Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Mshana unaelewa kuwa mkiwa kwenye chombo cha usafiri baharini mkiwa mnakusudia kufika upande wa pili mkiwa salama buher wa afya, then katikati ya bahari yenye kina kirefu na mkondo hatari, mmoja wenu anaanza kutoboa hicho chombo chenu na mnaona dalili za wazi za mtu huyu kufanikiwa kukitoboa chombo hicho kilicho salama yenu. Pamoja na kumshauri madhara ya kukitoboa hicho chombo lakin yeye akaendelea kufanya hivo.

Mshana Jr unaelewa huyo mtu inampasa kufanywa nn ili nyie mliowengi mpone. Unajua sawasawa nini kinampasa kimpate. Mkiendelea kucheka nae mnajua kitakachowapa nyinyi nyote,

Mshana Jr hebu sema kidogo watu wa aina hiyo huwa wanafanyweje kwenye nchi zingine za magharibi. Tuache siasa hizi za kibongo bongo, tuseme ukweli.

Hii nchi ikipata shida kama huyo mtu wenu anavopiga debe hata akiwa hospitali, siyo yeye atakae teseka, ni sisi na watoto wetu. Yeye atakuwa ameshatoroshewa huko ughaibuni.

Ukitaka kuamin mwambien aweke wazi ni nan wamegharamia matibabu yake. Aseme ni fulan na fulan ili kila mtanzania amjue yeye ni mtu wa aina gan.
Hata vitabu vya dini vimetaja adhabu ambayo mtu hupewa anapojaribu kuiharibu jamii anamoishi. Nabii isah mwenyewe kwa kinywa chake. Nabii isah anakubalika na wakristo na waislam pia. Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kutamka kuwa yampasa mtu mmoja kufa kwa ajili ya wengi. Huwezi kuacha waliowengi kuangamia kwa ajili ya mtu mmoja.

Tuache kudanganyana. Nyeupe iitwe nyeupe
Ukitaka kujua eneo zima la kijiji simama juu ya mlima utaona vizuri eneo lote na mipaka yake... Na hapa ndio unaweza kutoa takwimu za kweli... Lakini ukisimama sehemu ya tambarare na kujaribu kujua ukubwa wa kijiji na eneo lake utapotoka na takwimu zako zitakuwa sio sahihi...
Nakushauri panda juu kilimani uweze kukiona kijiji chako vizuri...
 
Nimefadhaika sana Mshana Jr. kwa tafsiri yako ya alichokisema Lissu. Tukio lililompata Lissu ni la kinyama na kipekee kutokea Tanzania. Mbunge maarufu wa CDM kutaka kuuawa ni kitu cha kusikitisha sana.

Lakini siku zote ilikuwa ni watu wengine waliokuwa na uhakika (sio kushutumu) kuwa serikali na vyombo vya dola vimehusika. Sasa Lissu, kwa kauli yake mwenyewe, ametamka kuwa ana uhakika serikali ndio iliyotaka kumuua

Hii sasa inabadilisha mazungumzo. Sasa tuijadili hii conspiracy theory yake na pia tutoe conspiracy theories mbadala.

1. SERIKALI INAHUSIKA
Sababu kubwa inayotolewa ni kuwa Lissu amekuwa mwiba kwenye serikali ya awamu ya 5. Pia inasemekana alikuwa anafuatiliwa na SUV nyeupe ambazo zinahusishwa na Usalama wa Taifa.

Mimi hili sikubaliani nalo kwa sababu moja ndogo sana. Waliomshambulia Lissu ni limbukeni (armatures). Professional assassins wangeweza kumuua Lissu kwa risasi moja tu. Hawakuhitaji AK47 kummiminia risasi zaidi ya 38. Kwa hiyo hawa sio wauaji wa Serikali.

Sasa nani mwengine, nje ya serikali, alietaka Lissu afe na kuamua kukodi vijambazi uchwara kwenda kumuua, lakini ionekane kana kwamba ni Serikali?

Suala la Lissu kufuatiliwa na SUV nyeupe ilikuwa mbinu ya kuwaandaa wananchi kuamini kuwa serikali ndio iliyomuua Lissu.

CHADEMA KUHUSIKA.
Lazima ikumbukwe kuwa umaarufu wa Lissu ndani na nje ya CDM ulipaa sana hadi kumfunika Mwenyekiti, Katibu Mkuu na hata mgombea Urais wa CDM 2015.

