Tundu Lisu: Miaka 60 ya Muungano wa Kero Inatosha sasa ni Wakati wa Zanzibar kuwa na Mamlaka kamili kwenye Shirikisho la Serikali Tatu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,604
150,158
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha

Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya Shirikisho la Serikali 3

Tundu Antipas Lisu alikuwa akihutubia Wananchi huko Manyara

Sabato Njema 😀

My take: Tundu Lisu kaongea kama yuko ACT Wazalendo
 
Mh LUkuvu kama hayupo vile. kesha tena kisiasa. aliimezea mate Zanzobar aimalize
 
Jamaa ni kibaraka haswa, katoka alikotoka kaja kuongea upupu
Jamaa ni kibaraka haswa, katoka alikotoka kaja kuongea upupu
ndio Tatizo la watu wapumbavu. Yaani baada ujibu abachouliza na hoja zake unaanza kusemq kaongea upupu! Mimi nilitegemea kuona unaanza na hoja moja baada ya nyingine kwa kumjibu kumbe na wewe ndio wale wale?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha

Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya Shirikisho la Serikali 3

Tundu Antipas Lisu alikuwa akihutubia Wananchi huko Manyara

Sabato Njema 😀

My take; Tundu Lisu kaongea kama yuko ACT Wazalendo
Haki ya Wazanzibari haiko mikononi mwa ACT Wazalendo.
 
ndio Tatizo la watu wapumbavu. Yaani baada ujibu abachouliza na hoja zake unaanza kusemq kaongea upupu! Mimi nilitegemea kuona unaanza na hoja moja baada ya nyingine kwa kumjibu kumbe na wewe ndio wale wale?
Yeah, ni walewale tu kama ulivyo wewe
 
Tanganyika na Zanzibar ziliungana zikazaa Tanzania na Zanzibar.

Muungano wa hovyo na waajabu huu
Hii kauli hata ukimwambia Mwanao lazma ashangae atakuuliza sasa Baba mbona Tanganyika Haipo ila Zanzibar ipo 😂😂

Unamwambia ziliungana Tanganyika na zanzibar ikapatikana Tanzania na zanzibar 🤣🤣
 
Tundu Lisu yupo sahihi 100% , ila baadhi ya wafuasi wa Chadema hawalitaki hilo.
 
Back
Top Bottom