wapo wa waulizaji. Yaani binafsi nisipoulizwa ninakuwa comfortable sana.

sasa mtu unakuta anakupigia simu anaanza maswali yake, upo wapi, unamwambia, upo na nani, unamwambia (bahati nzuri naye huyo mtu anamjua), baada ya hapo unasikia nipe simu niongee naye nihakikishe.
 
Believe me or not wanaume wanachukia hili swali kiasi kwamba utakapolihamishia kwingine Kama usemavyo lazima uliboreshe utaliweka kiutamu utamu " bby uko wapi saa hizi nimekumiss" ila Sio kavu kavu Kama unazotuma Kwa mumeo " uko wapi? Uko na nani? Unarudi saa ngapi? [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]

Mimi Ni mwanamke ila nayachukia hayo maswali na akitokea mshamba mshamba wa kuniuliza ovyo bila kunipa pumzi huwa napiga kibuti fastaaaa kero ya nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afadhali unisaidie aisee. hahahaaaa..! maana, kuna wanawake wanajua kuuliza aisee.
 
Ha,haaa....
Lazima niulize mkuu
Abiria chunga mzigo wako,la sivyo utachungiwa

hahahaaahaa, mizigo haichungwi hivyo aisee, wanaume tuna mbinu mia saba sabini za kuchepuka na msijue.
 
  • Thanks
Reactions: irk

Najua,,najua,tena najua saaana..
Kikubwa heshima iwepo,nisijue.ukiwa hom tambua ni muda wangu nipe ninachotaka km kipo ndani ya uwezo wako.
Ila ukinipuuza na kutojali hisia zangu na mm nachepuka vilevile na wallah hutokaa ujue
 
Ngoja nijichukulie siti mapema hapa
 
Najua,,najua,tena najua saaana..
Kikubwa heshima iwepo,nisijue.ukiwa hom tambua ni muda wangu nipe ninachotaka km kipo ndani ya uwezo wako.
Ila ukinipuuza na kutojali hisia zangu na mm nachepuka vilevile na wallah hutokaa ujue

vyoote ndani ya uwezo wangu utapata. Ikiwezekana na extra. Ila hayo mambo yako ya kupiga simu mfululizo mithili ya sindano ya cherehani inashona nguo uyaache.

Hhhhhhhaaahaha.
 
  • Thanks
Reactions: irk
vyoote ndani ya uwezo wangu utapata. Ikiwezekana na extra. Ila hayo mambo yako ya kupiga simu mfululizo mithili ya sindano ya cherehani inashona nguo uyaache.

Hhhhhhhaaahaha.
Ha,haaaaa.....itabidi univumilie tuu mana hamna namna mkuu.
Kupiga kote cm ni nafsi inahangaika kutokana na mapenzi niliyonayo kwako.
Na ukichukia bora uvunge hata unidanganye nipo njian nakuja mke wangu mana mnakosaga mengi,
 
hahahaaaa, Nikwambie nakuja ili ujipange, Yaani nakuja kama anko magu, Ni mwendo wa kushtukiza tuu kwa kwenda mbele.

Ni mengi yepi hayo tunatotakosaga.?
 
Wanaume kuna kitu hamuelewi na sijui ni nan atakuja kuwaelimisha jmn.
Siku ukiacha kuulizw uko wapi,upo na nan,unafanya nn ujue kuna anayeulizwa,,usidhan ni sifa
hahahaha. bora umenisaidia kuandika nilichotaka kuandika. sasa waache wabwabwaje kusumbuliwa kuulizwa apatikane mwengine wakuulizwa.
 
Najua,,najua,tena najua saaana..
Kikubwa heshima iwepo,nisijue.ukiwa hom tambua ni muda wangu nipe ninachotaka km kipo ndani ya uwezo wako.
Ila ukinipuuza na kutojali hisia zangu na mm nachepuka vilevile na wallah hutokaa ujue
santaaa.
 
Yaani tena sanaaaa. Kuuliza kuwe na kiasi. Siyo unanigeuza customer care, kila baada ya nusu saa napokea simu yako. Hahahaa
ww ngja apatkane mwngine wa kuulizwa kama utaskia unaulizwa tna mpka utajishtukia. hahahha utasema kunani tna mwnzangu!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom