ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Hawa Wafuga majin wanatupeleka pabaya..Hawa Makafiri Wanatupeleka Kubaya.
Hawa Wafuga majin wanatupeleka pabaya..Hawa Makafiri Wanatupeleka Kubaya.
Kwani mabucha ya Umma ni mali ya Waislamu!
Hivi nchi hii inamabucha ya umma,au ni biashara za watu binafsi,sasa serikali ianzishe mabucha ya umma,nyama yenye vobandiko vya HILAL iwepo na ile isiyo navibandiko iwekwe watu tuendelee na maisha yetu tuache kuchapana huku watawala wakiingia mikataba ya kufilisi nchiAcha ujinga wewe, nani kakulazimisha kununua nyama kwenye bucha la umma wakati mabucha ya kitimoto yapo kila kona?Kama unaona hiyo ni kero kwsasa japokuwa hapo awali ulikuwa unanunua kwanini basi usiwe unajitafutia kitoweo chako then unachinja mwenyewe kwa matumizi yako?? Acha ujinga wa kushabikia hili usidhani kuna mshindi kwenye vita vya kidini!!
Na mimi ndiyo nimesema hivyo hivyo mkuu kama umeielewa vizuri comment yangu!!Nimetoa option simple tu kwamba kwanini mabucha ya kitimoto yasianze kuuza na nyama nyingine ambazo mnazitaka ili muwe mnakwenda kununua hapo tena bila bugudha ya mtu wa imani nyingine??
Wakristo wakijitenga na Waislam kitaifa,Waislam watakufa maskini,njaa kali,bakwata na vipedo lazima wazipige..Mbona unashiriki mialiko ya futari?
...tuhakikishie kuwa mkipata mabucha yenu hamtashiriki katika shughuli zozote za Waislamu, halafu sijui utakwepa vipi kula kilichochinjwa na Waislamu wakati tunachangia mahoteli,migahawa n.k...sielewi utafanikiwa vipi kukwepa kilichochinjwa na Muislamu bila ya kutengana maeneo ya kuishi!
Pigania tutengane kimaeneo ya kuishi badala ya kupigania kuchinja!...huu ndio ushauri wangu kwako na Wakristo wengine.
Kwa nini unataka wakauzie kwenye mabucha ya nguruwe na siyo kwenye mabucha yanayouza nyama za ng'ombe!!Kumbe issue ni umiliki wa mabucha? Duh!Kama hivyo basi kazi ipo mimi nilidhani issue ni wakristo kuepuka kula nyama iliyochinjwa na waislamu ndiyo maana nikatoa option!!
Chanzo cha mauaji ya buselesele unakifahamu? Jamaa alichinja kwa matumizi ya kumaliza msiba nyumbani kwake na ndugu zake.Msimamo wa serikali unafahamika na uko hivyo kama ulivyosema, lakini hapa issue si msimamo wa serikali.Waislamu wanataka kuchinja wao iwe ni kwa matumizi ya biashara ama household na walitoa tamko la kupingana na serikali
Acha kupotosha mkuu hili wala halisaidii badala yake unazidi kuharibu tu!! Serikali ilisema kwa matumizi ya umma ndiyo wachinje waislamu lakini kwa matumizi ya kifamilia hapo hauingiliwi na mtu!! Wewe nunua ka kuku kako au ka nguruwe then chinja na ule na familia yako uone kama kuna mtu atakuhoji!![/QSUOTE]
Sasa na sisi kula mnachochinja waislam. Kwanza mna utakatifu gani watu mmejaa matusi na umwagaji damu vipers! LOL!
Kuwe na bucha za Waliochinja wa Kristo na waislam.
Anayetaka kwenda kununua za kwenye matambiko ya waislam aende.
Anayetaka kununua kwa Wakristo aende. Tumechoshwa na maruwe ruwe yenu.
TATIZO LENU NINYI MKIPEWA PRIVELEJI MNAFANYA RIGHT NA KUSHUPALIA. NA HII NI TABIA WAARABU. WAKIKARIBISHWA SEHEMU BAADAYE WANAANZA KUDAI NI NCHI YAO. TULIWAPA UHURU WA KUCHINJA SASA MMEFANYA SHERIA.
TUMIENI VIZURI AKILI ZENU MSIENDESHWE NA MAJINI.
I hate your comment; you dont sound good at all, with all due respect; please wash your brain.
Inakuaje wale waliotumwa na jamhuri kwenda kutuliza ghasia zilizosababishwa na udini wao ndio wamegeuka waporaji wa mali za raia mpakani tunduma? central government inafanya nin mpaka kunatokea eruption ya haya mambo tena? wananchi waelewe nini hapo? Wanatumia nguvu nyingi wananchi wamekimbia wameacha biashara zao,wao badara ya ulinzi wanageuka kua wezi? ni nini kama sio kwamba siku hizi CCP wanatrain wezi? Je tutafika?
Kwa nini Wakristo hatuwasikii (kimaneno) kutaka kujitenga?Wakristo wakijitenga na Waislam kitaifa,Waislam watakufa maskini,njaa kali,bakwata na vipedo lazima wazipige..
ukweli hisia hizi zinachochewa na viongozi wa chadema tunduma
Mkuu wa meza atachinja nani?? ukizingatia kina walaji mpaka upande wa pili!!