Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
hakuna aliye bora zaidi ya mwenzie, wote tuko sawa sasa kung'ang'ania kuchinja kuwa wachinje wao tuuu bac watuchinjie na kitimoto kabisa maana na nyie ni walaji wakubwa wa huyu jamaa...
 
Nilijua tu ile hotuba ya 'Mkulu' ya mwisho wa mwezi March ilikuwa inalenga kuchochea upya vurugu za kidini..alikuwa akijibu kwa kubeza 'tamko' la baraza la maaskofu, inawapa 'bichwa' wenzetu hii, angalia sasa!
 
Nimeanza kuona business opportunity Tanzania. Ngoja nitafute mtaji wa kufungua mabucha.

Ngoma full halaal.
 
Hivi nchi hii inamabucha ya umma,au ni biashara za watu binafsi,sasa serikali ianzishe mabucha ya umma,nyama yenye vobandiko vya HILAL iwepo na ile isiyo navibandiko iwekwe watu tuendelee na maisha yetu tuache kuchapana huku watawala wakiingia mikataba ya kufilisi nchi

Hilo halitawezekana kamwe, kwani nyie wakristo mtakubali nyama yenu tukufu iuzwe pamoja na nyama iliyochinjwa na mapepo (waislamu)?? Mnachekesha sana, nyie si mnatuita sisi mapepo kwanini sasa nyama hizi ziuzwe pamoja??
 
Suala la Kuchinja Wakristo kwani ni mpaka lilete fujo?? What is the interest behind, kama huli iliyochinjwa na Mkristo si ukale iliyochinjwa na Waislamu kwani ni mpaka Polisi walete mabomu na jinsi wasivyo na Kazi basi tena. Na Mkuu wa Wilaya ni katiba au ni kanuni ipi inawapa ruhusa au Kibali waislamu wachinje???? Acha kuleta machafuka yasiyokuwa ya lazima plse.

Afadhali kwenu Mbeya cc kwetu Babati ukionekana na wa2 wa Bakwata unachinja unashtakiwa mahakamani. Cjui Bakwata inanhusu nini. Ila tatzo ni Uongozi wa Nchi yetu wa wa sasa.
 
kwa nini waislam wachache wawabugufhi wakristo? Tumewavumilia sana!
 
Serikali inayo dini na Dhehebu: Ni mfumo kristo na dhehebu ni Katoliki, Angalia kuna matatazo baina Waisalamu na Wakirsto, kuanzia kuchinja mpaka kuikojolea Qurani, uchochezi lakini waliofunguliwa kesi ni waislamu tu, kitu gani hii mpaka ukathubutu ukasema etiTanzania haina dini. Juzi tu Wazirimkuu akitumia pesa za umma amekwenda kuiwakilisha Tanzania katika kusimikwa kwa pope wa Dhehebu moja tu la kikatoliki. Tanzania haina din, Wadanganye watoto taathira

Suala la kuikolea Quran ni suala la watoto ambao hata hawajabalee! Ni suala la kitoto nyie mmelikomalia! mmekosa maarifa,Busara na hekima! Vatican ni Nchi ina uhusiano wa Kibalozi na nchi mbali mbali! mfumo Kristo ni mfumo wa Kidunia kuanzia kalenda,shule za mwazo,Upambazi sikukuu za X mass na pasaka.Mfumo kristo ni kama mvua! i.e Hakuna binadamu anayeweza zuia mvua.Dhaifu mwenyewe aliwekwa na mfumo kristo.
 
Kuondoa mkanganyiko uliopo,haiwezekani bucha moja liuze vyote maana wabongo mlivyohamkawii kuanzisha madai mengine!! Kwanini kwanza nyama yako takatifu iuzwe pamoja na nyama iliyochinjwa na waislamu wenye mapepo kama nyie wengi mnavyotuita sisi??
Kwanza usiniingize kwenye kundi la "wao" dhidi" yenu" hapa tunajaribu kupanuana mawazo. Tatizo hawa wakristo wanakataa kushirikishwa kwenye "Ibada" ya waislamu na waislamu nao hawataki kula "vibudu" vinavyochinjwa na wakristo. Lakini ukisema wakristo wasitumie mabucha ya umma kuuzia nyama zao unamaanisha hawana sifa za kuwa na nyama salama au nyama yao siyo takatifu?
 
Kwanini wassibe? Umesahau mmesemo wao wa WAKALE WAPI!
They are LOW paid personnel.
They are LOW thinking capacity people;but
They are MOST corrupted people in Tanzania.
They are the MOST dictators in Tanzania.
They are the MOST Robbers and Stealers!

Nhhh...this is sad! so what can we do?
 
