Unaweza kuwa sawa kutokana na umri wako hiyo hotuba ukaipa hiyo hadhi.
Kulikoni leo umeshindwa kumtetea Nyerere kisa aliyesema hayo maneno ni mtu unampenda Tundu Lissu.
Punguza unafiki siku ingine watu wakieleza mapungufu ya Nyerere usitokwe na povu.
Tusubiri, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Kumbuka juzi, Sitta ingawa yupo busy bungeni lakini kaitwa na Pengo na kaenda mbio-mbio, jiuliize kunani?
Hivi tafsiri ya udini ni nini uwa napata tabu kufahamu ebu tufahamishe.
Wewe punguani kweli tafsiri yako ya udini mtu akiwa Muislam mambo ya Msikiti yameingiaje hapa kama siyo unafiki, kwako uwa hakuna Mkirsto mdini wadini wote ni Waislam.Punguza udini utaeleweka. Lissu hajachambua mambo kidini bali kisiasa na ameeleweka vizuri sana. Sasa wewe na makuwadi wenzio mnapoanza kutuletea habari za Kariakoo na misikitini hamueleweki. Mnafiki mkubwa wewe.
Tundu Lissu asubiri adhabu popote na wakati wowote sio leo wala kesho! Amuombe radhi Mwalimu Nyerere kupitia familia yake na awaombe radhi Watanzania
Hotuba bora ya karne ile alitoa Dr.Slaa ya kuruhusu gongo Chadema wakitwaa dola.
Kwa mtazamo wako, makosa ya Muungano kama Mh. Tundu Lissu alivyoyaanisha unayaweka wapi?.Hata Nyerere alishakiri kuna mambo ya kijinga serikali yake iliyafanya na akasema tuache ya kijinga tuchukue mazuri!
Mkuu.
Mbona ya Shivji , Mwakyembe na ya ma Proff. Hukuyasema.
Wale wale ambao hamsomi bible nzima, mnarukia viji mistari tu ili kujenga hoja zenu mfu.
By the way Lissu kaongea uongo kwani ?
Mkataba wa Muungano ni lini Serikali ya Kuanzia Nyerere mpaka JK ulipelekwa UN ?
Kuanzia janq binafsi nimeanza kumtizama the late Julius kwa jicho la tatu.
No wonder all the Problems we have now source yake ni yeye.
Je, aliwahi kuwaomba msamaha Watanzania kwa mambo ya kijinga aliyokiri kuwafanyia?Nyerere mwenyewe alishasema alifanya mambo mazuri na ya kijinga pia! Kama hujui kaa kimya mdomo kunuka wewe
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Katika mapambano ya kudai haki, utu na usawa wachache watakubali ku risk maisha yao kwa sababu ya kutetea walio wengi, historia inazungumza hivyo na matukio mengi ya kihistoria yanadhihilisha hilo. Mimi nawewe tunapaswa tuwe sehemu ya wachache katika kutetea maslahi ya walio wengi. Vitisho havina nafasi tena katika nyakati hizi tulizonazo.
Nilipomuuliza kaka yangu Abou ambaye alikuwa Afrika ya kusini kwa takribani miaka sita kabla ya kurejea nchini mwaka 2012, yeye alienda Afrika ya kusini kwa kuzamia (Njia za panya) lakini mwaka juzi alirejea. Nilimuuliza kulikoni brother mbona umerejea ghafla ghafla kutoka Afrika ya kusini, akaniambia kuwa; Maeneo ambayo alikuwa akiishi huko Afrika ya kusini yalikuwa siyo salama hata kidogo, wazawa (Wa Afrika kusini) walikuwa wakiwawinda wageni kwa madai ya kuwa walikuwa wakiwanyima fursa mbalimbali nchini kwao. Wale wageni wa kutoka Tanzania walikuwa wakiambiwa kuwa kwasababu nchi yao wanajivunia kuwa ni ya amani basi waende hukohuko kwenye amani kwani wao waafrika ya kusini waliipigania nchi yao na hata kumwaga damu ili kutetea usawa wa watu wao hasa dhidi ya ubaguzi wa rangi na utu. Hivyo ni heri wanaojiita watu wakisiwa cha amani waende kwao. Brother Abou aliniambia kunabaadhi ya wenzake walipigwa risasi kitu ambacho kilimlazimu yeye akimbie kurudi nyumbani.
Kutokana na hilo likanikumbusha kitu fulani uhuru, utu na kujitambua hupiganiwa tena na watu wachache bila woga na wakati mwingine kuamua ku risk maisha yao. Mimi na wewe tunapaswa kuwa sehemu ya hao watu wachache bila woga tunaweza kufikia malengo tunayoyapigania.
Si mimi.tundu amewavunjia heshima sana watanzania
Wewe sasa ushahamia kwenye udini, sisi huko hatupo tunajadili muungano sie.
Mimi huwa sina hoja zenye mashiko bali huwa nina hoja za majadiliano katika kufikia makubaliano au kukubali kutokubaliana.Mtoa mada acha uongo na kupindisha maneno hakumsema nyerere.kuwa ndiye aliishi kwa uwongo! Alichosema ni kuwa uongoz wa sasa unaish kwa uongo na hawataki ukwel!! Kama ulikuwa unaangalia tv unakunywa viroba ndo athari zake.usijitafutie umaarufu upendwe kwa sifa za kijinga.tv kila mtu aliangalia kwenda zako ndo maana una mdomo mweus kumbe mfitin mkubwa.lete hoja zenye mashiko.pole sana kwa ubongo wa naz
Mimi huwa nadhani wanasheria ni watu wazuri sana katika uwanja wa siasa hasa ukiangalia kwa kutumia darubini katika siasa za nchi za magharibi utakuta kuwa, viongozi wengi wa nchi hizo ni wanasheria na wamefanikiwa/wanafanikiwa katika siasa zao.
Kama hoja yako ni kweli, kwa nini inakuwa tofauti kwa Mh. Tundu Lissu?.