Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,129
Stuck yo thumb in Your a$$ hole, for me.Your ass
Stuck yo thumb in Your a$$ hole, for me.Your ass
Nenda post #1 nimeweka zote mbiliIngependeza sana kuunganisha dots - leteni nyuzi zote - humu - Ile ya Kamanda wa ukweli Tundu Lissu na ya AG wa ikulu
Kilichomponza pia kutoa siri ya panga boi. Sasa juliulize iko wapi? Badoo iko locap kutokana na kiherehere cha kato kuvunja nkatabaNimekuelewa. Tuko wengi tulioandika na kushauri sana,hatujathaminiwa. Mtu baki,kaongea na kuandika yaleyale,akapaishwa! Hii huwa inatokea mara nyingi. Hata Mwl. Nyerere,hoja za kuutetea Ujamaa hazikuwa zake. Alokopi kwa kina Karl Max, Chairman Mao, Lennin, na Wanafalsafa wengine. Hivyo,yawezekana Comrade TL akaanza kuwekwa kwenye kundi la wanafalsafa wa karne hii. Na ndiyo maana,bila kujali itikadi wengi wamemchukulia kuwa Mtz,mzalendo.
Na tulivyo waviv kusoma sasa
Tukusaidiaje sasa kama umechagua upuuzi kuwa Muongozo wakomkuu weka bandiko la lissu hapa na la huyo kilangi, word by word compare and contrast
Kilangi kamuacha Lissu mbali sana sana sana , kuleeeee....kigoma na juu ya kilimanjaro
unapokosoa kitu, rudi kwenye basic, jenga hoja, kubaliana na alichofanya huyo mtu , shauri for improvement na acha mhusika aamue.....kavukavu na ukakasi siyo lugha za kisomi, na ndio unaona Kilangi yuko smart, Lissu mpeni kichwa tu
Lissu anajua kukosoa, hata kama anaongea point ataweka personal attacks, atataka kujikuza, kujifanya mjuaji, atamdhalilihs mhusika ili kuwa kusanya wapuuzi kama wewe!!
Lissu nadhani hata mkewe akiwa MP huwa anakosoa uumbaji!
that is what he knows, that is how he is
Lissu angekuwa anakosoa kwa staha, ana appreciate wengine na anatoa solution angekuwa one of great and most influential person in this country, sasa yeye kila wakati ni rigid, uanaharakati na ndio inamfanya anakosa kibali cha kulisaidia taifa, attitude is verything mkuu, hata uwe genius vipi, una attitude mbaya you LOST!! its natural
there is no way you can think others are always wrong!!you must have problem
sasa wanapotokea wajinga kama nyie kumpa bichwa wakati ni looser haisaidii!! endelea kujifariji
Kato ni naniKilichomponza pia kutoa siri ya panga boi. Sasa juliulize iko wapi? Badoo iko locap kutokana na kiherehere cha kato kuvunja nkataba
Na Lisu alisema hawa watu ni kuwaomba kukaa nao ki diplomasia tuzungunze tena kuwa jamani hatupati kitu cha maana kutoka mikataba hii. Tukae tena tuzungumze tuwe na win win partinershipAchani kuzunguka mbuyu kama wale walio sign hii mikataba walihongwa mkawatafute muongee nao wakubali kuisaidia serikali kua walipokea rushwa na wawape ushahidi wa kutosha hiyo inatosha kuvunja hiyo mikataba yote ila kama mnaogopana basi tatizo litabaki pale pale,ongeeni na wahusika tu ni watz wenzetu hatuna haja ikiwezekana wakitoa ushirikiano hakutakua na kesi dhidi yao
Nataka kufanya kauchnguzi kadogo kama Tundu Lisu alilamba pesa za mabepari atetee maslahi yao na kusaliti taifa lake. Hapa nitakuja kuwaletea mrejesho nini nitakachokipata hapahapa jamii forumNaendelea na uchunguzi ili kujua kama TUNDU LISSU ni Mtume wa Mungu au la , majibu yake nitayaweka hapahapa jf .
Huyu mtu si wa kawaida .
Bramo mbona mwanahabari huru ni mabadiriko, huyo muondoe. Kweli kumbe umeona, huu uzi wamekimbia kabisa. Kusema kweli wameona naked facts si rahisi kuzichalenji, haoooooo vyumbani
Lisu ametoa the way out of this saga, tuanze vipi kurekebisha wanavyotuibia. Sikiliza clip ya kwanza mpaka mwisho. Alimaliza kila kitu! Labda wangelimsikiliza ndege zetu tatu zisingelikamatwaMaelezo mazuri nayo ni yakweli isipokuwa hukutoa hitimisho nini viongozi wetu wanaweza fanya au kwa kuanzia waanze na kipi ili tujinasue salama hapa au ndio tayari tumezama kutoka tena hakupo milele tunaomba mawazo yakutoka kama yapo mkuu
Naona leo umeamua kilatini... na Ichalwe, ni sahihi ! wakatoliki hao.....imprimateaur
Katika mada yako kuu umerejea andiko la mteule mpya wa Rais kuhusu suala la makinikia la awamu ya Tume ya Kwanza. Yaliyojiri baada ya Tume ya kwanza na bwabwaja za Lissu unezimezea, km mfano ushauri wake, kwa uongo wa kelele, kuwa Serikali ingeshitakiwa, umekuwa bubu kufanya mrejesho.Bramo mbona mwanahabari huru ni mabadiriko, huyo muondoe. Kweli kumbe umeona, huu uzi wamekimbia kabisa. Kusema kweli wameona naked facts si rahisi kuzichalenji, haoooooo vyumbani
Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app