Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Namshauri asurudi, au inawezekana wakamkatalia kurudi! and this is most likely.
Namshauri aombe ulinzi wa Trump! UK etc. Let him talk to trump (if possible) mshana jr
Mmekosa kwa Risasi badala yakuogopa
aliepigwa Risasi mnaogopa nyie mliotaka kumuua jinga kabisa
 
Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
wewe ndio akili zilishakutoka kabisa kichwani,hivi kati ya ccm na lissu nani msaliti wa taifa hili?
 
Tatizo sio kusikia ni kuelewa
Unahangaika sana!! Na utaendelea kuhangaika na Lissu... nasikia wewe ni mganga wa dunguli kwa nini usipige dunguli zako apone haraka arudi huyo msaliti??
 
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Bwana Tundu Lissu kaondoka Hospital ya Nairobi kuelekea Ubelgiji kwa matibu zaidi baada ya kunusurika kifo kutokana na shambulio la risasi 38 mjini Dodoma mwishoni mwa mwaka uliopita.

Pamoja na mijadala mingi mitandaoni kuwa ni nani kwa hakika alihusika na shambulio lile lakini mhanga mkuu Tundu Lissu hakumung'unya maneno kila alipopata nafasi ya kuongea.

Ameituhumu serikali na mamlaka ya juu kwa kile kinachoitwa 'assassination attempt' jaribio la kutaka kuua....!!!

Kwa serikali zinazojali utawala wa sheria hizi ni tuhuma nzito za aibu na zenye kuitia DOA kubwa serikali kitaifa na kimataifa. Hapa kwetu tunaenda kibongobongo.Fix nyingi siasa nyingi, vitisho na ukatili usio na sababu.

Tangu litokee shambulio lile la Lissu, ambalo aliepuka kifo kwa muujiza tu. Mabadiliko mengi yametokea. Yametokea kwa haraka na kwa muda mfupi ni wazi washambuliaji wake hawakutegemea apone. Kupona kwake ni kihoro na jinamizi kubwa kwao.

Wanamfahamu vema Lissu ni mtukutu, mjanja kwenye siasa na makini kwenye sheria, ana kipawa cha kujenga hoja zikakubalika. Sio mwoga! Haogopi ni msomi mzuri wa sheria na ni mpambanaji asiyeshindwa.

Watesi wake wanatambua vema kuwa risasi zile licha ya kukosa kumnyofoa roho lakini zimeshindwa kabisa kuleta madhara kichwani kwenye injini ya fikra pevu na maarifa.

Wanatambua vema kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hospital, licha ya majeraha makubwa aliyopata lakini mwili na akili vimepata mapumziko ya kutosha.

Atarejea kwa nguvu mpya kasi mpya na ari mpya...!!! Na hapa ndio penye kutatiza sana! Sasa hivi jumuiya za kimataifa zinajua fika nini kimempata na nini kimetokea... CV imechafuliwa vibaya kabisa.!!

Mkakati uliopo ni kuanza kutunga sheria za makosa mitandaoni na vyombo vya habari haraka na kuanza kuvichukulia hatua hata kama makosa yenyewe ni mepesi na hayana mashiko.

Kila anachoongea sasa kinarekodiwa na kuhifadhiwa...! Hivi karibuni serikali imesema SI VEMA KUBISHANA NA MGONJWA. ' Anasubiriwa apone...!

Anasubiriwa arudi. Kuna upande hauko tayari kumuona tena anatamalaki jukwaa ni na kwenye vyombo vya habari na mitandaoni..!!

Mashtaka ya uhaini na kukashifu mamlaka yanamsubiri lakini TUTAUKOMBOA WAKATI...!!!!
wampe tu hayo mashtaka ili yatimie wanayoyaomba waja
 
Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
mkuu uwe basi unatumia ubongo wako vizuri kuna matundu ya risasi kwenye gari kuna zilizompata na zinazokadiliwa kupigwa kumbuka zilipigwa random
 
Yaani kwa mawazo yako ni kuwa kwa vile Lissu kasema kashambuliwa na vyombo vya serikali basi kila mtu kaamini? Akili za kuambiwa ........... Sidhani kama dereva naye kaenda Ubeljiji kutibiwa kisaikolojia. Atahojiwa lazima atawataja wale waliopanga naye kumuua Lissu. Sitashangaa hata kidogo akiwataja wale ambao walihakikisha hatoki Nairobi ili ahojiwe. Hata kama watampeleka Ubeljiji kuna siku atarudi na ukweli utafahamika tu labda wammalize kabla hajawataja.
Si kila mtu aliyaamini maneno ya Lissu mkuu,ni wale wenye akili timamu tu ndio waliyoyaamini hata kabla Lissu hajazungumza alichokizungumza.
 
mshana jr,
Lazima serikali imetikisika na kutaharuki zaidi maana mtetezi wetu wa kweli na kaka wa taifa Mh. Tundu Lissu kuelekea Brussels Belgium /Luxembourg kulipo na makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya / EU na bunge la ulaya siyo habari nzuri kabisa kwa wana-Lumumba na serikali yao ya CCM.

