Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Huyu mganga njaa anaropoka kuwafurahisha MABWANA, lakini akumbuke kuna leo na kesho..........atapata hizo helkopta na nini.......lakini mwisho wake ni nini ?

Hapo tu alipo amebakiza muda mfupi sana ataanza kubeba makopo......sijui ni wangapi wanadhani jamaa yupo timamu upstairs.
 
JULIUS NYERERE-Humanist,Politician ,and Thinker.-POLE SANA TUNDU LISU,HUNA HADHI YA KUMKEJELI BABA WA TAIFA,JIKITE KATIKA KUJENGA HOJA ZAKO TU,UTAELEWEKA.

Tundu Lissu ana tumiwa na Wazanzibar!
Nataka niwambie tu wana CCM hii ni vita sasa! Serikali mbili ni lazima,ikishindikana tuvunje muungano na ikiwezekana tuchukue hatua za mbali zaidi!
 
Mkuu.
Mbona ya Shivji , Mwakyembe na ya ma Proff. Hukuyasema.
Wale wale ambao hamsomi bible nzima, mnarukia viji mistari tu ili kujenga hoja zenu mfu.
By the way Lissu kaongea uongo kwani ?
Mkataba wa Muungano ni lini Serikali ya Kuanzia Nyerere mpaka JK ulipelekwa UN ?
Kuanzia janq binafsi nimeanza kumtizama the late Julius kwa jicho la tatu.
No wonder all the Problems we have now source yake ni yeye.
Mkuu, kama umeziona hoja za Mh. Lissu ni valid, kwa nini sasa unaanza kunitupia lawama wakati ninawakilisha kile amekisema?. Makosa yangu yako wapi hapa zaidi ya mimi kuhoji umaana wa bunge kujikita sana kwenye suala la karatasi za muungano.

Kama huu Muungano siyo halali basi hakuna hata umaana wa kuichambua Rasimu ya. Katiba kwa sababu itakuwa imejengeka kwenye msingi wa uwongo kulingana na hadidu za rejea. Kwa maana nyingine, hakuna Muungano!.

Lissu alikuwa ana nukuu machapisho mbali mbali ambayo katika msingi wa hoja yanamfanya Mwl. Nyerere kuonekana politically craft.
 
Hakuna lolote linalo wapa msukumo wa kumjadili t.lissu bali ni upeo finyu wa kutafakari mambo.
Mimi mwenyewe ni mfuasi na mkereketwa wa siasa za j.k nyerere lakini kwa uchambuzi makini wa jana inanipa muono fulani kuwa uongozi unapande mbili.
1.mema kwa umma kwa manufaa ya wengi.
2.ubaya kwa wachache ili kujenga taifa lililo imara.
Hivi ndivyo mwalimu nyerere alifanya na kwa kipindi hiki cha kutoka kwenye makucha ya wakoloni wa ulaya na arabuni ili kuwa ni sahihi.
Wakati kwa kipindi hichi cha kupambana na mkoloni mweusi c.c.yem pia tundu lissu yuko sahihi kurejea mapungufu yaliyojitokeza ili kuweka mambo sawa kwa watanzania,
na itusaidie kupata katiba bora itakayoweza kudumu zaidi ya miaka 100.
Viva tundu lissu.
 
Watanzania kama kweli tunataka kutoka hapa tulipo,tujifunze mazoea ya kueleza,kusema na kusikiliza ukweli!Tuache tabia ya kuuita ukweli eti ni MATUSI.Mh.Lissu ameeleza kile kilichofanywa na wale tulio waamini na amewapa majina au sifa stahili kwa kile walichokisema kwa mdomo au maandishi.Inastajabisha watu kwa juhudi kubwa wanataka kupotosha eti Mh.Lissu amewatusi waheshimiwa hao!Ningefarijika sana hao wanao msakama Lissu wangekuja na ushahidi na kumkosoa kuwa asemacho ni uongo.Watu wa aina hii wanao itaukweli ni matusi ni haohao wanatuharibia lugha yetu adhimu Kiswahili,hata watu wasite kukitumia katika elimu ya juu.Kwa kuamini kiswahili kina pindua mada!
 
Mkuu.
Mbona ya Shivji , Mwakyembe na ya ma Proff. Hukuyasema.
Wale wale ambao hamsomi bible nzima, mnarukia viji mistari tu ili kujenga hoja zenu mfu.
By the way Lissu kaongea uongo kwani ?
Mkataba wa Muungano ni lini Serikali ya Kuanzia Nyerere mpaka JK ulipelekwa UN ?
Kuanzia janq binafsi nimeanza kumtizama the late Julius kwa jicho la tatu.
No wonder all the Problems we have now source yake ni yeye.

Ntazitafuta post zako za kumponda FaizaFoxy kila alipokuwa akiyasema hayo aliyoyasema Lissu jana na mengine. Nyerere niliwahi kusema humhumu JF ni ndumila kuwili.

Nyerere kuhusu Muungano wa Zanzibar alifata maelekezo ya Kanisa. Ngoja na Tundu Lissu aitwe na Kanisa muone kama hajabadilika, mtakuja kunambia humuhumu JF.

