Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

Sasa pale ambapo Lissu, mbowe, mpaka wewe mnapoamini aliyempiga risasi ni JPM, hauoni kuwa mjadala wako na mtazamo wako wote uko biased kwa kuhisi, kuishi ukiamini kuwa fulani kafanya hivi au vile?

hoja yangu ni kuwa Lissu hana staha, hana heshima, ana maneno machafu, hana mvuto katika kada ya waliostaarabika, wala hawezi kuwa influential kwa opponents wake

nguvu ni pale unapoweza kuingia ndani ya moyo wa adui yako, ukambadilisha mtazamo wake bila matusi wala kejeli. andika hili somewhere.Lissu hana hiyo caliber! Lissu kakaa vizuri kuwa mshabiki wa arsenal tu

hakuna mahali niliposema kuwa Lissu kwa sababu ya tabia zake chafu!! basi eti anastahili kupigwa risasi..it is even childish na kudekadeka kutaka au kukimbilia kwenye maada ambayo sijaisema ili tu upate kupendwa na maadui wa JPM!

Lissu anabaki kuwa the biggest loser katika histora ya nchi hii! Lissu kwa tabia yake hawezi kuaminika hata na mbowe. Ana miss kitu kidogo tu angekuwa the biggest and most influential man kwa nchii hii, kapoteza hiyo tunu. Endelea kumpa sifa tu, tunahesabu miaka hatapata wala kufikia kile ambacho angeweza kama angeamua kuwa mstaarabu

kama ubunge tu hata kibajaj anao, kama ubunge hata wasiosoma kabisa wanao.!! kitu gani ambacho Lissu kawa so special kiasi ambacho legacy angeacha kwa vizazi vijavyo? amekosa mentor wa kumuweka sawa, kwa akili za Lissu he was supposed be a greatman nchi hii, mtazamo wa ki nchi ambayo miaka yote imekuwa CCM kuna wazee watoto na akina mama ambao hawapendi matusi, kejeli au dharau kama anazozionyesha Lissu ni wazi hata leo hii hana ushawishi kwa hayo makundi! ukweli au kila anachokisema hata kama kina 100% sawa, kinakuwa na nguvu, live and very effective kuwa kama akisema kinafanyiwa kazi, hapo anakuwa anaacha alama zinazoishi..Kwa mfano Lissu akifa leo utamkumbuka kwa lipi? lipi kafanya kwa ngazi ya kitaifa? ushawishi upi anao ambao hata mtoto mdogo angependa kusema nataka kuwa Lissu? Lissu ni popular kama diamond, popular kama wema sepetu, popular kama Dr. shika ila hana alama za kuishi kwa vizazi vyote vijavyo. Hata bungeni muswada gani unaukumbuka kuwa ni Lissu aliupeleka na kapambana na ikawa kama anavyotaka? akina Zitto waliweza mbona? akili za kisheria za Lissu zinamsaidia vipi mtu wa kawaida? fikiria acha siasa

mpeni bichwa ila tunaojua angefanya nini ili afike mbali, ame miss ATTITUDE, is all about his attitude

Lissu hajaanza leo, akiwa mwenyekiti wa faculty ya LAW udsm wanafunzi wenzake walimpindua na kumkataa kuwa kiongozi kwa sababu aliwatukana, ubishi na kuwadharau wote!! ( muulize classmate wake Hon.ngeleja)

Najua utabisha kwa sababu MAHABA baba!! MAHABA tumefika nyakati hatutaki ukweli ila tunaongozwa na mioyo

Lissu is just a crap kwa ustawi wa taifa, akili zake zimsaidie kupata hela aishi na familia yake vizuri, ILA sio KUJENGA taifa, hana akili hiyo na hata nafasi hiyo!!
Mkuu huo usemi wa Mahaba ufute kabla sijarespond kwenye content if anything.

Ningekuwa na mahaba, ningekuwa very agressive! Because it my nature. Lakini hakuna niliyewahi kuwa na mahaba naye. It’s a very string of a word for me, ndo maana hunikuti humu kwa style mnayoenda nyie kila mmoja akidhani yuko 110% right!

I always like fairness, and justice.

Hakuna chochote ulichosema hapo kinachojustify kuondoa maisha ya mtu. Kumbe wewe mkuu pia una shida na tolorence huh?
 
hakuna nilipoongea au nilichoongea kujustify au kukubaliana na Lissu kupigwa risasi, siko huo upande mkuu, wala maada sio Lisu kupigwa risasi. mbona umeng'anga'ania hapo?

ebu highlight sentensi au mahali ninapijustfu hilo

jibu hoja, kwa kifupi nakueleza kwa tabia za Lissu he is not worthy kwa chochote zaidi ya kuwa hapo alipo
 
Eti mbona nimeng’ang’ania hapo? Au siyo wewe unayesema kutokuwa kwake na staha ndo kumemponza?