Habari za ukandamizaji, vitisho, kujaribu kumaliza maisha ya walio na fikra tofauti na utawala huu wa awamu hii zitatinga ktk kamati, bunge na makao makuu ya jumuiya ya ulaya /EU.

Na jumuiya hii ya ulaya hufanya kazi na maazimio kwa umoja wao ikiwemo kusitisha misaada, mikopo, kutenga nchi, vikwazo vya viza kwa viongozi kuingia EU na kuwekea vikwazo vya kiuchumi kwa tawala gandamizi zisizofuata demokrasia, katiba na uhuru wa raia kujumuika/kupashana habari.

Si bure Mshana jr , tunaona comments nyingi zinazoonesha woga, kukata tamaa, kusalimu-amri matamko ya kibabe, kuomba-dua la kuku Tundu Lissu awe mkimbizi nje ya nchi na ku-panick ktk kujibu uzi wako.
 
He is gone out of this land ...forever and he is not coming back..

Over.

Msiendelee kuwachosha watanzania..

EXILED.
 
Huyu atatibiwa huko nje akija nakiherehere chake anakutana nauchaguzi wa 2020 watu wanalichukua jimbo lake kwanguvu anatupwa nje ya kinga zabunge wakati huo ukifika litaongea kama nan sanasana litaishia kufutiliwa mbali.
Jisomee uongeze maarifa,ukifanya hivyo utagundua Lissu harakati zake hazikuanzia bungeni,alikuwa mtetezi wa maelfu ya Watanzania kwa kuwapa msaada wa kisheria miaka mingi kabla ya ubunge.
 
Huko alikopelekwa anahitaji kuchungwa sana, kikulacho ki nguoni mwako. Hao wakiotaka kumuua wako naye, na sasa ndio mikakati yao inakamilika.

Wameshahakikisha watakalo lifanya atakayelaumiwa ni serekali, lakini wao wako huru kutimiza ajenda yao.

Iwapo Operation zote muhimu as kutoa risasi, kuunga mifupa na kuyatibu majeraha yamefanyika Nairobi, ila phisiotherapy imeshindikana kufanyika hapo? Hio haingi akilini Luna jambo.

Tutasikia amezidiwa na ile risasi iliyobaki mwilini na ni hatari kwa maisha yakw . Anafanyiwa operation ya kuitoa ila risasi ya mwisho na hali imezidi kuwa mbaya ameingia kwenye coma, baada ya sikuchache ................
 
He is gone out of this land ...forever and he is not coming back..

Over.

Msiendelee kuwachosha watanzania..

EXILED.
Mwanzo mlijua hatoinuka kutoka nje ya nyumba yake aliposhambuliwa akiwa hai,lakini alipotoka akiwa hai mkajipa matumaini kuwa hatotoka Dodoma general hospital akiwa hai.
Mungu mkubwa Lissu akasafirishwa Nairobi mkajipa siku kadhaa kuwa hatoinuka,mlifirahi zaidi kusikia zimempata 16 kwa utaalamu wenu wa silaha mkajihakikisha kuwa hakuna aliyewahi kupigwa risasi 16 akainuka.Siku ziliposonga mkasema hata akipona hatokuwa timamu na itamchukua miaka japo kuongea.Punde picha za Lissu zikaanza kisambaa mkasema ni photoshop,sauti ya Lisu ikasikika mkasema imeigwa,mlikua sahihi kabisa maana hakuna aloyewahi kupigwa risasi 16 akapona mlikuwa sahihi kubisha,hamkujua yupo Mungu mwenye kumiliki uhai wetu.Mliporidhika kuwa picha na sauti ni yeye hakika mkasema hatokuwa na ubavu kumtaja bayana anayemshuku kutaka kumuua,mlomfananisha na Roma mkatoliki,Jana Lissu amenena sasa mnajipa matumaini mapya kuwa hatorejea hakika Lissu atarejea katika aridhi ya baba zake.
Ugumu wa mioyo yenu imefananishwa na ugumu wa moyo wa Farao yule wa nyakati za Mussa.Kilichompata kitawapateni,Ikiwa katika tukio hili hamkiri kwa vinywa kuwa yuko Mungu basi hatanyamaza.
 
Back
Top Bottom