Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
J. K ndiyo muanzilishi na mchochezi wa haya mambo ya Udini hapa Tanzania.
Suala hili halijaanza leo wala jana linaeleweka limeanzia CCM kuwagawa watu kidini kwa ajili ya ulafi wa madaraka.
Tumeambiwa wakuu wa wilaya wameteuliwa na Rais na isitoshe asilimia kubwa ni marafiki wa mtoto wa Rais(Riz1 aliyeponea China kwa kutolewa kafara maliasili za Tz) leo hii lazima huyo mkuu wa wilaya/mkoa awe upande wa boss wake. Mleta mada katuambia hapo juu tatizo ni mkuu wa Wilaya hataki wakristo wachinje. Ok, ametumia sheria ipi? Kutok wapi? Kama siyo anataka kumfurahisha boss wake kwa sababu anamjua boss wake (J.K) ni mdini anayeelemea dini yake.

Hawakujua wanachokifanya kwa sababu laana imeshawatafuna, wamekuwa kama vichaa, hawaoni mbele, hawajui nini cha kufanya matokeo yake hawajui ni nini cha kufanya, wataenda kuwaeleza nini wananchi? J. K na kampuni yake hawajui lolote la kufanya at the sametime wanataka kuendelea kuwadanganya Waislam kuhusu narrow idea ya kuchinja ili 2015 waislam wawe mtaji wao tena ktk kura(warudishe slogan yao ya 'CDM ni chama cha wakristo').

J. K na kampuni yake wanateseka kwa mengi jamani, wataendeleaje kukaa madarakani, ? Hapo wakijiuliza wanakosa jibu frustration inachanganya vichwa vyao na ndipo kiama chao kinapokamilikia.
Tutegemee watu kuuana zaidi ktk hili la udini na hatimaye tutapata kiongozi wa Kweli ktk taifa letu.
 
Kwann serikali isiweke mambo wazi,hii hali hadi lin jaman.na pia kila mtu achinje vya kwake kwa sababu waislam wameishaona kuwa ndio wenye haki.pia bado swala la kuvaa hijabu mashulen kwann wanafunzi wote wasiwe sawa,lakin wenye haki sana.

hijab inakunyima raha sana eeh.. mambo ya kipuuzi kabisa.
 
ukweli hisia hizi zinachochewa na viongozi wa chadema tunduma

Wewe utabaki na mawazo hayo mgando huku hali ya hatari inalikabiri Taifa letu. Hili suala halina usiasa wowote kwa taharifa yako. Think outside the Box. Si kila kitu ni siasa.
 
Kesho kutwa kuna maandamno ya nchi nzima ya chama cha demokrasia na maendeleo sasa kwa hali hii sijui itakuwaje...
tatizo si Mkuu wa Wilaya, ni muendelezo wa chadema kuifanya nchi Isitawalike.
 
Hawa wakuu wa wilaya na mikoa wa JK nao tabu tupu...

Wanafanya kazi kwa aelekezo kutoka kwa boss wao.

Imeonyesha kwamba wakuu wa mikoa na wilaya wanatoa amri inayofanana. Hii ni dhahiri kwamba wameagizwa. Despite the negative reaction from wananchi, they keep on doing the same thing, wanajua hizo amri zao zinasababisha uvunjifu wa amani lakini wanaendelea kuzitoa.
 
Nia ya Serikali ni kuifanya nchi kuwa ya kiislamu. Wanaona kuwa wakiruhusu wakristo kuchinja itakuwa ni ajali kwa mpango wa JK na waarabu wake.
Wakristo wameshtuka na wamejua ukweli na hakuna wa kuuzima moto huu.
Piga, garagaza, nyama walizochinja waislamu, hazitaliwa tena na wakristo. Lazima kieleweke tu...
 
ni lazima tutetee imani yetu ila kwa kufunga na kusali zaidi na si vurugu.
Huyo mbunge ni wa chama gani? Kama hatakua ccm naamini hatakua na msaada wowote zaidi ya kumsifia raisi wake.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dunia hii watu bado wamefungwa na minyororo ya ujinga?? Mbona mim huwa nawaalika marafiki zangu kula kuku niliyochinja mwenyewe?? Kitimoto je?? Serikali itoe tamko kuepusha matatizo zaidi.
 
Hivi kinachobishaniwa ni nini hapa. Kwa nini ionekane ni halali (Kiserikali) kwa waislamu kuwachinjia wakristo nyama halafu iwe ni tatizo kwa wakristo kuwachinjia wakristo wenzao nyama? Mabucha ya serikali kwa nini yasitumiwe na watu wa dini zote mbili kwa kutenganishwa upande utumiwe na wakristo na upande waislamu!? Tatizo liko wapi?
Upo sahihi mkuu.Nchi za kiislam zinaweza zikawa na sheria kama hizo wanazozitetea members wengine humu.Yani lazima muislam achinje ili kukidhi mahitaji ya ibada.

