Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwa data, unatisha!.

Asante kwa taarifa hii, bandiko langu hili
Bado linasimama.
P
 
Shida nini kama mshahara wa ubunge ni USD 6000 kwa mwezi huku kua officer unaramba USD 9500 baada ya kodi..........shida ya akili za ki-CCM na KICHADEMA zimekaa kinjaa njaa tu kuhisi ubunge ndio kazi inayolipa duniani.
Au unadhani naye ni mpuuzi kama wewe alienda kusoma ili awe maarufu na si kukidhi basics needs zake
yani kutoka kuwa mbunge mpaka kuwa advocacy officer?pathetic
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels

Mwanaume kukalia mlango wazi kuhusu how mwanaume mwenzake makes money inaonesha jinsi gani wanaume wenzangu walivyo chatty patty!
 
Jiwe anatakiwa nae amuombe msamaha TL kwa ile mvua ya Kalashnikov!!!

LA sivyo ataishi maisha ya mashaka sana! Na hatutaacha kumnanga kwa uhalifu aliomfanyia Lissu!
kama mzee kalashnikov mwenyewe mr Ak47 aliomba msamaha kwa kutengeneza silaha yenye kuleta maafa basi hata jiwe hana namna zaidi ya kutubu na yeye.
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwa data, unatisha!.

Asante kwa taarifa hii, bandiko langu hili
Bado linasimama.
P
Lissu harudi
 
yani kutoka kuwa mbunge mpaka kuwa advocacy officer?pathetic
Unajua malipo yao yakoje huko?kipato cha mbunge wetu hapa TZ,Ulaya si lolote mkuu.
Ulaya kama brain ya mtu iko vizuri,kunalipa sana,lkn kama ni Lusinde au Milinga type hapafai.
Hapa kwetu vyeo ni vikubwa lkn kipato kidogo,tofauti kabisa na nchi za ulaya.
Utakuta mtu ni mbeba mabox tu huko ulaya lkn kipato chake hakilingani hata kidogo
na Afisa wa ngazi ya kati hapa kwetu.
Pili,sarafu yao iko juu sana tofauti na yetu....12mill etc za mbunge wa TZ ni pesa za
madafu kwa wenzetu
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels

Mkuu sisi tunaishi Ulaya twajua hakuna cha bure. Sasa sijui mkuu unatuambia Nini Hapo
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Hahahaa........ Shule huwa haiongopi!

Fikiria kwa mfano Lisu angekuwa kama Kibajaji, Msukuma au Jah people angepata hiyo offer kweli kwa akina Mbwana Samatta?!!!
 
Back
Top Bottom