Unamfahamu Stephen Sackur wa HardTalk?Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Wamenuna
In God we Trust
Yaani Mungu mkubwa amepona kwa macho anashuhudia ujambazi wizi na ufisadi wa Magufuli na genge lakeNimefurahi amepona, ili ajionee namna Watanzania wanavyojiletea maendeleo ya kueleweka kupitia serikali ya nchi yao Tanzania, ingawa yeye( Lissu) alitaka watanzania hawa hawa wawekewe vikwazo vya kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia na kila mahali Tanzania itengwe. Hasa hili ndilo lilikuwa ombi langu kuwa apone aje aone kuwa watanzania tuna uwezo wa kuendesha mambo yetu bila kuingiliwa na wennyeghiliba anaowatetemekea yeye. Asante Mungu kwa kumponya Lissu.
Huna akili kabisa!!Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?
Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi huyo Zombie tunamjua tokea zamani.Huna akili kabisa!!
Kwani unakereka? Cheka na wewe, itakusaidia sana. Life is short to be miserable all the time.
Stephen Sackur ana maswali ya kukujaza kichwa na kukufanya umwage mboga zako zote afu ndio anaanza maswali ya mitego na maudhi.I cant wait for Hardtalk.
Umbumbumbu unakutesa, Hard talk ina global audience, sema Stephen Sucker hawezi kumuhoji mtu anayesema kingereza bomu eti "interprenyuta" mfyuu!
Ni wewe mwenyewe kwa sura hiyo kwa kwi kijiwe cha bashiteSisi huyo Zombie tunamjua tokea zamani.
Na Iwe hivoAshukuriwe Mungu, Jemedari amenawiri na amerudi kama zamani. Wauaji,na watesaji kamwe hawatabaki salama maisha yao yote. U nani wewe mpk udhubutu kutoa uhai wa binadam mwenzio ambae Mungu hajapanga bado??? Ulaaniwe milele na damu za wote uliowaua na kuwatesa na ziwe mikonon mwako daima zikuandame popote utakapoenda.
Sent using Jamii Forums mobile app





Kule hakuna kiki za kupanik, sana watampa Napkin afute jasho halafu maswali yako palepale,..ikifikia akasema "I am the Stone!..watamwambia Calm down Mr President wanampa napkin afute kamasi na jasho.Hivi anaogopaga kitu gani jamani?
In God we Trust
Kipindi saa ngapi? I don't want to miss it.Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)