Au ni matatizo gani unayosema hapa aliyoyapata kwasababu hakosoi kwa staha?😀

Tunazungumzia AG mpya alisema maneno ambayo Lissu aliposema aliitwa msaliti, kutaka kuuwawa, pamoja na wewe kusema he’s not worthy kwa chochote. What’s the difference between your statements and what the govt is doing against him?

He’s not worthy kwa chochote ndo maana mkapiga marufuku hata asiombewe?

Eti mada siyo kupigwa risasi! You’re certainly insulting my intelligence no doubt!
 
Ukiweka ushabiki mbele ukweli ukiuacha nyuma huwez kumuelewa Tundu Lisu hata maneno yake mawili tu
 
Huenda ikawa ni Mada nzuri lakini kinachonikera ni watu kumsifia huyo Tundu Lissu mpaka kupita kiasi na kukufuru...

Eti "Nabii/Mtume"...! hivi mnajua Hao mitume walikuwaje...!? Bullshit.
 
Sijaelewa vizuri, he, aliyeandika hili bandiko Si la LISU?
clip ni za Lisu. sikiliza aliyoyasema Lisu (ndiye wa kwanza kuyasema) aliyarudia hayo hayo new AG.
 
Sasa pale ambapo Lissu, mbowe, mpaka wewe mnapoamini aliyempiga risasi ni JPM, hauoni kuwa mjadala wako na mtazamo wako wote uko biased kwa kuhisi, kuishi ukiamini kuwa fulani kafanya hivi au vile?

hoja yangu ni kuwa Lissu hana staha, hana heshima, ana maneno machafu, hana mvuto katika kada ya waliostaarabika, wala hawezi kuwa influential kwa opponents wake

nguvu ni pale unapoweza kuingia ndani ya moyo wa adui yako, ukambadilisha mtazamo wake bila matusi wala kejeli. andika hili somewhere.Lissu hana hiyo caliber! Lissu kakaa vizuri kuwa mshabiki wa arsenal tu

hakuna mahali niliposema kuwa Lissu kwa sababu ya tabia zake chafu!! basi eti anastahili kupigwa risasi..it is even childish na kudekadeka kutaka au kukimbilia kwenye maada ambayo sijaisema ili tu upate kupendwa na maadui wa JPM!

Lissu anabaki kuwa the biggest loser katika histora ya nchi hii! Lissu kwa tabia yake hawezi kuaminika hata na mbowe. Ana miss kitu kidogo tu angekuwa the biggest and most influential man kwa nchii hii, kapoteza hiyo tunu. Endelea kumpa sifa tu, tunahesabu miaka hatapata wala kufikia kile ambacho angeweza kama angeamua kuwa mstaarabu

kama ubunge tu hata kibajaj anao, kama ubunge hata wasiosoma kabisa wanao.!! kitu gani ambacho Lissu kawa so special kiasi ambacho legacy angeacha kwa vizazi vijavyo? amekosa mentor wa kumuweka sawa, kwa akili za Lissu he was supposed be a greatman nchi hii, mtazamo wa ki nchi ambayo miaka yote imekuwa CCM kuna wazee watoto na akina mama ambao hawapendi matusi, kejeli au dharau kama anazozionyesha Lissu ni wazi hata leo hii hana ushawishi kwa hayo makundi! ukweli au kila anachokisema hata kama kina 100% sawa, kinakuwa na nguvu, live and very effective kuwa kama akisema kinafanyiwa kazi, hapo anakuwa anaacha alama zinazoishi..Kwa mfano Lissu akifa leo utamkumbuka kwa lipi? lipi kafanya kwa ngazi ya kitaifa? ushawishi upi anao ambao hata mtoto mdogo angependa kusema nataka kuwa Lissu? Lissu ni popular kama diamond, popular kama wema sepetu, popular kama Dr. shika ila hana alama za kuishi kwa vizazi vyote vijavyo. Hata bungeni muswada gani unaukumbuka kuwa ni Lissu aliupeleka na kapambana na ikawa kama anavyotaka? akina Zitto waliweza mbona? akili za kisheria za Lissu zinamsaidia vipi mtu wa kawaida? fikiria acha siasa

mpeni bichwa ila tunaojua angefanya nini ili afike mbali, ame miss ATTITUDE, is all about his attitude

