Mungu mkubwa lie kufika studio akina na pumping ni jambo la kusema Haleluya Magufuli hivi amewahi hata kuitajika kwa interview na BBCNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Bila kumung'unya maneno huyu mtu ni jasiri. Tena jasiri kweli kweli kuliko huyu anaeogopa hata maandamano au mijadala Ila ni bingwa wa kupiga mikwala akiwa kwenye TV.
Hivi ni mtanzania gn mwingine angepigwa lisasi mchana kweupe hata 2 tu angesimama tena jukwaani au kurudi tz?
Unataka aende Kupanik pale avunje na zile meza za Vioo.Mungu mkubwa lie kufika studio akina na pumping ni jambo la kusema Haleluya Magufuli hivi amewahi hata kuitajika kwa interview na BBC
Bashite. AmembebeaMagongo kayaficha wapi sasa?
Kwaiyo kumbe unaogopa wazungu / mabeberuNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
I will never be trapped by bashite I say nayUnataka aende Kupanik pale avunje na zile meza za Vioo.
Wewe jamaa ni nouma. Waliushambulia upi hebu atujibu fastaKwani nyie mliushambulia upi haswaa?
In God we Trust



Ataenda kama maisha yataendelea sawa lakini angalau Magufuli amekuwa kwamba si Mungu hawezi kuamua kifo cha Mtu kama Mungu hajapendaasisahau kwenda CNN,aljazeera,deutchwere,France 24,Birmingham news,na viclip kibao YouTube atakuwa kama bazooka baada ya hapo maisha mengine yataendelea. bila tabu pia asisahau wampe na pa kuishi kama yule Dada wa kiarabu ili tuinjoi story zake tokea huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto wa bashite bwana hushangazi kabisa tangu ujuwe kutumia choo unangebe kama niniMwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
Buku 7Mada ni lissu ndani ya BBC
Anzisha mada yako ya mbowe.
acha kuchafua thread za watu
#My God Iz Awesome![]()





Nimefurahi amepona, ili ajionee namna Watanzania wanavyojiletea maendeleo ya kueleweka kupitia serikali ya nchi yao Tanzania, ingawa yeye( Lissu) alitaka watanzania hawa hawa wawekewe vikwazo vya kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia na kila mahali Tanzania itengwe. Hasa hili ndilo lilikuwa ombi langu kuwa apone aje aone kuwa watanzania tuna uwezo wa kuendesha mambo yetu bila kuingiliwa na wennyeghiliba anaowatetemekea yeye. Asante Mungu kwa kumponya Lissu.