Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Kichaa yuko ikulu,Lissu anatuonesha ukichaa wa Jiwe!siyo huyo unaesema wewe nihuyo tobo anaezunguka kwenuye nchi za watu
Kichaa yuko ikulu,Lissu anatuonesha ukichaa wa Jiwe!siyo huyo unaesema wewe nihuyo tobo anaezunguka kwenuye nchi za watu
Let me tell you one thing which makes you loose.
Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.
Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.
Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.
La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu The Greatest katika ubora wake .Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
Ndio ujue mnatuletea post za kitoto humu.Waulize hao wanaompa mwaliko!
Lumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
kichaa hawezi kukaa ikulu kichaa ni mtu anaezurura hovyo bila kujua anapata faida gani huyo ndiye kichaa yule zilidondoka baadhi pale dom aende milembeKichaa yuko ikulu,Lissu anatuonesha ukichaa wa Jiwe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimestuka kuona hiyo ID kisha nikaiangalia tena kwa makiniWalahi asiache jiwe juu ya jiwe walahi maana wauwaji akina Bashite washaanza kujishtukia walahi,
Sent using Jamii Forums mobile app
ubora upi alionao sasa kama si ukichaa tuLissu The Greatest katika ubora wake .
Hivi hata hili CCM watabisha na kuvuta midomo mbele kama chuchunge!Gotcha ya,CCM!😂😂😂😂😂Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Lissu anaendelea kupasua anga teh teh teh tehNdio ujue mnatuletea post za kitoto humu.
By the way ya BBC HARD TALK tunajua aliiomba lkn matokeo yake yamekuwa si rafiki kwake.
Huruma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanapenda kuiga balaaaa eti kabadirisha kidogo tu![]()
![]()
![]()
nimestuka kuona hiyo ID kisha nikaiangalia tena kwa makini![]()
Labda rais wa wazungu sio watanzaniaLumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
Kila upande upo umekaa kama sigara nyota wachoma unakotaka na kujivutia.Walahi asiache jiwe juu ya jiwe walahi maana wauwaji akina Bashite washaanza kujishtukia walahi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Next stop CNN,uliza kama kuna kichaa ashawahi kukanyaga huko!Jiwe kabanwa pabaya!!!!Hahahahaaaaa!kichaa hawezi kukaa ikulu kichaa ni mtu anaezurura hovyo bila kujua anapata faida gani huyo ndiye kichaa yule zilidondoka baadhi pale dom aende milembe
We mama macho yako yana darubini Kali? Sisi mbona hatuoni?Sijaelewa,faida yake.maana yanayoendelea yanaonekana kwa macho.
Si hii serikali ya kifashisti!!acha ujinga wauwajiunawajua wewe ??