Lissu hajaanza leo, akiwa mwenyekiti wa faculty ya LAW udsm wanafunzi wenzake walimpindua na kumkataa kuwa kiongozi kwa sababu aliwatukana, ubishi na kuwadharau wote!! ( muulize classmate wake Hon.ngeleja)

Najua utabisha kwa sababu MAHABA baba!! MAHABA tumefika nyakati hatutaki ukweli ila tunaongozwa na mioyo

Lissu is just a crap kwa ustawi wa taifa, akili zake zimsaidie kupata hela aishi na familia yake vizuri, ILA sio KUJENGA taifa, hana akili hiyo na hata nafasi hiyo!!
Lisu yuko smart! In all dimension yuko vizuri! Ndiyo apigwe risasi? Kama si huyo aliyempiga risasi mbona anazuia kila kitu kinachomhusu Lisu! Tena kwa kuvunja Katiba na sheria.
 
Lisu yuko smart! In all dimension yuko vizuri! Ndiyo apigwe risasi? Kama si huyo aliyempiga risasi mbona anazuia kila kitu kinachomhusu Lisu! Tena kwa kuvunja Katiba na sheria.

Risasi zilipigwa na 3rd part ambaye alitaka uamini unachokiamini. .he is free, smiling
 
Risasi zilipigwa na 3rd part ambaye alitaka uamini unachokiamini. .he is free, smiling
Haya Bwana umeshinda! Why not pay his treatment bills, why not pray for him etc, etc, etc!
To crown it all why not mention him as a TLS president at Law Day!
 
jamaa kwenye bandiko lake aliongea yaleyale ya Lissu kuhusu Miga na nchi kushtakiwa ila yeye kawa rewarded kupata cheo,ama kwa hakika Lissu Mungu kakulinda kwa kusudi maalumu
Jumlisha kutuminya na kukamata mali zetu popote huko duniani.
If you can't beat Lissu,Join him kwa maslahi ya Taifa na si vyama vyama.
Zilongwa mbali,zitendwa mbali.
 
Kwa lugha nyingine ni kuwa,baada ya tafakari pana imeonekana Lissu alikuwa sahihi na hivyo basi faida ameipata mwingine kwa kukazia aliyoyanena Lissu
 
Yale yale uliyoyasema na labda yakapelekea ukapigwa risasi, leo mtu "aliyekopi" yale yale, nasema yale yale utadhani ulimtumia kopi ya andiko lako na kuyaweka JF na kwingine, ameteuliwa kuwa AG.
Ugua pole shujaa wa nchi hii! Utapona, Mungu yuko nawe!

New AG's technical views.. Linganisha na Lisu
Hili ni andiko la Dr Adelardus Kilangi,mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Arusha,mwanasheria kitaaluma aliyebobea kwenye sheria za madini,na mwenyekiti wa bodi ya Petrol Tanzania!

............................................
Wandugu,

1. Nitaomba tuvumiliane. Niliombwa kusema kitu. Nitaandika kwa kirefu kidogo. Kwa kuwa ninaandika muda huu, nina advantage ya kuwa nimesoma maoni mengine yaliyotangulia. Nilicheka sana kaka yangu Ngwilimi aliposema halali hadi nimetoa maoni. Sipendi kumkosesha usingizi. Nitaandika kwa paragraphs ili kurahisisha rejea.

2. Nimeangalia maoni mbalimbali yaliyotolewa humu. Yanagusa maeneo yafuatayo:

i)Statement ya Acacia.

ii)Suala la sovereignty over natural resources na tatizo la 'state capture'.

ii) Suala la smelting na mchanga wa makinikia.

iv)Nini tunaweza kufanya kwenye mikataba:
- kuvunja mikataba?
- kushitaki kwa kutuibia?
- ku-review mikataba?
- au kuweka mikataba wazi?

vi) Sheria za kimataifa.

3. Haya ni mambo mengi na mazito. Sio rahisi kuya-summarize kwenye text ya simu. Pia ni vema kukubaliana kuwa kwenye mjadala kama huu itikadi, vyama na mihemuko iwekwe pembeni. Hoja zitawale.

4. Sitaingia kwenye mtego wa kulaumu au kutetea mtu. Nitajikita kwenye masuala ya msingi yanayotengeneza chimbuko la tatizo. Matatizo katika sekta yetu ya Madini, kama ilivyo ktk nchi nyingi zinazoendelea, nyingi zikiwa Africa, na Tanzania ikiwemo, yana chanzo chake ktk maeneo matatu:

i) Falsafa inayotuongoza,
ii) Sheria inayotuongoza.
iii) Mfumo wa utawala.

FALSAFA INAYOTUONGOZA

5. Malalamiko kuwa nchi zinazoendelea na zenye kumiliki resources zinapunjwa hayakuanza leo. Yalianza miaka ya 1950. Haya yalipelea kuibuka kwa falsafa mbili: resource nationalism na resource liberalism. Kila moja ina implications kwenye sheria na kwenye namna nchi itasimamia raslimali zake.

6. Wale wa resource nationalism walitaka nchi iwe na mamlaka kamili kwa resources zao na ziwasaidie na wakatengeneza principle ya permanent sovereignty over natural resources. Walitaka mambo haya yasimamiwe zaidi na sheria za nchi.

7. Wale wa resource liberalism wanataka raslimali ziwe wazi kwa dunia nzima maana mgawanyo wake duniani hauna usawa (japokuwa wao wamelinda teknolojia yao).

8. Katika vision ya nchi, nchi inachagua falsafa ya kufuata. Falsafa inayofuatwa huathiri sera na sheria.

9. Baada ya Uhuru Tanzania ilifuata falsafa ya resource nationalism hadi 1979. Kuanzia 1979 Tanzania ikaanza kufuata resource liberalism baada ya shinikizo la World Bank na IMF chini ya kitu kinaitwa Washington Consensus. Falsafa hii ilifikia kilele miaka ya 1990 mwishoni. Kwa hiyo ikaathiri sera na sheria.

10. Kuanzia mwishoni mwa miaka ya 2000 nchi imejaribu kurudi kwenye resource nationalism lakini inakwama. Sasa hivi resource nationalism sentiments ziko very high.

SHERIA INAYOTUONGOZA

11. Kama nilivyosema, falsafa huja kuathiri Sera na Sheria. Sheria muhimu hapa ni (nitachanganya lugha kidogo hapa):

i) investment law
ii) mining/petroleum law
iii) tax law.

Investment Law

12. Hiki ni chanzo kikubwa cha ugomvi. Nchi zilizoendelea zimeshinikiza uwepo wa mfumo wa sheria wenye kugandamiza nchi zinazoendelea. Mfumo huu unagawanyika kama ifuatavyo na kila kipande kina matatizo makubwa na mengi.

i) customary international law. Humu kuna principles nyingi ambazo nchi inaweza kuambiwa kuwa imezivunja. Nchi zilizoendelea na zinazoendelea zinagombana juu ya principles hizi.

ii) multilateral framework. Hapa kuna mikataba ya mataifa mengi. Tanzania ni mwanachama Wa mikataba miwili yaani unaoanzisha Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) na unaoanzisha International Centre for the Settlement of Investment Disputes (ICSID).

iii) bilateral framework. Hii ni mikataba kati ya nchi na nchi (bilateral investment treaties - BITs. Ila inawalinda wawekezaji toka nchi hizo mbili. Nchi inaweza kushindwa kesi sio sababu ya mikataba ila kwa sababu ya BITs.

iv) national framework
(mining and petroleum acts) - hizi zina certain aspect fulani za investment.

v) state-investor agreements (tunayoita mikataba na wawekezaji).

Wengi tunaangalia hii tu. Hatuangalii hizo frameworks zingine ambazo baadaye zinatukandamiza.

Pia, framework No. i, ii, na iii ziko chini ya himaya ya sheria za kimataifa.

Mining/petroleum law

12. Mining and petroleum law hutengenezwa na nchi yenye resources. Lakini nchi zilizoendelea huwa zina-influence mno zoezi la utngenezaji sheria hizi, maana hizo ndio hutoa mineral or petroleum rights. Wako tayari hata kuidanganya nchi kwa misaada wanayojua tunahitaji sana. Wanaweza kutudanganya kuwa wanatupatia technical support. Kumbe wanatutengenezea sheria itakayowezesha kutuibia.

Tax Law

13. Tax law ni Eneo jingine ambalo linatumika sana kutuibia. Mnapokuwa mnatengeneza sheria zenu za kodi hawa jamaa hawaachi kuwazungukieni na kuwa-influence.
MFUMO WA UTAWALA

14. Kuna tatizo kubwa sana linalozikumba hasa nchi za Africa na baadhi ya zinazoendelea zilizo nje ya Africa. Hili ni tatizo la 'state capture'. Kama ilivyo concept ya 'river capture' kwenye geography, basi state capture means influence by the elite or business people or investors such that the state (led by its government) fails to think on its own and it follows the thinking of the group that has captured it.

