Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
hv kuna viongozi wenye kauli mbaya kama ccmnopq' mkuu..
 
Unafikiri Lissu ana ubavu wa kufanya nini endapo ataibiwa kura kama ametiwa ulemavu tu nusu kupoteza maisha ila hajafanya lolote zaidi ya kutaka kutumia tukio hilo kuombea kura kwenye kampeni?
Hilo jambo halipo leo wala halipo kesho wala keshokutwa.

Tarehe 28/10/2020 ni tarehe kutoboa tundu ...Yaani tundu linaenda kutoborewa na kupanuliwa zaidi.
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Huyu sio presidential material,he is a poor activist.Walio-mchagua are myopic.
 
Dawa ya kumzuia Lisu asiingize watu barabarani ni rahisi sana, UCHAGUZI HURU NA HAKI! Watu waachwe wafanye maamuzi ndani ya box la kura, basi!
Hata Kama tukiweka tume ya namna gani na uchaguzi ukiwa huru kiasi gani akishindwa bado hato kubali kuwa kashindwa kwasababu tayari kesha weka dhana mbaya kuwa ataibiwa kura.

Yaani kwake yeye uchaguzi huru na haki ni ule tu ambao yeye atashinda Ila akishindwa tu basi uchaguzi huo si huru na haki kwake.
 
Kwa ninavyomjua Magufuli... Dunia itamlaumu tu! Atawabutua wote.. barabara zitajaa mavi yalimwagika.
Natamani nishuhudie hii mbinde.
Athubutu aone!! Kama hataki kwenda ulaya kwa amani na mazuri basi ataenda kwa kukabidhiwa ICC uholanzi
 
Chadema haishindwi uchaguzi wa mwaka huu ndugu. Amini maneno yangu. CCM imechokwa, inatosha kwa jinsi walivyowafanya watanzania mafukara. Inatosha kwa walivyoiharibu Tanzania
Hata mwendawazimu hawezi kuamini maneneno yako yaani hata nafisi yako inatambua fika CCM itabaki pale ilipo .

Labda kitakachoongezeka ni kuhakikisha tunapunguza mifugo kule mjengoni na kwenye Halmashauri.
 
Basi acheni kulalamika kwenye huu uzi juu ya watu kuingia barabarani mkiiba kura. Kama mnajua mtashinda kihalali kwa nini mnalalamika humu?
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.

Mbona kauli yake imenyooka (Kama kweli kayasema hayo). Wewe ndiyo umeamua kujiongezea nyama.
Unaamini kwamba anaweza waingiza watu barabarani ambao wanajua kama ameshindwa???

Nikiibiwa kura ni kinyume na nisipoibiwa kura.
 
Uvumilivu huo mnao ,nyie ndio mlikua mnasema mnataka Rais mkali,dikteta ,tumepata mkali mpo mnahema Sasa,
Lissu yuko kwa interest ya mabeberu,kwa hiyo Tanzania cannot afford to have him as a president,ataiuza nchi.Miaka almost miwili aliyokaa Ulaya,nani kamlipia matibabu na makazi?Kakopa mabeberu
lazima,kwa hiyo lazima watataka kurejeshewa hela zao,kwa hiyo hatufai,ataiuza nchi kama nilivyo sema.Tanzania inataka mtu ambaye atailinda nchi.
 
Jamani huyu jamaa anatakiwa atembee na tool box saa yoyote anaweza kutamka chochote bila kutarajia sababu nut zake ziko loose alafu anaamini yeye ameshashinda uchaguzi na pia anawaimanisha chadema hivyo hivyo. Sasa pale atakapoambiwa ameshindwa hicho kishindo chake sijui itakuwaje
 
Hapo ndio kwenye tatizo sasa mkuu.
 
Kwani tayari time ya uchaguzi tayari imempisha Lisu kuwa mgombea?
Au kichwa yake bado Ina risasi?
 
Lissu yuko kwa interest ya mabeberu,kwa hiyo Tanzania cannot afford to have him as a president.Ataiuza nchi huyu.Miaka almost miwili aliyokaa Ulaya,nani kamlipia?Kakopa mabeberu huyu,atataka kurejesha hela za watu,hafai.Tanzania inataka mtu ambaye atailinda nchi.
Interest za mabeberu ni zipi??? Au umekaririshwa tu mambo ya kusema humu hapo Lumumba??
 
Wewe unadhani yule aliyewatesa watumishi wa umma kwa miaka mitano atakubali kuachia kiti cha Urais kirahisi!!!!!
Tutaingia ikibidi
 
Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

View attachment 1526711

My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hana jeuri hiyo, hayo ni maneno ya mzamaji, hata akiona nyoka atamshika akidhani atapona. Hana uwezo wala jeuri hiyo hata hao wafadhili wake wanajua hilo. Come General Election's Day na matokeo kutangazwa tuone jeuri yake.
 
Back
Top Bottom