Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Hivi kwanini mnatulazimisha kushiriki ibada yenu? Njoni basi mchinje nguruwe? Si mwende kununua nyama kwenye mabucha mnayoamini ni ya waislamu? Nani amewalazimisha kununua kwa wakristu? Acheni ujinga. Serikali haina dini hivyo haiwezi kuteua dini ya kuchinjia, Kama serikali imesema waislamu wchinje iseme wchinje basi na nguruwe.

Acha ujinga wewe, nani kakulazimisha kununua nyama kwenye bucha la umma wakati mabucha ya kitimoto yapo kila kona?Kama unaona hiyo ni kero kwsasa japokuwa hapo awali ulikuwa unanunua kwanini basi usiwe unajitafutia kitoweo chako then unachinja mwenyewe kwa matumizi yako?? Acha ujinga wa kushabikia hili usidhani kuna mshindi kwenye vita vya kidini!!
 
Vyeo vya kupewa ivi vya MADC na MARC lazima ujikombe ili uendelee kula shavu
 
Inakuaje wale waliotumwa na jamhuri kwenda kutuliza ghasia zilizosababishwa na udini wao ndio wamegeuka waporaji wa mali za raia mpakani tunduma? central government inafanya nin mpaka kunatokea eruption ya haya mambo tena? wananchi waelewe nini hapo? Wanatumia nguvu nyingi wananchi wamekimbia wameacha biashara zao,wao badara ya ulinzi wanageuka kua wezi? ni nini kama sio kwamba siku hizi CCP wanatrain wezi? Je tutafika?
 
Kwa mujibu wa IDAWA chanzo cha vurugu ni kauli ya mkuu wa wilaya kukataza wakristo kuchinja kwa ajili ya matumizi ya jamii nzima ya Tunduma, sasa inakuwaje tena badala ya kuchoma moto ofisi ya mkuu wa wilaya badala yake msikiti ndiyo uchomwe moto??

Watu humu wanajitoa akili kwa matakwa ya nafsi zao, serikali clearly imesema mchinjaji kwa kwa jamii nzima waendelee kuwa waislamu lakini kwa mahitaji yako na familia yako basi wewe chinja tu hakuna shida sasa watu hawaelewi nini? Mathalan kwasasa nchi nzima kuna mabucha ya nguruwe na hakuna shida katika hilo kwanini basi kama issue ni kuchinja hizi nyama wanazochinja wakristo wasiziuze kwenye mabucha yao ya nguruwe badala ya kuendelea kutaka wachinje kwa matumizi ya jamii nzima? Kwanini wasiweke mabucha kwenye nyumba zao za ibada then wauziane wao kwa wao? Kwa hilo mnalolitaka solution ni nchi igawanyike kulingana na imani ya mtu!!!

kwani hayo mabucha mnayotumia nyie yako kwenye misikiti?serikali imetumia kigezo gani?na hilo ni tamko la serikali au wahuni fulani?Ktiba inatangaza uhuru wa kuabudu,so hakuna suala la imani kwenye kuchinja.
 
Tatizo la waislamu ni uroho wa nyama ndio unaowasumbua haiwezekani mtu ung'ang'anie kutoa roho za mifugo ukiwaona wale wazee wanaokaa machinjioni wamekuwa kama machizi kwa laana ya damu za wanyama kwani kuchinja kwao hakuishii kwenye mifugo mpaka kwa binadamu mikono yao inanuka damu za maovu mpaka misikitini wallah hii dini ya laana !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Inakuaje wale waliotumwa na jamhuri kwenda kutuliza ghasia zilizosababishwa na udini wao ndio wamegeuka waporaji wa mali za raia mpakani tunduma? central government inafanya nin mpaka kunatokea eruption ya haya mambo tena? wananchi waelewe nini hapo? Wanatumia nguvu nyingi wananchi wamekimbia wameacha biashara zao,wao badara ya ulinzi wanageuka kua wezi? ni nini kama sio kwamba siku hizi CCP wanatrain wezi? Je tutafika?
Ndo kawaida yao, umesahau zile 150M waliingia nazo mitini?
 
Hoja hapa ni kwa nini wakristo wazuiliwe kuchinja? Kama waislamu wanaona wenzao wakichinja ni haramu basi kuwe na mabucha yanayouza nyama zilizochinjwa na wakristo na zile zilizochinjwa na waislam!! Tatizo liko wapi?

Kama hii ndio hoja, wakristo wazuiliwe kuchinja; watakacho kichinja wao, si halali kwa waislamu na watakacho kichinja waislamu; ni halali kwa wote kwani hakuna maandiko yanayo wakataza wakristo kula kitakacho chinjwa na waislamu.

Less talk about facts; tuache ushabiki wa kidini.
 
Ninawashangaa wa Tz,sielewi kama wameelimika,au wanajitoa akili?.Chama cha siasa kinahusikaje na upuuzi huu.Mh.Rais mnakosea adabu, ndie kawatuma watu waanzishe malumbano yasiyokuwa na tija? Kosa lake ni kuwachekea chekea,anatakiwa dikteta mmoja awafunze adabu ndio mjue kuna dola.Toka enzi za mababu kulikuwa na mkuu wa kaya ambae aliheshimiwa na hapakuwa na dhihaka kama hizi za sasa ambazo chanzo chake ni wageni wazungu na waarabu.Wasingekuja hawa hata neno haramu lisingekwapo,mara mtoto wa haramu n.k.Wanaendeleza ubeberu wao sasa ,eti demokrasia,demokrasia gani inayokosesha watu adabu,hakuna maadili tena.Tutaendelea kuangamia tu kila kukicha.Rushwa pekee ni muuaji tosha,kwa nini tushikiane mapanga badala ya kumteketeza mla rushwa?Hata madhehebu ya dini yamekuwa utitiri hayatusaidii lolote,bali kutufarakanisha tu.Tujifunze historia ,hizi dini zililetwa kwa masilahi ya waliozileta,si masilahi yetu sisi.
 
kuanzia kesho napiga marufuku ulaji wa nyama ili mifugo ipumzike.nikimkuta m2 na nyama lock up bangi nakuachia huru.
 
mimi nawaogopa :nono:askari:nono: cku hizi zaidi hata ya majambazi!
askari polisi ndio majambazi wa halali wenye vibali na silaha za moto
 
Tatizo hapa wala siyo kuchinja,tatizo kubwa ni ajira,wale wanao chinja wanyama wanalipwa kulingana na idadi ya wanyama uliochinja.Kama kuku ni shillingi 200-500 inategemea na eneo.Kinachotakiwa kufanywa na serikali ili waumini wa kiisalamu wasile nyama iliyochinjwa tofauti na ibada yao,basi kinachotakiwa kufanyika ni kuielimisha jamii kuhus hilo.Na pamoja nalo yule anayefanya biashara ili awauzie watu wa dini zote basi ahakikishe aitha buchani kwake au hotelini kwake aandike kuwa nyama imechinjwa kulingana na maadili na sheria za kiislamu yaani aweke alama ya HALAL.Na wale watakaotaka kuwauzia wakristu tu basi waandike kwenye maeneo yao.

Kama jamii haitaelimishwa basi chokochoko hizi hazitaisha.Kwa upande mwingine ningewaomba viongozi wa dini zote mbili kukaa chini na kutafakari nini cha kufanya badala ya kusubiri serikali kwani ipo bado usingizini.Itakapoamka watawapa taarifa kwamba wakati wenzetu mlipokuwa mmelala tuliamua haya.Basi shughuli inakwisha.

Kwa uchache tu hakuna mwenye haki miliki ya kuchinja ila tuwape haki stahiki wenzetu waislamu pale tunapoona tutawakaribisha kwenye dhifa au sherehe mbalimbali, na pia pale ambapo kuna nia ya kufanya biashara ya vyakula ili nyama zichinjwe kuwapa haki ya kula wanyama waliochinjwa kwa ibada yao.Maana kama mfanyabiashara hautakiwi kubagua,labda kama canteen au hoteli ni kwa ajili ya jamii ya kikiristu tu.
 
Acha kupotosha mkuu hili wala halisaidii badala yake unazidi kuharibu tu!! Serikali ilisema kwa matumizi ya umma ndiyo wachinje waislamu lakini kwa matumizi ya kifamilia hapo hauingiliwi na mtu!! Wewe nunua ka kuku kako au ka nguruwe then chinja na ule na familia yako uone kama kuna mtu atakuhoji!!
Sasa na sisi kula mnachochinja waislam. Kwanza mna utakatifu gani watu mmejaa matusi na umwagaji damu vipers! LOL!

Kuwe na bucha za Waliochinja wa Kristo na waislam.

Anayetaka kwenda kununua za kwenye matambiko ya waislam aende.

Anayetaka kununua kwa Wakristo aende. Tumechoshwa na maruwe ruwe yenu.

TATIZO LENU NINYI MKIPEWA PRIVELEJI MNAFANYA RIGHT NA KUSHUPALIA. NA HII NI TABIA WAARABU. WAKIKARIBISHWA SEHEMU BAADAYE WANAANZA KUDAI NI NCHI YAO. TULIWAPA UHURU WA KUCHINJA SASA MMEFANYA SHERIA.

TUMIENI VIZURI AKILI ZENU MSIENDESHWE NA MAJINI.
 
wewe hujui unachokisema na husemi unachokijua!!! unasema ulichoambiwa! miaka 23 ya Nyerere hatukubaguana! tulikuwa tunakubali wenzetu wachinje cc tule! viongozi walikuwepo wa dini yenu lakini hawakuruhusu ujinga uingie akilini!!! je tabora mjini kuna watu wa imani gani wengi? je tanga mjini kuna watu wa imani gani wengi? je pwani kuna watu wa imani gani wengi? je lindi na mtwara kuna watu gani wengi? je ukilinganisha maendeleo ya mikoa hiyo kama unafikiri vizuri unagundua nini? kulikuwa na shule za dini hizi mbili uluza mafanikio yake utayapata!
nenda hospitali uangalie vivyo hivyo!
ukiwa mchochezi wakati huu utakubukwa kwa kuiharibu nchi hii na hutapata nafasi tena katika fikra za watu wema! kila mtu anaongozwa na dira yake na kiwango cha mwanga wa anachokiamini! jinsi ulivyo sasa ni kutokana na unachoamini!! uwe mkristo au mwislamu!
vita sii nzuri usishabikie mambo usiyoyajua kwa kutaka sifa au kuungwa mkono na wengine! kama wewe mwelewa toa solusheni sasa uliokoe taifa!! sio kutwambia mambo ya Nyerere hapa!! yeye keshatangulia kafanya yake na sisi tufanye yetu yaonekane sio kubwabwaja tu hapa!
 
jk ndo anaendekeza huu upuuzi,coz ana uwezo wa kutoa tamko km kiongozi haya mambo yakaisha!
Halafu na hawa waislam aliowaambia kuwa wenyewe ndo wanamamlaka ya kuchinja ni nani?,kila m2 achinje mwenyewe bana tusizinguane kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom