Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Sasa hivi yupo ndani ya lumumba ili mradi mkono unaenda kinywani

In God we Trust
kwahiyo sasahivi anashinda na rangi ya kijani kutwa kucha
mzee Rwaitama amesema juzi kuwa hiki kipindi cha jiwe kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kwa wazee kushindakukesha na kivazikijani sijui wamepatwa na nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mzee Lwaitama ni hazina ya taifa kabisa na ana maono makuu na anaongea ukweli bila ya kumuogopa mtu wala malaika wasiyo julikana

In God we Trust
 
Back
Top Bottom