Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Hoja zako siku zote ni .......

Muzungu

Muhindi


Mchagga

Negros

Hivi Mwl. Nyerere angekuwa na hoja za aina hii hata hiyo CCM mnayojifanya kuijua mngeikuta ??
 
Asante sana mkuu kwa kumkabidhi stahili yake
Yaah coz anacheka,kwa kuwashangaa Ukuu wa Mungu uliomuweka hai.
wangapi risasi 1 tu inawagharimu maisha yao?
lissu ni nani mpaka apone so muache achekee Ukuu wa Mungu
kama inakuuma kajitundike

#My God Iz Awesome [emoji123]

In God we Trust
 
Back
Top Bottom