Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,380
- 39,333
Baada ya kama saa moja hivi (sawa na saa tisa EST), saa nane CST karibu sawa na saa nne EAT mwanasheria na mwanaharakati wa mazingira Bw. Tundu Lissu atakuwa nami moja kwa moja toka jijini Dar tukizungumzia mambo mbalimbali. Bw. Lissu ndiye ambaye ameuchambua Mkataba wa Buzwagi kimahiri na kuonesha ni jinsi gani una mapungufu na ni kwanini haujaweka maslahi ya Taifa mbele. Wiki ijayo tutajitahidi kupata msemaji wa serikali kuweza kuzungumza nasi kwani majaribio yote ya kufanya hivyo leo yamekuwa magumu.
Matangazo hayo yatarushwa moja kwa moja kupitia http://www.bongoradio.com
Hakikisha ukiingia kwenye bongoradio, chagua player yako lakini tumia "low" setting ili kuwezesha wasikilizaji wengi kuweza kusikia bila matatizo yoyote. Kama tayari ulikuwa unasikiliza basi kata na fungua tena katika "low".
M. M.