Kama leo mnavyodiriki kukubali maneno ya FaizaFoxy kwa kuwa tu yametoka kinywani mwa Tundu, basi iko siku mtayakubali na haya ya shinikizo la Kanisa. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu
 
Mkuu, kama umezionamhoja za Mh. Lissu ni valid, kwa nini sasa unaanza kunitupia lawama wakati ninawakilisha kile amekisema?. Makosa yangu yako wapi hapa zaidi ya mimi kuhoji umaana wa bunge kujikita sana kwenye suala la karatasi za muungano.

Kama huu Muungano siyo halali basi hakuna hata umaana wa kuichambua Rasimu ya. Katiba kwa sababu itakuwa imejengeka kwenye msingi wa uwongo kulingana na hadidu za rejea. Kwa maana nyingine, hakuna Muungano!.

Mkuu.
Bila hoja za wachache na wapinzani haya yote tungeyajuaje ?
Acha mambo yavuliwe nguo tuzidi kuyaona na kufanya maamuzi sahihi
 
Umeona eeh, FaizaFoxy kila akimponda Nyerere huwa anashambuliwa sana humu JF. Leo FaizaFoxy anauliza, kiko wapi?

Sasa ndio watamuelewa FaizaFoxy kuwa hakisii.

Nyerere alikuwa binadamu na hata yeye binafsi aliwahi kukiri alifanya makosa katika utawala wake. Tatizo lako wewe mwanamke ni kumtazama Nyerere kidini badala ya kisiasa na kujenga hoja za staha badala ya matusi. Lissu kamtazama Nyerere kisiasa na ka ainisha baadhi ya kasoro za utawala wake hasa suala la muungano. Nakubaliana na Lissu ila sikubaliani na matusi yako dhidi ya Nyerere (au mtu mwingine yeyote) pamoja na udini wako.
 
Dunia nzima masuala ya muungano ubabe hutumika...hata marekani hawaruhusu mtu
Ahoji muungano wao sababu ubabe ulituzmika
Ukisema dunia nzima utakuwa haujaitendea haki hoja yako.

Nadhani kwa kiwango kikubwa, historia inaonyesha muungano wa nchi mbali mbali zamani ulikuwa mara nyingi wa kisiasa, na siasa mara nyingi zilikuwa zinaendana na nguvu na ubabe.

Kwa sasa imebadilika kwa vile nchi nyingi zinaungana kwa sababu ya kiuchumi ambapo maridhiano yanakuwa ndiyo kiunganishi cha muungano.
 
Huyu Lissu ni mropokaji, bila Mwalimu Nyerere ajiulize leoangekuwa wapina anafanya nini? Hata afanye nini hawezi kubadili historia ya Mwalimu Nyerere katika Taifa na Dunia kwa ujumla.
Angekuwa wapi?kwan Nyerere mwenyewe alitoka wap?huko alipotokea ndipo na wengine akiwepo Lissu wangetokea.Nyerere ni binadamu tu aliyekuwa na mapungufu,weka hilo akilini mwako.
 
adui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere

Nimekumbuka hadithi moja, mfalme , sijui ilikuwaje? Akawa anatembea uchi na kila mtu akawa anamwambia nguo yake ni nzuri na anapendeza. Mpaka mtoto mdogo aliporopoka na kumuuliza baba yake aliyekuwa amembeba, kwa nini mfalme anatembea uchi?

waliokuwa karibu wakatahayari! Hizi hadithi kumbe ni Reality na zinafundisha!
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu

Kilaza kweli wewe,kwani Nyerere alifika ikulu kwa kazi ya nani?fikra finyu kweli hizi.Hivi unadhani Nyerere asingezaliwa kusingekuwa na Tanganyika huru,una mfano wa nchi yoyote ya Afrika inayokaliwa na wakoloni wa Ulaya?jinga kweli wewe.
 
Ng'wanampalala acha kujenga hoja mfu na kutaka public sympathy, weledi wa Tundu Lissu haufananishwi na wasomi wowote walio ndani ya ccm kwani ni mtu mwenye kwenda na fact na huwa na defending points, rejea hotuba ya mwalimu nyerere kuwa yeye sio malaika na kkuna sehemu yawezekana alikosea aliomba asamehewe, na kushauri watu wafate mazuri aliyoyafanya na sio mabaya aliyoyafanya, Sasa kuna wavivu wa kufikiri mnaleta tafsiri za kupotosha, h
Mimi ninachosema ni kile ambacho Mh. Tundu Lissu amekisema. Sasa kama hoja yangu ni mfu basi hata kile ambacho Mh. Tundu Lissu amekisema kitakuwa ni mfu kitu ambacho sikiamini.

Tundu Lissu hakusema Mwl. Nyerere siyo maraika bali amesema Mwl. Nyerere alikuwa anafanya kinyume ya kile alichokuwa anakisema. Mh. Tundu Lissu amenukuu maandiko na maneno ya Mwl. Nyerere na akayajengea hoja yenye hitimisho la kuwa Mwl. Nyerere ni muongo na mdanganyifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom