Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Chadema haishindwi uchaguzi wa mwaka huu ndugu. Amini maneno yangu. CCM imechokwa, inatosha kwa jinsi walivyowafanya watanzania mafukara. Inatosha kwa walivyoiharibu Tanzania
Niliwahi kuhisi kitu kama hiki kipindi fulani kabla sijajielewa na kabla sijaelewa ukweli wa mambo kwa kiasi fulani. Baada ya kujitambua na kupata ukweli kiasi fulani kwa kujishughulisha kutafuta taarifa sahihi mahali popote penye uhakika, siku hizi siwazi wala sihisi kitu kama hicho.
 
Sio Watanzania KIZAZI CHA UJAMAA NA KIJAMAA HAKIJAFA asubiri mwaka 2030 vijana wa 1994 ndio anaweza awaingize barabarani na hawa pia mama zao na baba zao Wajamaa watawakataza
 
Weka video yake mkuu.
 
kwa hisani ya beberu hata white house inawezekana ila kama ni mawazo yake tu barabara zitajaa vipande vya nyama
 
Tatizo lako kiswahili kwako ni mtihani, amesema akiibiwa.
 
Tulieni sindano ikuingie vyema kusudi upone
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Kamuulize Bashite wako leo hii yuko wapi? Nasikia yupo mbutu ameanza kufuga bata mzinga
 
Hapo ndiyo upeo wa huyo mleta uzi ulipo ishia, maana anaandika alicho ruhusiwa kuandika na chakubanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…