Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Umbumbumbu unakutesa, Hard talk ina global audience, sema Stephen Sucker hawezi kumuhoji mtu anayesema kingereza bomu eti "interprenyuta" mfyuu!

Hardtalk myfoot!
 
Ashukuriwe Mungu, Jemedari amenawiri na amerudi kama zamani. Wauaji,na watesaji kamwe hawatabaki salama maisha yao yote. U nani wewe mpk udhubutu kutoa uhai wa binadam mwenzio ambae Mungu hajapanga bado??? Ulaaniwe milele na damu za wote uliowaua na kuwatesa na ziwe mikonon mwako daima zikuandame popote utakapoenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
Wafanye jitihada za kuongeza wabunge na madiwani wakati kila siku mnahangaika kuwaua na kuwafunga?

Nchi ipo katika laana kwa sababu shetani na mawakala wake wanahangaika kutekeleza mapenzi ya shetani. Hakuna kiongozi mwenye roho ya Mungu anayeua watu wake, kuteka au kuwapoteza watu. Maombi yetu kwa Mungu yawe ni kuondokana na roho ya shetani kwa watawala wetu.

Mungu tunusuru

In God we Trust
 
Back
Top Bottom