Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Umevrugwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamevurugwa tena vibaya sana hasa baada ya kumuona kiboko ya wazembe yupo fiti kama hivi
FB_IMG_1547563495823.jpeg


In God we Trust
 
Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Kipindi kitarushwa muda gani na TV ipi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kumung'unya maneno huyu mtu ni jasiri. Tena jasiri kweli kweli kuliko huyu anaeogopa hata maandamano au mijadala Ila ni bingwa wa kupiga mikwala akiwa kwenye TV.
Hivi ni mtanzania gn mwingine angepigwa lisasi mchana kweupe hata 2 tu angesimama tena jukwaani au kurudi tz?
 
Back
Top Bottom