Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Agakhan Hospitali imewahi kulipa kodi?Mdini wa kwanza, " MDINI GIANT" ni Mwl Nyerere watu hawaujui ukweli !
Someni vitabu muujue ukweli...
Mwl Nyerere aliasisi na aliwapa Wakristo ruzuku kubwa kuendesha shule na mahospitali , aliwasamehe kodi vifaa vyao vyoote na yet huduma hizo hazitolewi buree...mambo haya ndio yaliyojenga UHASAMA kati ya Dini hizo mbili kubwa Tanzania !
Mahali kokoote ambako KANISA linastawi jamii husika lazima iporomoke kiuchumi na idhalilikee, Rejea Liberation Theology dhidi ya Kanisa !