15. Wakati wa kufuata falsafa ya resource liberalism, Tanzania iliingia kwenye total 'state capture'. Ndio kusema tuliondoa kichwa chetu tukaweka kichwa kingine. Tukawa tunafikiri kwa mfumo wa hicho kichwa kingine. Sasa tumeanza kurudisha kichwa chetu.
SUALA LA MCHANGA WA MADINI

Utangulizi

16. Suala hili wote tunajua background yake. Kamati ya Pili natumaini itafanya kazi ya na uchambuzi Wa kutosha.

Mchanga kwenye Madini ni Mali ya nani?

17. Principle ya 'permanent sovereignty over natural resources inasema huu ni Mali ya nchi. Article 27 of the Constitution of the URT inachukua mwelekeo huo huo. Hata Section 5 of the Mining Act says the same. And the same position was in Mining Acts za 1998 na 1979. Zile za kabla ya Hapo ziikuwa zinazungumzia mwingereza.

18. Hata hivyo kuna ubishi kuwa pale nchi inaposaini state-investor agreement (Mineral Development Agreement) na kutoa mineral rights je nchi inakabidhi sovereignty yote kwa companies. Makampuni yatasema 'ndiyo'. Nchi zinatakiwa ziseme 'hapana'.

19. Mineral rights means rights to extract minerals and sell them. Does it include transporting them outside the country in order to extract minerals? I don't think if contracts say so. And if they do, that defeats the principle of permanent sovereignty over natural resources!

Nini Tunaweza kufanya kuhusu mikataba?

20. Kuivunja? Hatuwezi kuivunja. Tumesaini mkataba wa MIGA na wa ICSID. Tutashtakiwa kwa kuvunja customary law principle ya 'fair and equitable treatment', na 'state responsibility' na ya 'respect for acquired rights'. Tutapelekwa mbele ya ICSID na kuhukumiwa, kisha tutaminywa na MIGA itakayokamata mali zetu popote zilipo.

21. Kuwashtaki makampuni kwa kutudanganya? Tunaweza, na tutatumia argument kuwa wamevunja customary law principle ya 'good faith and prohibition of abuse of rights'. Lakini wakisema uchunguzi wa mchanga tumeufanya kwa upande mmoja wanaweza kushinda.

22. Ku-review mikataba? Lazima tuwe tume -incorporate kwenye mkataba kipengele kinachohusiana na doctrine ya 'clausula rebus sic stantibus'. Hii ni doctrine inayoruhusu ku-review mkataba kama conditions Fulani zikibadirika. Lazima kifungu hiki kiwe kwenye mikataba. Hawa jamaa walihakikisha hakimo kwenye mikataba yetu. Kwa hiyo ukianza process ya ku-review unilaterally watasema umevunja principle ya 'fair and equitable treatment'.

23. Kuiweka wazi mikataba ili watu wote waione? Investors wataegemea kwenye principle of confidentiality of investment agreements. Hii principle IPO katika international law. Ingawa sasa kuna mabishano makubwa. Wengine wanaipinga. Ndio maana japokuwa tuna sheria mpya ya uwazi na uwajibikaji - Extractive Industries (Transparency and Accountability) Act, 2015, ambayo inasema mikataba yote iwekwe wazi, makampuni yamekataa kwa kusema kuwa wakati wanasaini mikataba hiyo sheria hiyo haikuwepo. Mnavyojua sheria hairudi kinyume. Kumbe watadai bado canal in sea na principle hiyo.

24. Kwa hiyo kumbe tunaweza kufanya nini sasa? KAMA ALIVYOSEMA MHESHIMIWA RAIS, HII VITA, NA HII NILIYOTOA HAPA NDIO PICHA HALISI YA VITA HII.

Basi wandugu siku nyingine msinitafute ili nitoe Maoni yangu. Vinginevyo mjiandae kusoma kitabu.

Unamahanisha hatupati kishika uchumba bongo movie imeishia hapa na makinikia yanaendelea kubebwa?
 
Haya Bwana umeshinda! Why not pay his treatment bills, why not pray for him etc, etc, etc!
To crown it all why not mention him as a TLS president at Law Day!

wakati wanaondoka waliondoka kama wao!..kuna taratibu zake za kufuata, ukifanya kiburi hazitoki

kumbuka waliookoa maisha ya Lissu ni madaktari wa hospitali ya dodoma, kuwadharau wa muhimbili was not logical!...wale wa muhimbili wangetoa rufaa ya kwenda kwingine bila tatizo.

kubali pia tuhuma zinawaweka watu mbali na kusaidia!..usisahau serikalin no one cares, hujafuata utaratibu nani anaanza kufanya payment?
 
Mnavyowaaminisha wajinga wenzenu wa Ccm msitake Watanzania wote tuamini hivyo...
 
Back
Top Bottom