Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Na maisha yao yapoje? Au unatafsiri huo mshahara kwa maisha ya Tz?
 
Kama hufahamu maana ya taswira unauliza nini kama sio ujuha? Go back to school.
 
Hatari sana. Tunachukiana utadhani nchi tofauti kumbe Ccm na Chadema. Sifurahii kumwaga damu kwa maslahi fulani wala sifurahii mtu kuumizwa.
 
Dah kutoka kuwa mbunge,mnadhimu,mkurugenzi wa sheria chama kikuu cha upinzani,Rais wa wanasheria hadi Advocacy officer!
Bora akachukue phd tu kama Nshalla,itamsaidia

Mbeba box ulaya ana maisha kuliko mbunge wa Tz.
 
Hiyo ndiyo sababu tuliyopewa kuwa anangojea daktari wake wa kazi ammpe ruhusu.

Allikuwa anangoja hili tuu, hakuna jingine, na litafuatiwa na kuomba ukimbizi wa kisiasa.
Miafrika inaroho mbaya sana,.Kapigwa lisasi imefurahi, kavuliwa ubunge imefurahi zaidi. Leo kusikia anaweza pata dili imechefuka rohoni chefuuuu!
Utashangaa wakatuma ujumbe serikali inamuitaji!
 
Watamkumbuka siku akina jingalao wakudadavua magonjwa Mtambuka stroke faiza fox toriff mtukufu mwanjini lizaboni muda wote simiyu yetu isis na wengineo wachache wanao hesabika humu mutakuwa mumechelewa sana tuombe uzima wakuu
 
Taja wa wasaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…