Mungu ni mkubwa amejibu maombi yetu!Walivuta we mwisho wa siku wamekubali wengine watu wa heshima kabisa wanadangaya ati yuko fit.
Unamuuliza nani?Uhuru na haki zipi mlizozikosa wakati wa JPM ambae alikuwa mtetezi wa wanyonge na watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao. Juhudi zake za utetezi wa haki za wanyonge kakomesha ufisadi, ujambazi, wizi, rushwa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina. Naona haki zinazotofutwa hapa ni za kushibisha matumbo na wala sio kwa maendeleo jumuishi ya watanzania.
Aisee nchi ina watu mabogus hii, hakyamungu, yan umekaa kwene computer yako ukaamua kuandika maneno yote haya na all this is hearsay ? mzee mbona mnatukatisha tamaa, kila siku mbarudisha nyuma hili taifa.Wajinga na wapumbavu wanafahamika kwa hoja wanazotoa. Toa sababu hata hafifu ya kuingia gharama kubwa kumweka dereva Nairobi na baadaye Ubeljiji hadi leo hii. Watu walisema kuwa Nairobi alikuwa anafundishwa ajibu nini polisi atakapolazimika kuhojiwa na angerudishwa TZ pale ambapo angeonekana ameiva. Hakuiva na sasa yuko Ubeljiji. Ni sababu gani utakayotoa ili yale maneno yasiaminiwe? Kumbuka pale Dodoma dereva alipohojiwa na waandishi wa habari alisema aliona gari inamfuata kwa nyuma na alipomwambia bosi wake yaani Lissu yeye alimwambia twende tu nyumbani. Ila cha kushangaza kule Ubeljiji alihojiwa na DW Tv akasema alipoona gari inawafuatilia kwa nyuma hakusema chochote kwa bosi wake. Akija TZ kitaeleweka tu na wa kuaibika wataaibika.
Hilj taifa bado lina safari ndefu mkuu.aisee nchi ina watu mabogus hii, hakyamungu, yan umekaa kwene computer yako ukaamua kuandika maneno yote haya na all this is hearsay ? mzee mbona mnatukatisha tamaa, kila siku mbarudisha nyuma hili taifa.
Mkuu acha kabisa. Yaani mtu anaandika ujinga Kama kachanganyikiwa. Anakwambia lile tukio la Lisu ni usanii kwa mabichwa mabovu Kama haya unaweza kuililia nchi hii kwa kweli. Ukweli wa Mungu inasikitisha kuona kwenye kizazi hiki bado kuna watu wa aina hii.aisee nchi ina watu mabogus hii, hakyamungu, yan umekaa kwene computer yako ukaamua kuandika maneno yote haya na all this is hearsay ? mzee mbona mnatukatisha tamaa, kila siku mbarudisha nyuma hili taifa.
Mkuu acha kabisa. Yaani mtu anaandika ujinga Kama kachanganyikiwa. Anakwambia lile tukio la Lisu ni usanii kwa mabichwa mabovu Kama haya unaweza kuililia nchi hii kwa kweli. Ukweli wa Mungu inasikitisha kuona kwenye kizazi hiki bado kuna watu wa aina hii.
aisee nchi ina watu mabogus hii, hakyamungu, yan umekaa kwene computer yako ukaamua kuandika maneno yote haya na all this is hearsay ? mzee mbona mnatukatisha tamaa, kila siku mbarudisha nyuma hili taifa.
Ndiyo maana imepita na MagufuliLissu karma is a bitch.
Yaah I too hate Makapuku kama Tobo wanaojipendekeza kwa mabeberu1 Toboanafanya hivyo ili apate kamkate kake ka kila siku huko Ubelgiji, vinginevyo ataishia KUD#### mitaani kwani huko there is no FREE KUNCH. You have to "pay for everything".Damn i hate this guy......
Ila ni mgonjwa, najua hilo unakubali, CPZ zake zipo pale pale, aje atoe denda baada ya kuzinywaa!hata alipozungumza kuhusu jeuri yenu dhidi ya corona mlikejeli. ona sasa imewanyoosha
Mkuu, 'Hamartan', unajua matatizo yanaanzia wapi?Mwalimu aliwahi kusema, 'wakati wa utawala wangu, kuna maeneo tulifanya makosa, tusifanye makosa, sisi ni malaika? Kila utawala utafanya mazuri, utafanya makosa pia. Utawala unaofuata unayachukua mazuri, unayaacha mabaya. Kinachoshangaza, kuna wakati mnachukua mabaya mnayaacha mazuri".
Mazuri aliyoyafanya, tuyaenzi na kuyaendeleza. Yaliyo mabaya tuyaache. Mambo yafuatayo, tuyaendeleze na kuyaboresha: