Kwa wasomi na wenye nyadhifa za uteuzi hasa walioko sekta ya madini na gesi ombeni Hansards bungeni zenye michango ya Lissu na hata baadhi ya hotuba zake nje ya bunge mzisikilize kwa makini na kufanyia kazi yale aliyoshauri na kuonya kama hamjaupaisha uchumi through madini basi mjiuzulu!
Kwa watu makini mitazamo na mawazo yake ni zaidi ya madini yenyewe na huenda nchi hii ingeipiku S. A au Ghana katika mapato yatokanayo na madini!
Ukweli wake na ushauri wake ni muhimu mno, utumieni kuliokoa taifa na tuache tararira na kujidanganya!