Huku kwetu enzi hizi wanasema za "udhaifu" hakuna maamuzi,basi hadi mkuu wa nchi ni kulalama tuu!,ingekuwa enzi za Mzee Rukhsa angesema "Ukitaka kuchinja chura...RHUKSA!"
 
Kila mahali ni ufisadi.sirikali kushindwa kutoa msimamo ni ufisadi pia.
 
Mimi naamini kuna watu wana laana. Hivi Banyauni akichinja ng'ombe kwa style ya mila zake, akala na watu wa kabila lake, Mushuani ambaye naye ana ruhusa ya kuchinja kwa style ya mila zake anawashwa wapi?

Kuna watu wana kiherehere sana na ulafi
 
sasa hivi kamata kamata imezidi, ukikamatwa kama unahela au simu mfukoni unanyang'anywa kisha unaambiwa potea, kama huna unapakizwa kwenye defender moja kwa moja kituon!
 
Mkuu umesikia chanzo cha vurugu hizo? Hebu rejea Thread ya IDAWA hapo juu halafu uniambie ni wapi kasema waislamu wameng'ang'ania kuchinja?

hivi huwezi ukaushughulisha ubongo wako japo kwa dk 5? Kwa nini huyo kiongozi kasema waislam wachinje? Think about the root cause not immadiate one...
 
Kwann serikali isiweke mambo wazi,hii hali hadi lin jaman.na pia kila mtu achinje vya kwake kwa sababu waislam wameishaona kuwa ndio wenye haki.pia bado swala la kuvaa hijabu mashulen kwann wanafunzi wote wasiwe sawa,lakin wenye haki sana.

Wewe ulitaka wanafunzi wote wawe sawa kivipi ?
Je wote wavae hijabu au wote wasivae ?
 
Halafu wengine wameenda kwenye hizo vurugu huku majumbani kwao wameacha majungu ya maharagwe yakichemka....
To be honest, hata baadhi ya waislamu wanaona aibu san juu ya mambo wayafanyayo waislamu wenzao.....
1. Mbona kanisani hamuingii? kwa nini usiipite hiyo bucha yenye nyama iliyochinjwa na mkristu?
2. Kwa nini unitake nishiriki ibada ya kiislamu wakati mimi ni mkristu?
3. Tuwaletee na kitimoto mtuchinjie?
4. ..... waislamu mmezidi mno kulalama na kudai dai vimambo visivyowasaidia...

Wakristo tuna Msikitish na kumuhuzunisha Bwana wetu Yesu Kristo.

Tunakuwa kama Mafarisayo walivyokuwa wanajuhudi ya kushika -na kuzifuata sheria za Musa hata ikibidi kufumbia macho Matendo Mema na yakibinadamu ambayo ndo ilikuwa msingi na dhumuni ya sheria zote zile.-

Na sisi vivyo hivyo, tunaanzisha vurugu, au hata kama si kuanzisha tunashiriki katika vurugu, kupigana, kuchinjana na kudhuru wengine eti tunatetea imani yetu na haki yetu kama wakristo kuchinja.

Tunashikilia sheria ya kula nyama iliyo chinjwa na Waislamu kiasi tunasahau amri kuu ya Yesu na Injili ya Yesu "mapendo".

Unconditional love to all, wanatuchukia na hata wanao tupersecute. Jesus forgave and prayed for those that Crucified him.

Ni vipi tunaitangaza injili kama na sisi tukiwa tunashiriki katika fujo? How is Mungu glorified sisi tunapong'ang'ania kuchinja kitoweo?

Tunamtangazaje Yesu tunaposhiriki katika vurugu zinazoprlekea vifo vya watu?

Unafikiri Yesu atakasirika au Mungu atakuhukumu ukila Nyama ilichinjwa na Muislam kwasababu kwake yeye ni ibada?

Then why do we pray before eating? Is it not to sanctify the food?

Hatuamini katika kuombea chakula hata kilichokichafu na kuwa kitakatifu?

Tunasahau Yesu alivyowatuma wanafunzi wake 72 na akawaambia "Stay there, eating and drinking whatever they give you, for the worker deserves his wages. Do not move around from house to house. “When you enter a town and you are welcomed, eat what is offered to you.(Luke 10:1-23)

Bwana wetu Yesu Kristo alisema "Pendaneni kama nilivyowapenda mimi"

"Mpende Jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe"

Jirani yako ni nani?
Rudia parable ya Good samaritan
 
Hapa siasa na wahuni ndio chanzo walq tusipepese macho,hakuna suala la dini hapa
 
Hii serikali dhaifu haitaweka msimamo wa hili jambo mpaka siku litokee tukio la kuiamsha dunia nzima.

Jamani tujadili na kukejeliana lkn upuuzi huu ukiingia kule Mara tulipotokea sisi wengine, tutegemee maafa ya kuletwa FBI. Sidhani kama Tarime na Serengeti zinaweza kupewa kauli za hovyo hovyo kama hii ya 'fulani ndio mwenye haki' halafu wasife watu 100
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom