Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

Salaam ndugu zangu.

Wahenga walisema "Ndoa ndoano" na wengine wakasema "Ndoa ni fumbo".

Yote hii inaashiria kuna jambo na vijambo ndani yake. Japo yapo mazuri mengi ila napenda hapa tuyamuulike yale machungu yanayopelekea wengine kuwa vichaa, kuikimbia ndoa au hata kutoa uhai wao.

Binafsi nilighafirika nilipogundua shemeji/wifi yenu ana hawara na kila akipost picha facebook anatu-tag wote na jamaa anaelewa kila kitu japo mi sielewi. Mpaka sasa simwamini tena.
Huu ni mtego kwa tusiooa na wasio olewa.Naona dalili za vijana kutokuoa zikizidi kutokana na experience tutakayoshuhudia.
 
Huu ni mtego kwa tusiooa na wasio olewa.Naona dalili za vijana kutokuoa zikizidi kutokana na experience tutakayoshuhudia.
Ondoa shaka mkuu.
Ni vyema kupima kina cha maji kabla ya kuamua kuvuka.
Wapo pia wanaopenda kujaribu mambo hata yaliyowashinda wengine.
 
Kila mtu ana mitihani yake anayopitia kwenye ndoa ni uvumilivu tu ndo kikubwa bola ya waislamu kuna talaka tofaut na wakristo kidogo kukaa vikao na kupatanishwa vumilianeni ndoa ni uvumilivu sisi wazazi wenu tumefikia umri huu tumepitia yote kinachotakiwa mvumiliane unaetaka kuingia kwenye ndoa ingia tu wala usiogope
Kuacha mke ni mtihani kama ilivyo kuacha pombe au sigara.
Uvumilivu ukizidi pia unaweza letewa magonjwa ndani.
 
Mtihani uliopo hapo ni je:
Usamehe?
Ulipize?
Umuache?

Ukiwaza hayo akili inazidi kupata moto.
Majibu yatatofautiana kwa kila upande.
Mf, mi mwanamke nikisema nimsamehe, itatoka mdomoni lakin moyon hapana,
Nikisema nilipize inategemea na yeye je ataacha hyo tabia baada ya kumgundua toka ile siku ya kwanza?
Kumuacha inategemea pia na familia uliyonayo,km ninaweza kuimudu peke yangu nasepa km siwez navunga then napanga ya baadae
 
MIMI NINACHOAMINI KAMA UMEOA BIKRA HUSUMBUKI MKUU KAMA HUYU WANGU NENO UCHUNGU WA NDOA SIJAWAHI UPATA WALA KUUSIKIA
 
Majibu yatatofautiana kwa kila upande.
Mf, mi mwanamke nikisema nimsamehe, itatoka mdomoni lakin moyon hapana,
Nikisema nilipize inategemea na yeye je ataacha hyo tabia baada ya kumgundua toka ile siku ya kwanza?
Kumuacha inategemea pia na familia uliyonayo,km ninaweza kuimudu peke yangu nasepa km siwez navunga then napanga ya baadae
Kwa changamoto hizo ni lazima mwanaume uzeeke mapema.
 
Ndoa ni tamuu na pia ni chunguu huwezi kabisa kuepuka hayo mambo mawili
 
Bro using'ang'anie ndoa....hasa pale unapoona mkeo si mwaminifu au anakudharau..., ukisema bas iwe basi, utapata kichaa, utakuja jinyonga...mwanamke anaekusalit hawezi kukuheshimu kamwe hata km utamsamehe mara mia au aape mbele ya nan sijui...mwisho wa siku utamfumania kitandani kwako analiwa nini ile haramu uje utembeze mapanga...ufungwe maisha upoteze direction bure bro...wakati ungeachana nae ungekuwa happy tu na kabint flan special, hukuzaliwa nae huyo asikudanganye mtu, ndoa inatakiwa iwe chanzo cha furaha yako hasa ktk dunia hii ya sasa ilojaa mautata na shida, ikiwa ndo yako ni shida au chanzo cha machungu achana nayo...lea watoto then fanya yako..LIFE IS ABT LOVE, PEACE AND HAPPINESS...SIO NDOA, NDOA NINI BANA KM INA MIGOGORO INAKUWA KM UNAKUMBATIA KAA LA MOTO, usiposhituka mapema utajuta baadae!!!!
 
Kuna shemeji yetu alihamisha ndugu wazazi wake wote anapoishi na mumewe sasa rafiki yetu hata taarifa ya habari anaenda kuangalizia BAR hana uhuru.
Duuh! Huo nao ujinga. Mume nae alete ndugu zake! Hao ndugu wa mke wataondoka tu
 
Yaani kuna hili la kupigiwa simu kila dakika, sijui upo wapi, upo na nani unafanya nini. Unaweza tukana mtu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] complex umeniua mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tandika blocks za nguvu kila kona hakuna sms calls
wala social network kupenya and U'll be free
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom