Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,287
- 222,344
Tuliwaonya mapema kwamba huyo mpanda punda wenu hana muda mrefu atakimbia majukwaaLissu ni bwege tu
Mtu anarandaranda ulaya kusaka mabwana nae ni wa kumsikiliza!
Tuliwaonya mapema kwamba huyo mpanda punda wenu hana muda mrefu atakimbia majukwaaLissu ni bwege tu
Mtu anarandaranda ulaya kusaka mabwana nae ni wa kumsikiliza!
Arudishe kwanza michango ya watu.Fisadi Lissu
🤣🤣🤣Tuliwaonya mapema kwamba huyo mpanda punda wenu hana muda mrefu atakimbia majukwaa
Hujui kitu
Makonda aliangushwa Kigamboni na Ndugulile , Mbele ya Baba yake Magufuli , huyu ndio umlinganishe na Lissu ?
Mwaka 2025 nitagombea ubunge wa Kyela kupitia Chauma. Nakushauri na wewe uchukue fomu ya kugombea kupitia Chadema tupambane nikuangushe asubuhi tu kabla hata kura hazijahesabiwa.Makonda aliangushwa Kigamboni na Ndugulile , Mbele ya Baba yake Magufuli , huyu ndio umlinganishe na Lissu ?
Sawa mkuu.Hujui kitu
Ukigombea kupitia ccm ujipange kwa uchawiMwaka 2025 nitagombea ubunge wa Kyela kupitia Chauma. Nakushauri na wewe uchukue fomu ya kugombea kupitia Chadema tupambane nikuangushe asubuhi tu kabla hata kura hazijahesabiwa.
Tena na chama chake , cheo alichopewa ni kama mtego fulani hiviMakonda anaweza uwawa
Muonee huruma tuu, watu wengine kuwa ni inborn character hawasaidiki.Wewe watu wanakufokoa kwa beer tu
waWewe watu wanakufokoa kwa beer tu
anagawa ulaya amekubuhuTuliwaonya mapema kwamba huyo mpanda punda wenu hana muda mrefu atakimbia majukwaa
Muonee huruma tuu, watu wengine kuwa ni inborn character hawasaidiki.
Lini alikuwa na akili? Etwege aka Elitwege hajawahi kumiliki hata dot moja ya akili.Ama kweli, aheri unyimwe vyote, upate akili. Oneni huyu Etwege asivyojitambua wala hata kuelewa kinachojadiliwa!!
Uko sahihi. Mla Nyama ya Binadamu haachi asili."kipofu haachi gongo lake", kama ni mhalifu ataufanya tena tu.
Ajuza milioni 4 haijakata?"kipofu haachi gongo lake", kama ni mhalifu ataufanya tena tu.
Waulize Marekani wana jibu ndio maana walimpiga pin kukanyaga Ardhi yao.toa ushahidi na upeleke polisi vinginevyo ni majungu na wivu wa kike
AaahaasHivi Gil unapata muda kweli wa kumpa unyumba mume wako
CCM imejaa wahalifu tupu, Makonda ni msafi kuna wachafu zaidi yakeSamia amejishusha hadhi kwa mahaba yake kwa Makonda mhalifu. Niambie rafiki yako nitakuombia ulivyo
Ni kweli kabisa .. Ila pia hajasalimika bado.. Maisha bado yapoAmeongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
View attachment 2820200
Hawezi kuachaTayari amemteka kijana mmoja huko Mwanza