GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
hoja ya kujadili upya muungano ni nzuri,maana ni kweli kuna vugu vugu la chini chini,ambalo tukilifumbia macho litaleta madhara kwa muungano wetu,ni vuzuri tujadili,ili kuuboresha zaidi.
Mwalimu nyerere alikuwa na nia nzuri kuhusu muungano wetu hilo halipingiki,ila lazima tuelewe pia,kwa wakati ule inawezekana pia hawa kuweka into concideration kwamba population za both,tanganyika na zanzibar zitakuwa zikiongezeka.
Tunawapongeza sana nyerere na karume kwa jitihada zao za dhati kabisa za kuleta muungano,ila tujaribu kutafutia ufumbuzi ufa zinazojitokeza kwa hivi sasa,na haya maswala hayapaswi kutatuliwa kisiasa.
Mjadala wa uvumbuzi utumike kisheria na kitaifa na kimataifa sio kukaa ccm kwa ccm kujadili kero za muungano, wananchi ndio maamuzi ya mwisho tumechoka na tume za kutatua kero na kutafuna pesa za umma.
Mkata ndio suluhisho wa muungano, au kila mtu achukue mbao zake tukutane EAC muungano ule sio mbaya.