MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,159
- 6,574
Wewe gamba Kakojoe ukalaleKumbe huwa unaficha magongo kwa mama yako? Ha ha ha.
Shwain!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe gamba Kakojoe ukalaleKumbe huwa unaficha magongo kwa mama yako? Ha ha ha.
Umeanza Lini Hivi Tuseme Lumumba FC Hurudi Tena.Tiririka, mimi naenda kunawa uso ninazo Cotton buds nasafisha vizuri ili nipate kumuona Mwanasiasa na Mwanasheria Nguli ambae ni kipenzi cha Watanzania.
View attachment 995531
Siwezi kukaa naangalia watanzania wenzangu wakiteketezwa katiba ikisokotewa tumbaku bunge la manunuzi likitiwa kwenye mfukoniUmeanza Lini Hivi Tuseme Lumumba FC Hurudi Tena.
Duuuuuh hatare!Tundu lililokuleta dunian lilipata maumivu ya bure kuleta taahira dunian.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hukuletwa na tundu basi uliletwa na shimo!Sikuletwa na tundu. Ulie letwa na tundu ni wewe ndio maana umejaa uozo kichwani mwako unawaza matusi na upumbavu,
Uchawi ni hali ya mtu kujenga nia na kufanya kwa maneno au matendo mambo yanayoleta huzuni na maumivu kwa wengine.Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
zombi upoNi wewe mwenyewe kwa sura hiyo kwa kwi kijiwe cha bashite
Hehe he hee ...Tiririka, mimi naenda kunawa uso ninazo Cotton buds nasafisha vizuri ili nipate kumuona Mwanasiasa na Mwanasheria Nguli ambae ni kipenzi cha Watanzania.
View attachment 995531
Haha amerogwa huyoNdio maana anaweka avatar ya Mbwa wao,ID ya jina laoati Barbarosa kwa nini asiweke hata Kawawa.
Hahakayaficha nyuma kwako.
acha kuteseka kiongozi.
#My God Iz Awesome![]()
Mabeberu ... BBC nao jinsi wanavyo penda habari za moto ... aisee lazima hii issue ya lisu waipe nafasi kubwa mno tena Sana ..maana itawasaidia kuuza sana habari zao na kuwanufaisha kwa kiasi kikubwa ...Usishangae BBC wakaitwa wachochezi
In God we Trust
Dead Man Walking DMW ndio code yake.
Ujasiri ni lissu na lissu ni ujasiri ...so anaanzaje kupunguza kasi kwa mfano ...kama risasi zilishindwa kumpunguza. Ninani mwingine mwenye jeuri hiyo ...Apite mbele
Sio kuumia tu mkuu " nakujikojolea piaJiwe akiona hii picha atakuwa anaumi sana.