Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Hahahaa........ Shule huwa haiongopi!

Fikiria kwa mfano Lisu angekuwa kama Kibajaji, Msukuma au Jah people angepata hiyo offer kweli kwa akina Mbwana Samatta?!!!
Limekuchanganya jina advocacy officer? Kweli elimu elimu elimu...
From this cheo to that cheo....huku ni kujidhalilisha...na anakubali wamgharamie..dah. maisha yanaenda kasi sana.
 
Hata pale alipo mtandika fimbo yule mgombea mwenzake alikuwa sahihi
Kwahiyo kama ameweza kutuma barua ya maombi ya kazi pamoja na CV, alishindwa kweli kumtaarifu Speaker kwa maandishi au SMS? Kumbe Mh. Ndungai yuko sahihi
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Kwa hiyo harudi tena njini?
 
Limekuchanganya jina advocacy officer? Kweli elimu elimu elimu...
From this cheo to that cheo....huku ni kujidhalilisha...na anakubali wamgharamie..dah. maisha yanaenda kasi sana.
Sasa kwani hapo bungeni wanapata nini?..... Si bora ajilie bata tu na akina Mbwana Samatta huko Ubelgiji

Bunge linawafaa akina Kibajaji na Sugu wanaojua kusoma na kuandika watu wenye weledi wana mambo mengi ya kufanya!
 
Kwani Ndugai alishindwa nini kumuona mngonjwa Ubelgiji??
Au woga wa mkubwa hivyo akakubali mpigwa risasi kufukuzwa bungeni bila aibu!!
Watz sio mapoyoyo wanaona kila kitu!!
 
..CCM watafura kwa HASIRA.

..Nia yao ilikuwa TL akawapigie magoti.

..faida ya kuwa na elimu na maarifa yanayotakiwa popote duniani ndiyo hiyo.

..siyo kuwa na elimu halafu huna mahali pa kwenda isipokuwa kuwa mtumwa wa CCM.

Chuki mlizonazo kwenye utawala huu zinawaumiza. Hapa JF tuliongelea jinsi ambavyo nchi yetu ilikuwa inadidimia kutokana na sera mbovu, JPM anatuvusha bado mnalalamika lalamika kama vitoto vilivyokosa lawalawa. TL kalifanyia nini taifa hili zaidi ya kwenda kuchafua taswira ya nchi bila kuwa na ushahidi wowote? Huyo TL mwenyewe amesoma kwa kodi za Watanzania lakini leo hii anaona ni sawa kwenda kuharibu Maisha ya Watanzania kwa njia za majungu bia kuwa na ushahidi wowote. What an Idiot!
 
Hawa vijana hawajui watendalo
 
Shida nini kama mshahara wa ubunge ni USD 6000 kwa mwezi huku kua officer unaramba USD 9500 baada ya kodi..........shida ya akili za ki-CCM na KICHADEMA zimekaa kinjaa njaa tu kuhisi ubunge ndio kazi inayolipa duniani.
Au unadhani naye ni mpuuzi kama wewe alienda kusoma ili awe maarufu na si kukidhi basics needs zake
Kumbe ni kweli?
 
Back
Top Bottom