Hawa watu walikuwa hawasikiki kabisa wakati Lissu anaunguruma. Wanachama wengi walikuwa wanasema wazi wangetaka Lissu awe Mwenyekiti wa Chama na wengi pia walitaka Lissu agombee urais ifikapo 2020.

Ni katika mtizamo huu ndipo ninapopata conspiracy theories zangu mbili zifuatazo.

2. KUNDI LINALOMTAKA MBOWE ABAKI KUWA MWENYEKITI LILIHUSUKA
Tukubali, kuna kundi kubwa sana ndani ya CDM ambalo bado wana imani na Mwenyekiti wa sasa Mh. Mbowe. Waliona Lissu anavyokuja vibaya na kuhatarisha kiti cha Mwenyekiti. Waliunda mkakati wa kuiondoa kadhia hiyo, lakini ionekane kana kwamba serikali ilihusika.

3. KUNDI LINALOMTAKA LOWASSA AGOMBEE TENA URAIS UFIKAPO 2020
Kadhalika, kuna kundi kubwa ndani na nje ya CDM ambalo bado wana imani na Lowassa na wangependa apate fursa nyingine kugombea kiti cha Urais ifikapo 2020 na 2025. Lissu alikuwa anavuruga order iliyopangwa kwa kutoa ushawishi wa kufanywa yeye awe mgombea Urais.

Pengine kundi hili na lile la Mbowe walishirikiana au ni moja katika kutekeleza azma yao ya kuindoa kadhia, Lissu.

TAMATI
Tuwe waangalifu sana tunapotoa conspiracy theories. Hakuna mwenye ushahidi kama Magufuli na Makonda (Theory 1) walihusika. Pia mimi sina hata chembe ya ushahidi kama Mbowe au watu wake (Theory 2) au Lowassa na watu wake (Theory 3) walihusika na unyama huu.

Kwahiyo it is not fair kwao kuanza kuzizungumzia hizi conspiracy theories kana kwamba ni kweli. Tunawapaka matope bila ya ushahidi wowote. They deserve better.

Kwa upande wangu ninawaomba wasomaji wapuuzie Theories 2 na 3. Ni tamthilia tu toka kichwani kwangu. Sina ushahidi wowote.

Bali nashangaa kwa watu niliowaheshimu sana humu JF kama wewe mshana jr kuielezea Theory 1 as if ndio ukweli wenyewe.

Very disappointed.
Mkuu sina shida na hisia zako lakini tuambie sababu za kukataliwa kwa wachunguzi huru kutoka nje. Pili tuambie siku ya tukio cctv camera pale area D Dodoma hazikurekodi tukio lile? Tatu Walinzi wa getini walikuwa wapi? Mbona hatujawahi kujibiwa haya maswali?
 
Lissu ni jabari kwenye siasa weka mbali kabisa na yule mvaa hirizi, niliangalia jana alivyokuwa anaipinduapindua lugha ya malkia nikajiuliza vipi angekuwa kipara ingekuwaje?
The guy is smart......hata responses kwenye kipindi cha BBC focus on Africa jamaa can twinkle & shine.....nawakika ile luga magamba imewaruka kichwani tu......can communicate with substance
 
Huu ni wakati wa kulala mkuu kalale ili ukiamka utakuwa umepata mawazo mapya unajimu sio mzuri
 
Mkuu sina shida na hisia zako lakini tuambie sababu za kukataliwa kwa wachunguzi huru kutoka nje. Pili tuambie siku ya tukio cctv camera pale area D Dodoma hazikurekodi tukio lile? Tatu Walinzi wa getini walikuwa wapi? Mbona hatujawahi kujibiwa haya maswali?
Kuhuzu kuleta vyombo vya kijasusi kutoka Uingereza au Marekani kuja kukichunguza chombo chetu cha ujasusi ni upuuzi wa hali ya juu sana.

CDM wanaamini serikali kupitia Usalama wa Taifa na polisi walihusika na shambulizi la Lissu. Halafu unawaleta CIA kuja kuchunguza hivi vyombo vyetu? Hivi unajua madhara yake?

Hakuna serikali yoyote duniani itakayoruhusu majasusi wa nje kuja kuwachunguza majasusi wao.

Kuhusu kamera na walinzi, mimi sina jibu. Lakini hii haina maana polisi hawana jibu. Sio kila kitu wanachokijua polisi katika upelelezi wao wakianike kwetu sote tukijue.
 