Unaesema bora wachome msikiti nadhani hunazo!
kwani mziki wa hawa jamaa unaujua na ushujaa wao wa kuvaa mabomu sidhani km police wataweza kuilinda makanisa na maparokia yote...ebu tuone NIGERIA jinsi walivyoshindwa kuwa contain BOKOHARAM na jinsi makanisa yalivyoteketezwa na kisasi ruksa...
Km kuna Msikiti umechomwa moto basi tegemea legitimate rights kwa chochote kile kikubwa zaidi ya ako kamsikiti...

nasi tutavaa, acha wogo wa kijinga. Woga huo ulionao ndiyo unaowapa vichwa hata wakiwa wawili kwenye mji mmoja wanajiona kama mji wote ni milki yao. you are She.nzi type
 
na itafikia mahali hawatataka uchinje hata kuku wako, waje wakuchinjie. Utaratibu huo sasa kushney kudaadeki kila mtu na mnyama wake sasaaa
 
kwa nini waislam wachache wawabugufhi wakristo? Tumewavumilia sana!


Mbona hueleweki mkuu?? Muislamu gani kakubugudhi wewe mkristo? Huyo mkuu wa wilaya huko ni mkristo mwenzio na yeye kauli yake ndiyo imepelekea msikiti kuchomwa sasa hapo nani anayembugudhi mwenzake??
 
hawa jamaaa wasituzingue tunajinja kila mtu kama hawataki kitoweo wakale matembele maana ushezi, na unyanyapaa wa dini ya kislamu sasa tumeuchoka wakristu wasituone tumenyamaza wakadhani sisi ni mambulula tukinyanyuka ndiyo watatujua washenzi sana hawa jamaa.... kama mungu wao wanamsaidia kuadhibu watenda dhambi watakuja kutueleza maana wao wanajifanya kama mungu wao peke yao.........shiiiiiiiiiiiiit
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya


polisi yanamwagwa mitaani.Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Apdate:
diwani anajaribu kuongoea na polisi kama kuna uwezekano wa kusitisha mabomu ili aitishe mkutano wa hadhara..hali bado ni mbaya sana mabom yanapigwa mfululizo.!!

Apdate: saa nane mchana

polisi wameingia mitaani kulazimisha watu kujifungua ndani, polisi ni kama wamezidiwa wakitawanya upande huu raia wanahamia upande mwingine. Matairi yanachomwa kama kawaida na mabom yanapigwa mfululizo.... Hakujasikika kifo chochote.!
 
Hebu jamani tusi comment kwa jazba wala kwa hisia pia huu si muda wa kushutumiana. Tujadili nini suluhsho la haya matatizo? Tanzania ni yetu pia tusiombee vita tutakufa kwa mengi. Kumbuka kuna watu ambao hawapati hata mlo mmoja je tukipigane wataishije? Naomba tuwe wazalendo jamani tuache ushabiki wa kidini na kichama.
 
hawa jamaaa wasituzingue tunajinja kila mtu kama hawataki kitoweo wakale matembele maana ushezi, na unyanyapaa wa dini ya kislamu sasa tumeuchoka wakristu wasituone tumenyamaza wakadhani sisi ni mambulula tukinyanyuka ndiyo watatujua washenzi sana hawa jamaa.... kama mungu wao wanamsaidia kuadhibu watenda dhambi watakuja kutueleza maana wao wanajifanya kama mungu wao peke yao.........shiiiiiiiiiiiiit
 
Tumechoka ujinga na upuuzi wa dini ya kiislamu sasa, wao ni akina nani waende omani watuachie nchi yetu sasa, maana naona wanataka nchi isiyo na mchanganyikao wa dini..........wanaudhi sana,,,,,,kwani wamelazimishwa kula hiyo nyama ya wakristu maana wakati mwingine naona kama wanamapepo.... kwanini wasiwe wapole wanaonekana hawataki muafaka na huyu kikwete na serikali yake asituletee ujinga maana hii ni gharama ya cheap politics, anashinda kwa kutoa ahadi za kijinga atawapa mahakma ya kadhi na kuwarudishia uhuru wao bila kuelezea uhuru waliopoteza ni upi kwakweli inakera na kuudhi sana!
 
Kwa habari hivi punde kutoka
eneo la tukio Tunduma( boda la wajanja)
zinasema kuwa jensi la polisi limeamu
kutumia mabomu kuwatawanya
waandamanaji walioandamana kupinga
kauli
ya mkuu wa wilaya aliyoitoa jana baada
ya
kukutana na maaskofu na mashehe katika
suala la uchinjaji kitoweo.
Inasemekana kuwa mkuu wa wilaya huyo
alitoa kauli kuwa waislamu ndio wenye
haki
ya kuchinja hivyo wao ndio wanastaili
kuchinja. kauli hiyo iliinua hisia za hasira
upande wa wakristo mpaka kufikia
maandamano makubwa sana
yanayoendelea
mpaka sasa
hali hii imelazimu shule, maduka, na
shughuli nyingine za kiuchumi katika eneo
hilo kufungwa kwa muda
ili kupisha vurugu hizo.
 
nasi tutavaa, acha wogo wa kijinga. Woga huo ulionao ndiyo unaowapa vichwa hata wakiwa wawili kwenye mji mmoja wanajiona kama mji wote ni milki yao. you are She.nzi type
Petro alipotoa upanga na kumkata sikio mmoja wa watesi wa Yesu,Yesu alimwambia Petro arudishe upanga kwenye ala, hakumwambia atupe upanga bali alimwambia arudishe kwenye ala.Hapo inabidi tutafakari Yesu alikuwa na maana gani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom