Ukiwa raisi mtu akakuita names kumbe dawa ni kumpiga risasi? Kwenye democracy?
Sasa pale ambapo Lissu, mbowe, mpaka wewe mnapoamini aliyempiga risasi ni JPM, hauoni kuwa mjadala wako na mtazamo wako wote uko biased kwa kuhisi, kuishi ukiamini kuwa fulani kafanya hivi au vile?
hoja yangu ni kuwa Lissu hana staha, hana heshima, ana maneno machafu, hana mvuto katika kada ya waliostaarabika, wala hawezi kuwa influential kwa opponents wake
nguvu ni pale unapoweza kuingia ndani ya moyo wa adui yako, ukambadilisha mtazamo wake bila matusi wala kejeli. andika hili somewhere.Lissu hana hiyo caliber! Lissu kakaa vizuri kuwa mshabiki wa arsenal tu
hakuna mahali niliposema kuwa Lissu kwa sababu ya tabia zake chafu!! basi eti anastahili kupigwa risasi..it is even childish na kudekadeka kutaka au kukimbilia kwenye maada ambayo sijaisema ili tu upate kupendwa na maadui wa JPM!
Lissu anabaki kuwa the biggest loser katika histora ya nchi hii! Lissu kwa tabia yake hawezi kuaminika hata na mbowe. Ana miss kitu kidogo tu angekuwa the biggest and most influential man kwa nchii hii, kapoteza hiyo tunu. Endelea kumpa sifa tu, tunahesabu miaka hatapata wala kufikia kile ambacho angeweza kama angeamua kuwa mstaarabu
kama ubunge tu hata kibajaj anao, kama ubunge hata wasiosoma kabisa wanao.!! kitu gani ambacho Lissu kawa so special kiasi ambacho legacy angeacha kwa vizazi vijavyo? amekosa mentor wa kumuweka sawa, kwa akili za Lissu he was supposed be a greatman nchi hii, mtazamo wa ki nchi ambayo miaka yote imekuwa CCM kuna wazee watoto na akina mama ambao hawapendi matusi, kejeli au dharau kama anazozionyesha Lissu ni wazi hata leo hii hana ushawishi kwa hayo makundi! ukweli au kila anachokisema hata kama kina 100% sawa, kinakuwa na nguvu, live and very effective kuwa kama akisema kinafanyiwa kazi, hapo anakuwa anaacha alama zinazoishi..Kwa mfano Lissu akifa leo utamkumbuka kwa lipi? lipi kafanya kwa ngazi ya kitaifa? ushawishi upi anao ambao hata mtoto mdogo angependa kusema nataka kuwa Lissu? Lissu ni popular kama diamond, popular kama wema sepetu, popular kama Dr. shika ila hana alama za kuishi kwa vizazi vyote vijavyo. Hata bungeni muswada gani unaukumbuka kuwa ni Lissu aliupeleka na kapambana na ikawa kama anavyotaka? akina Zitto waliweza mbona? akili za kisheria za Lissu zinamsaidia vipi mtu wa kawaida? fikiria acha siasa
mpeni bichwa ila tunaojua angefanya nini ili afike mbali, ame miss ATTITUDE, is all about his attitude
Lissu hajaanza leo, akiwa mwenyekiti wa faculty ya LAW udsm wanafunzi wenzake walimpindua na kumkataa kuwa kiongozi kwa sababu aliwatukana, ubishi na kuwadharau wote!! ( muulize classmate wake Hon.ngeleja)
Najua utabisha kwa sababu MAHABA baba!! MAHABA tumefika nyakati hatutaki ukweli ila tunaongozwa na mioyo
Lissu is just a crap kwa ustawi wa taifa, akili zake zimsaidie kupata hela aishi na familia yake vizuri, ILA sio KUJENGA taifa, hana akili hiyo na hata nafasi hiyo!!