Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Unajua malipo yao yakoje huko?kipato cha mbunge wetu hapa TZ,Ulaya si lolote mkuu.
Ulaya kama brain ya mtu iko vizuri,kunalipa sana,lkn kama ni Lusinde au Milinga type hapafai.
Hapa kwetu vyeo ni vikubwa lkn kipato kidogo,tofauti kabisa na nchi za ulaya.
Utakuta mtu ni mbeba mabox tu huko ulaya lkn kipato chake hakilingani hata kidogo
na Afisa wa ngazi ya kati hapa kwetu.
Pili,sarafu yao iko juu sana tofauti na yetu....12mill etc za mbunge wa TZ ni pesa za
madafu kwa wenzetu
Na maisha yao yapoje? Au unatafsiri huo mshahara kwa maisha ya Tz?
 
Nini maana ya kuchafua taswira ya nchi? Kati ya TL na waliojaribu kumtoa uhai TL ni yupi anachafua taswira ya nchi?!, Je, Tundu lissu alitoka tu Tanzania from nowhere akaenda kuongelea mabaya aliyofanyiwa?? Ni nini kilimfanya lissu mpaka aende kulalamika?!
Naomba majibu mafupi mkuu kama nilivyouliza!

Kama hufahamu maana ya taswira unauliza nini kama sio ujuha? Go back to school.
 
Hatari sana. Tunachukiana utadhani nchi tofauti kumbe Ccm na Chadema. Sifurahii kumwaga damu kwa maslahi fulani wala sifurahii mtu kuumizwa.
 
Hiyo ndiyo sababu tuliyopewa kuwa anangojea daktari wake wa kazi ammpe ruhusu.

Allikuwa anangoja hili tuu, hakuna jingine, na litafuatiwa na kuomba ukimbizi wa kisiasa.
Miafrika inaroho mbaya sana,.Kapigwa lisasi imefurahi, kavuliwa ubunge imefurahi zaidi. Leo kusikia anaweza pata dili imechefuka rohoni chefuuuu!
Utashangaa wakatuma ujumbe serikali inamuitaji!
 
Watamkumbuka siku akina jingalao wakudadavua magonjwa Mtambuka stroke faiza fox toriff mtukufu mwanjini lizaboni muda wote simiyu yetu isis na wengineo wachache wanao hesabika humu mutakuwa mumechelewa sana tuombe uzima wakuu
 
Mkuu sumu ya nyingu anapatikana wapi nami ni follow huko nahamu sana kupata report ya mambo yanayoendelea gizani

SUMU YA NYIGU.
SYN.jpg

 
Watamkumbuka siku akina jingalao wakudadavua magonjwa Mtambuka stroke faiza fox toriff mtukufu mwanjini lizaboni muda wote simiyu yetu isis na wengineo wachache wanao hesabika humu mutakuwa mumechelewa sana tuombe uzima wakuu
Taja wa wasaliti
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom