Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

"Unamfahamu Stephen Sackur wa HardTalk?" by Faiza Foxy.
====
Kajamaa fulani hivi kembamba kana kakikuta muulizwa maswali kilaza na hana msimamo, muulizwa anaweza kusema "hata juzi alijikuna sehemu gani"! Tegeni sikio...mtu anaweza kuumbuka.
 
Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kuwa ni ng'ombe wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom