Tundu Lissu on KLH News Exclusive!

Status
Not open for further replies.
kama kuna mtu anaswali andika hapa

Mwanakijiji::

Question:: Anytime U are accusing someone, U need a prosecutor and a judge to give a verdict.

Why can't they give the president (JK) some room in the accusations so that he can have an incentive to deal with mafisadi chini yake???

If U group Mafisadi & JK together U are banding them together and since our laws can not do anything to the president, this is counterproductive

Can't they see this??

NB:: JK will be dealt with in 2010 if need be
 
Mkjj

Muulize Lissu; wanatumia ushahidi wa CAG na BRELA, mkaguzi mkuu wa serikali na msajili wa kampuni wakizikana nyaraka walizowapa itakuwaje? Maana wanaweza wakanyofoa mafaili

asha
 
Katika ya Mwafrika wa Kike na wewe unayejiita Mtanzania nani michango yake humu inaashiria kulinda utawala wa kifisadi uliopo?

Umezidi we, na ukizidi zaidi tutakusuta

Asha

Dada Asha,

Actions speak louder than words. Wanaonijua wanajua msimamo wangu kwenye vyama vya siasa, kwahiyo hata uniite nani, roho iko clean kwenye haya mambo ya ufisadi, rushwa na uongozi mbovu.

Tofauti tu, mimi nataka uongozi bora kwa kila mtu. Sijali CCM wala CHADEMA, wala TLP, wala JF.

Search Mtanzania toka kule BCS utakuta consistency.
 
Mkjj

Muulize Lissu; wanatumia ushahidi wa CAG na BRELA, mkaguzi mkuu wa serikali na msajili wa kampuni wakizikana nyaraka walizowapa itakuwaje? Maana wanaweza wakanyofoa mafaili

asha

Hawa wote boss wao ni serikali; wataweza kuwa mashahidi wa upande wa upinzani?

Asha
 
Dada Asha,

Tofauti tu, mimi nataka uongozi bora kwa kila mtu. Sijali CCM .

ohh crap...

wewe umesema hapa katika thread nyingine kuwa Karamagi alikuwa right? kisha unaanza kuleta historia hapa.... sio makosa kusema kuwa unaipenda ccm na unaipigia debe hapa!

its ok.... ikomboe nafsi yako uache unafiki!
 
Lissu watch out Utanyang'ganywa Licence ya Uwakili, Je umejiandaaje kwa hilo
 
Mwanakijiji,

Mwulize kwa maoni yake je hayo matatizo ya mikataba ni mapungufu kwenye uwezo wa watendaji serikalini au ni rushwa kwa asilimia 100?

Je kuondoka kwa serikali iliyopo kama anavyoshauri, ana uhakika gani kutaondoa ufisadi Tanzania?
 
Mkjj

Muulize Lissu; wanatumia ushahidi wa CAG na BRELA, mkaguzi mkuu wa serikali na msajili wa kampuni wakizikana nyaraka walizowapa itakuwaje? Maana wanaweza wakanyofoa mafaili

asha

You are quite right Asha...........na huo ndio UMAFIA wenyewe
 
ohh crap...

wewe umesema hapa katika thread nyingine kuwa Karamagi alikuwa right? kisha unaanza kuleta historia hapa.... sio makosa kusema kuwa unaipenda ccm na unaipigia debe hapa!

its ok.... ikomboe nafsi yako uache unafiki!

Kwi kwi kwi!!!! Master of SPIN, nionyeshe niliposema hayo, sitaandika tena JF.
 
Mwanakijiji::

Question:: Anytime U are accusing someone, U need a prosecutor and a judge to give a verdict.

Why can't they give the president (JK) some room in the accusations so that he can have an incentive to deal with mafisadi chini yake???

If U group Mafisadi & JK together U are banding them together and since our laws can not do anything to the president, this is counterproductive

Can't they see this??

NB:: JK will be dealt with in 2010 if need be

Thanks Mkjj.

I like the answers but wananchi will decide in 2010.

In the meantime the person who can sack the other 10 is Presido Jk. So Wapinzani hii ni advise, U can use the power of divide & conquer, stick & Carrots. Give JK space so he can make moves and if he does he will have internal war with his people and the floodgates will be open then U can ram more demands.
 
Mwanakijiji,

Asante kwa kuandaa haya mazungumzo na jamaa ameongelea mambo mengi sana.

Lisu ni mwanaharakati mzuri, I hope hawa wanasiasa hawatambadili na ataendelea na msimamo wake wa miaka na miaka.
 
Mwanakijiji,

Asante kwa kuandaa haya mazungumzo na jamaa ameongelea mambo mengi sana.

Lisu ni mwanaharakati mzuri, I hope hawa wanasiasa hawatambadili na ataendelea na msimamo wake wa miaka na miaka.

kubali umeshindwa mechi...... weeeeeeee watu weeeeeeee

Lisu 3 mtanzania 0
 
Tunashukuru sana Geeque na MKJJ kwa mahojianao.....duhh mshikaji nimeisikia ile warning ya one minute........anyway si haba, wako watakao jitokeza kuku-support

Inshallaah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom