Mkuu, just understand, hata kama ni hiyo unayoita “staha”, naona bado uko bias to the extreme!
Niseme tu, huo upande wa staha, mimi nimempa a break! Kwasababu huo ni upande wa politics, na politics zetu, Rostam aliondoka kwa kusema zimekuwa “gutter politics”, wengine wakaita siasa za majitaka!
Sasa badala ya kutizama kwa jicho la tatu uone kuwa problem hapo ni politics, wewe unaanza kusema he deserved what he went through, kwasababu hakuwa na staha wakati wa kusema ukweli?
Gimme a break bro. Sometimes tukubali tu. Uadui uliokuwepo umetengenezwa na mawazo kama haya yakwako.