Sasa hivyo viashiria vikanuswe kwa hoja Watanzania tufahamu ukweli ni upi? Kama ni polisi wetu wachunguze watupe ukweli wasituache na propaganda za wanasiasa.
 
Nimefadhaika sana Mshana Jr. kwa tafsiri yako ya alichokisema Lissu. Tukio lililompata Lissu ni la kinyama na kipekee kutokea Tanzania. Mbunge maarufu wa CDM kutaka kuuawa ni kitu cha kusikitisha sana.

Lakini siku zote ilikuwa ni watu wengine waliokuwa na uhakika (sio kushutumu) kuwa serikali na vyombo vya dola vimehusika. Sasa Lissu, kwa kauli yake mwenyewe, ametamka kuwa ana uhakika serikali ndio iliyotaka kumuua

Hii sasa inabadilisha mazungumzo. Sasa tuijadili hii conspiracy theory yake na pia tutoe conspiracy theories mbadala.

1. SERIKALI INAHUSIKA
Sababu kubwa inayotolewa ni kuwa Lissu amekuwa mwiba kwenye serikali ya awamu ya 5. Pia inasemekana alikuwa anafuatiliwa na SUV nyeupe ambazo zinahusishwa na Usalama wa Taifa.

Mimi hili sikubaliani nalo kwa sababu moja ndogo sana. Waliomshambulia Lissu ni limbukeni (armatures). Professional assassins wangeweza kumuua Lissu kwa risasi moja tu. Hawakuhitaji AK47 kummiminia risasi zaidi ya 38. Kwa hiyo hawa sio wauaji wa Serikali.

Sasa nani mwengine, nje ya serikali, alietaka Lissu afe na kuamua kukodi vijambazi uchwara kwenda kumuua, lakini ionekane kana kwamba ni Serikali?

Suala la Lissu kufuatiliwa na SUV nyeupe ilikuwa mbinu ya kuwaandaa wananchi kuamini kuwa serikali ndio iliyomuua Lissu.

CHADEMA KUHUSIKA.
Lazima ikumbukwe kuwa umaarufu wa Lissu ndani na nje ya CDM ulipaa sana hadi kumfunika Mwenyekiti, Katibu Mkuu na hata mgombea Urais wa CDM 2015.

Hawa watu walikuwa hawasikiki kabisa wakati Lissu anaunguruma. Wanachama wengi walikuwa wanasema wazi wangetaka Lissu awe Mwenyekiti wa Chama na wengi pia walitaka Lissu agombee urais ifikapo 2020.

Ni katika mtizamo huu ndipo ninapopata conspiracy theories zangu mbili zifuatazo.

2. KUNDI LINALOMTAKA MBOWE ABAKI KUWA MWENYEKITI LILIHUSUKA
Tukubali, kuna kundi kubwa sana ndani ya CDM ambalo bado wana imani na Mwenyekiti wa sasa Mh. Mbowe. Waliona Lissu anavyokuja vibaya na kuhatarisha kiti cha Mwenyekiti. Waliunda mkakati wa kuiondoa kadhia hiyo, lakini ionekane kana kwamba serikali ilihusika.

3. KUNDI LINALOMTAKA LOWASSA AGOMBEE TENA URAIS UFIKAPO 2020
Kadhalika, kuna kundi kubwa ndani na nje ya CDM ambalo bado wana imani na Lowassa na wangependa apate fursa nyingine kugombea kiti cha Urais ifikapo 2020 na 2025. Lissu alikuwa anavuruga order iliyopangwa kwa kutoa ushawishi wa kufanywa yeye awe mgombea Urais.

Pengine kundi hili na lile la Mbowe walishirikiana au ni moja katika kutekeleza azma yao ya kuindoa kadhia, Lissu.

TAMATI
Tuwe waangalifu sana tunapotoa conspiracy theories. Hakuna mwenye ushahidi kama Magufuli na Makonda (Theory 1) walihusika. Pia mimi sina hata chembe ya ushahidi kama Mbowe au watu wake (Theory 2) au Lowassa na watu wake (Theory 3) walihusika na unyama huu.

Kwahiyo it is not fair kwao kuanza kuzizungumzia hizi conspiracy theories kana kwamba ni kweli. Tunawapaka matope bila ya ushahidi wowote. They deserve better.

Kwa upande wangu ninawaomba wasomaji wapuuzie Theories 2 na 3. Ni tamthilia tu toka kichwani kwangu. Sina ushahidi wowote.

Bali nashangaa kwa watu niliowaheshimu sana humu JF kama wewe mshana jr kuielezea Theory 1 as if ndio ukweli wenyewe.

Very disappointed.
Kifyatu to me am not dissapointed rather I am surprised to what you wrote... Very very surprised... Umejaribu kuhamisha hoja kwa kuingiza visivyomo kabisa halafu kwa mshangao zaidi kuna watu umewataja kabisa kwa majina? Sijui kama kuna kitu kama hicho kwenye post yangu
Kingine cha kushangaza ni hizo dhana zako mbili kuhusu CHADEMA! Thanks God umesema ni dhana zako binafsi japo sio kweli kwakuwa zimekuwa zikitumiwa sana kujaribu kukisambaratisha chama.....

No more comment to what you wrote Kifyatu... As you said I have dissapointed you...! Can't argue... But to me you have surprised me...!!!
 
Mjinga wewe, umewahi kufika mbinguni? Mbinguni wanakula mlo mmoja? Mbinguni wanabaguliwa, mbinguni kuna ukabila? Mpuuzi sana wewe, eti kuna nchi dhalimu, si uzitaje tuone, acha ghiliba zako. Hapa ni jehanamu

Hiyo "Mbinguni" nimeitumia kifasihi. Walionielewa wamenielewa shida umezoea matusi na hutaki watu waseme kweli. Tanzania bado tuko vizuri tu kuliko nchi nyingi sana hapa duniani. Si kazi yangu nikutajie.
 
Lissu anawapaga intarahamwe za uso(ubunge,mahakamani),
IMG-20170313-WA0066.jpg

Katika mahali aliwapa ya chembe wakachanganyikiwa ni hapa
downloadfile-39.jpeg
downloadfile-39.jpeg
downloadfile-39.jpeg
downloadfile-39.jpeg
 
Kifyatu to me am not dissapointed rather I am surprised to what you wrote... Very very surprised... Umejaribu kuhamisha hoja kwa kuingiza visivyomo kabisa halafu kwa mshangao zaidi kuna watu umewataja kabisa kwa majina? Sijui kama kuna kitu kama hicho kwenye post yangu
Kingine cha kushangaza ni hizo dhana zako mbili kuhusu CHADEMA! Thanks God umesema ni dhana zako binafsi japo sio kweli kwakuwa zimekuwa zikitumiwa sana kujaribu kukisambaratisha chama.....

No more comment to what you wrote Kifyatu... As you said I have dissapointed you...! Can't argue... But to me you have surprised me...!!!
Kabla Lissu hajatiwa kwenye ndege kupelekwa Nairobi kwa matibabu (Ile siku ya shambulizi) tayari CDM walikuwa wamekwishaanza kusema walimuona Paul Makonda Dodoma na kuwa Magufuli anahusika.

Kwa hiyo unapokubaliana na dhana ya Tundu Lissu ni kwamba unakubalian na nani alihusika.

Katika theories nilizotaja 1, 2, na 3 nimetaja majina ya Magufuli, Makonda, Mbowe, na Lowassa. Wewe umekuwa surprised na mimi kutaja majina hayo mawili ya mwisho. Kwa nini?

Kwa nini usingeshangaa mimi kuwataja Magufuli na Makonda?

Siku zote nawasikia wafuasi wa CDM wakiwataja viongozi wa serikali kwa majina kuhusika na wana CDM kimyaaa. Lakini ukiwataja viongozi wa juu wa CDM watu wanahamaki as if it is taboo, why?

Unataka kusema theories 2, na 3 ni impossible? Are they so clean that their followers or themselves couldn't have been involved?

Kwa nini ni sawa kuwashutumu viongozi wa serikali kwa majina lakini sio sawa kuwashutumu viongozi wa CDM?

Still very much disappointed for an intellectual like yourself to be so myopic and selective in your analysis.
 
I never said am surprised because you mentioned the names... Never...! Rather I said am not dissapointed but am surprised to what you wrote! Please read it careful to avoid misconception....
The rest I have no comment [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
...[HASHTAG]#barbarosa[/HASHTAG] Next time ukitaka Kunywa su.mu niite nkusaidie kukunywesha

Ova
 
waafrika shida sana mtu akionekana ana akilli wanamuua wanawaacha wapumbavu ndiyo watawale
 
Back
Top Bottom